Kila binadamu huwa na starehe inayo mfanya amalize kipato chake au asifikie malengo yake hata kumrudisha nyuma kabsa

Cmfungua

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
204
1,000
Kila kitu tufanye kwa kiasi. Ikiwepo starehe.

Kwan hii dunia ni yetu???

Wanaume : Pombe, wanawake, sigara, bangi na aina nyingine za madawa kulevya.

Wanawake : Pombe, outings, Kuvaa vizuri (nguo za gharama , mapochi na maviatu pea 30).
Na hobbies nyingine zisizo za msingi.

Ni muhimu kuwa navyo kama roho yako inapenda na unavimudu ila ndio iwe kwa kiasi.

Utashangaa miaka inasogea ww uko pale pale na chumba chako self. Na huku unalalamika hela hakuna, wakat unapata ila unatumia vibaya.

Na wengine wanapata alaf wanatenga na kuelekeza kila sehem kwa kiasi
Vijana tuwe makin sana
 

Kitombile

JF-Expert Member
Mar 21, 2021
750
1,000
Wanawake aseeh alafu huwa nasema huyu wa mwisho nianze fanya mambo ya msingi nikimpata nasema tena wa mwisho huyu sijawah fika mwisho hadi leo.
Zimpopa wewe ndo kama mimi kabisaa, naweza kutoka kuchakata demu nikasema sitaki tena uzinzi lakini kesho nikiona mnofu unakatiza lazima niularue haya maisha haya.
 

Cmfungua

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
204
1,000
Zimpopa wewe ndo kama mimi kabisaa, naweza kutoka kuchakata demu nikasema sitaki tena uzinzi lakini kesho nikiona mnofu unakatiza lazima niularue haya maisha haya.
Tuache utani hawa viumbe uwa wanatofauti
 

Cmfungua

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
204
1,000
Kila mmoja anapenda starehe, changamoto huwa ni rasilimali fedha, cha kufanya ni kutenga rasilimali ulizonazo, kiasi kikubwa kiende kwenye maendeleo na kiasi fulani kiende kwenye starehe. Kwa sababu kwenye haya maisha kuna kutafuta na kuna kuishi pia; hawa warembo wote waliopo hapa duniani wapo kwa ajili ya wanaume, ila tunashindwa kuwatumia kutokana na upungufu wa rasilimali fedha.
Umesema kwel kabsa inabid upate punguzo la tozo
 

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
37,565
2,000
Binafsi mie ninapenda sana wanawake nmekuwa nikionga kila wakati kusudi nifikie lengo la kukutana nao kingono
Natumia hela nying sana kwenye kuchukua lodge au hotel

Wakati mwingine nimekuwa nafunga safar kabsa toka mkoa ninao ishi hadi mwingine kisa kufata mwanamke nikutane nae kingono na uwa natumia nauli zangu

Nmekutana na wanawake weng sana na imekuwa chanzo kikubwa kutokufikia malengo yangu

Starehe yangu nyingine imekuwa kwenda bar kila wkend na kunywa pombe na marafiki
Na nikikaa bar lazma niagize nyama choma kama kilo 3 hv nifurah

Hizi ni baadhi ya starehe ambazo zimenirudisha nyuma sana kimaendeleo

Je weee ni starehe gani ambayoo inamaliza hela zako
View attachment 1950896
Kwani nyama inaongezaje furaha?,
 

Msukumakizazi

JF-Expert Member
Jan 13, 2017
2,481
2,000
Kama umekaa nae miaka 6.
Basi una mpenda na ni mzuri kwako na anaona uzuri wako kwake.

Inatosha mzee, oa, jenga familia na maisha.
Najua una akili za maisha, ila ukioa kuna nyingine zinakuwa zimelala, bawi zinaamka na unaanza kuzifanyia kazi.

Kabla hujaoa , utakuwa unajua ni lazima nifanye ABC ila huna mwamko.

By the way hao unaowataman wengine watakuwepo tu na watakukubalia hata kama umeoa.

Sema ndio huwek kibanda. (Piga kwa wastani) hakuna namna, sisi ni wanaume. Tusijibane saaaana.

Tukiwa tu na ustaarabu inatosha.(mawazo yangu).
Una akili sana!!

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom