Kila anayeingia na kutoka Tanzania apigwe picha na kuchukuliwa alama za vidole

East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,759
2,205
Nashauri kila anayeingia nchini na kutoka katika mipaka yote inayozunguka Tanzania achukuliwe picha na alama za vidole iwe rahisi kuwadaka wale wenye nia mbaya wanmaoingia nchini au kwenda nchi zingine kujifunza mambo mabaya hasa kipindi hilki cha kuelekea uchaguzi.

Na siku tatu kabla ya uchaguzi nashauri mipaka yote ifungwe hadi baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa na raisi kuapishwa ndipo ifunguliwe Ili kama kuna maruhuni wafanya fujo walioko ndani wasipate nafasi ya kutoroka hadi waonnyeshwe cha mtema kuni na wapiganaji wetu askari wanaume na wanawake wajuao kuwapa kipigo cha mbwa mwizi .
 
Jinga kabisa wewe
 
Back
Top Bottom