Securelens
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 316
- 541
CHADEMA kama ilivyo kawaida yao ya kutunga na kutengeneza matukio ya uongo. Wamejaribu kutengeneza ya Lissu, Lema na Nyarandu lakini yote yamebuma.
Watanzania na wajanja duniani wamekwishawagundua kuwa ni walaghai. Wamebaki na kujipa moyo kwenye keyboards zao na vyombo vya habari uchwara vya Kenya ambavyo vina ajenda zao.
Baadhi ya WANACHADEMA na viongozi wao uchwara wanajaribu kutengeneza matukio ya uongo ili kuvuta attention ya wananchi lakini wapi, kila jaribio linabuma. Wengine humu wanashinda kutwa nzima kwenye JF, facebook, Twitter na hata Badoo lakini habari zao zinapuuzwa tu. Watanzania wana akili na Jumuiya ya kimataifa pia zinaakili na zinatambua utoto wenu.
Nawashauri fanyeni kazi. Uchaguzi umeisha.