Vijana tuwe makin sanaKila kitu tufanye kwa kiasi. Ikiwepo starehe.
Kwan hii dunia ni yetu???
Wanaume : Pombe, wanawake, sigara, bangi na aina nyingine za madawa kulevya.
Wanawake : Pombe, outings, Kuvaa vizuri (nguo za gharama , mapochi na maviatu pea 30).
Na hobbies nyingine zisizo za msingi.
Ni muhimu kuwa navyo kama roho yako inapenda na unavimudu ila ndio iwe kwa kiasi.
Utashangaa miaka inasogea ww uko pale pale na chumba chako self. Na huku unalalamika hela hakuna, wakat unapata ila unatumia vibaya.
Na wengine wanapata alaf wanatenga na kuelekeza kila sehem kwa kiasi
Zimpopa wewe ndo kama mimi kabisaa, naweza kutoka kuchakata demu nikasema sitaki tena uzinzi lakini kesho nikiona mnofu unakatiza lazima niularue haya maisha haya.Wanawake aseeh alafu huwa nasema huyu wa mwisho nianze fanya mambo ya msingi nikimpata nasema tena wa mwisho huyu sijawah fika mwisho hadi leo.
Umesema kwel kabsa inabid upate punguzo la tozoKila mmoja anapenda starehe, changamoto huwa ni rasilimali fedha, cha kufanya ni kutenga rasilimali ulizonazo, kiasi kikubwa kiende kwenye maendeleo na kiasi fulani kiende kwenye starehe. Kwa sababu kwenye haya maisha kuna kutafuta na kuna kuishi pia; hawa warembo wote waliopo hapa duniani wapo kwa ajili ya wanaume, ila tunashindwa kuwatumia kutokana na upungufu wa rasilimali fedha.
Mimi kiukwel kwa hapa nilipo naweza kusema ni GYM na Internent bundles.Yeah vp wee uwa una kitu kinachokumalizia pesa zako
We tunaweza ishi wote...Kiukweli mimi starehe yangu ni kula aisee na music(najua kucheza😀) ,ila si gharama sana hata hivo.
Wow Unapenda music ama kula?We tunaweza ishi wote...
Ni kujipanga tu, huwezi kuoa warembo wote; na mkeo hawezi kuwa mrembo kuliko wengine; kwa hiyo kila kitu ni kubalansi..maisha haya yanahitaji furahaUmesema kwel kabsa inabid upate punguzo la tozo
1.music 2. Menyu...Wow Unapenda music ama kula?
Kwani nyama inaongezaje furaha?,Binafsi mie ninapenda sana wanawake nmekuwa nikionga kila wakati kusudi nifikie lengo la kukutana nao kingono
Natumia hela nying sana kwenye kuchukua lodge au hotel
Wakati mwingine nimekuwa nafunga safar kabsa toka mkoa ninao ishi hadi mwingine kisa kufata mwanamke nikutane nae kingono na uwa natumia nauli zangu
Nmekutana na wanawake weng sana na imekuwa chanzo kikubwa kutokufikia malengo yangu
Starehe yangu nyingine imekuwa kwenda bar kila wkend na kunywa pombe na marafiki
Na nikikaa bar lazma niagize nyama choma kama kilo 3 hv nifurah
Hizi ni baadhi ya starehe ambazo zimenirudisha nyuma sana kimaendeleo
Je weee ni starehe gani ambayoo inamaliza hela zako
View attachment 1950896
Wow, kumiliki samaki kama hivyo ni pesa ngapi kaka?Starehe yangu mm ni iyo Aquarium , Samaki wakifa nanunua wengine pea 25 elf mpaka 30 GoldfishView attachment 1951117
Aisee tutashinda tunacheza humo ndani😂 tunakula tukishiba tunanyanyuka kudance 😜1.music 2. Menyu...
kuna mwaka nilipigika ila alikuwa mtiifu Bado
Ngoja nimuoe tu mkuu
Ila kwa kipindi hichi ndo ungepiga hela kwasb watu wengi wanapenda ushirikina na kupata hela kwa wepesi
Una akili sana!!Kama umekaa nae miaka 6.
Basi una mpenda na ni mzuri kwako na anaona uzuri wako kwake.
Inatosha mzee, oa, jenga familia na maisha.
Najua una akili za maisha, ila ukioa kuna nyingine zinakuwa zimelala, bawi zinaamka na unaanza kuzifanyia kazi.
Kabla hujaoa , utakuwa unajua ni lazima nifanye ABC ila huna mwamko.
By the way hao unaowataman wengine watakuwepo tu na watakukubalia hata kama umeoa.
Sema ndio huwek kibanda. (Piga kwa wastani) hakuna namna, sisi ni wanaume. Tusijibane saaaana.
Tukiwa tu na ustaarabu inatosha.(mawazo yangu).