Kila chama cha siasa kiwe na tume huru ya uchaguzi, kuna madudu kibao ndani ya vyama

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,904
Kila chama cha siasa kiwe na Tume Huru ya Uchaguzi huko ndani ya vyama kuna madudu yako kibao huko.

Upinzani huko ndiko balaa. Waunde tume huru za uchaguzi ndani ya vyama vyao.

Vyeo vingine kama Mwenyekiti Chadema taifa kukipata ni vurugu tupu.
 
Na kila chama nafasi ya mwenyekiti igombaniwe na wagombea zaidi ya mmoja.
Kila chama cha siasa kiwe na tume huru ya uchaguzi huko ndani ya vyama kuna madudu yako kibao huko

Upinzani huko ndiko balaa
Waunde tume huru za uchaguzi ndani ya vyama vyao

Vyeo vingine kama Mwenyekiti Chadema taifa kukipata ni vurugu tupu
 
Kila chama cha siasa kiwe na Tume Huru ya Uchaguzi huko ndani ya vyama kuna madudu yako kibao huko.

Upinzani huko ndiko balaa. Waunde tume huru za uchaguzi ndani ya vyama vyao.

Vyeo vingine kama Mwenyekiti Chadema taifa kukipata ni vurugu tupu.
Chadema wakiweka tume huru ya uchaguzi Lisu ataibuka mshindi mapema dhidi ya Mbowe. Kwa upande wa ACT wazalendo huko hakuna mtu wa kupambana na boss wa chama hicho alhaj Zito Kabwe maana yeye ndo alfa na umega wa chama hicho, so hata tume ikimtangaza kiongozi mungine wa chama jamaa ataendelea kushikilia madaraka tu.
 
Kila chama cha siasa kiwe na Tume Huru ya Uchaguzi huko ndani ya vyama kuna madudu yako kibao huko.

Upinzani huko ndiko balaa. Waunde tume huru za uchaguzi ndani ya vyama vyao.

Vyeo vingine kama Mwenyekiti Chadema taifa kukipata ni vurugu tupu.
Jiulize kwanza katika hao wagombea uenyekiti ni nani atakaekubali kuonja sumu kwa ulimi?
 
Ungeanza kusema haya kipindi Cha magufuli ndio kulikuwa uchafuu mwingi sana!!

Nileteeeeeeeeni gwajina nileteeeeeeeeni gwajimaa
 
Kila chama cha siasa kiwe na Tume Huru ya Uchaguzi huko ndani ya vyama kuna madudu yako kibao huko.

Upinzani huko ndiko balaa. Waunde tume huru za uchaguzi ndani ya vyama vyao.

Vyeo vingine kama Mwenyekiti Chadema taifa kukipata ni vurugu tupu.
Baada ya kuona Kinana amepita bila kupingwa roho inakuuma🤣🤣🤣
 
Kila chama cha siasa kiwe na Tume Huru ya Uchaguzi huko ndani ya vyama kuna madudu yako kibao huko.

Upinzani huko ndiko balaa. Waunde tume huru za uchaguzi ndani ya vyama vyao.

Vyeo vingine kama Mwenyekiti Chadema taifa kukipata ni vurugu tupu.
Nani amewahi kugombea uenyekiti CCM?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kila chama cha siasa kiwe na Tume Huru ya Uchaguzi huko ndani ya vyama kuna madudu yako kibao huko.

Upinzani huko ndiko balaa. Waunde tume huru za uchaguzi ndani ya vyama vyao.

Vyeo vingine kama Mwenyekiti Chadema taifa kukipata ni vurugu tupu.
Kumbe kuna wakati unauwezo wa kuongea mambo ya maana?ila nafikiri hivi vyama vipo kwaajili ya maslahi ya wachache.yaani watu wachache wanatumia hivi vyama hata chama tawala Kwa maslahi Yao ndo maana hakuna demokrasia.
 
Back
Top Bottom