Kila aliyewahi kwenda kwa waganga wanaotumia ramli anamajini. Hili hapa suluhisho.

Sisi wengine waganga ndiyo Mungu wetu hatuachi kwenda kuabudu pindi Mambo yanapoenda kombo, yaani iwe kuowa lazima tuzishirikishe nguvu za kiganga iwe kuongea mbele za watu lazima tuzishirikishe nguvu za kiganga ili tusikilizwe, iwe kupendwa na watu Baki familia ni lazima tuzishirikishe nguvu za kiganga yaaani tunaonda mbali tunazikamata na kiziinamisha familia zetu ili zituabudu.

Yote hayo yanawezekana kwa nguvu za kiganga, sasa nitaachaje kumtegemea Mganga ili ninusurike na shari za wanadamu.

Wanapatikana kwa hapa Dar au mpaka mikoani?

Gharama zao zikoje?
 
Jambo ambalo wengi hawajagundua ni kwamba roho ya mpinga Kristo ipo kazini sasa kuliko wakati wowote ule na inafanya kazi kwa karibu kabisa na nabii wa uongo, ndo maana makanisa ya upako, matangazo ya waganga wa kienyeji, wapiga ramli, wasoma nyota, wapunga pepo, matangazo ya kujiunga freemason ili ufanikiwe yametapakaa kila kona. Inachofanya ni kunena kinyume chake Aliye juu, yaani kupandikiza mafundisho potofu yanayolenga kuwadhoofisha Watakatifu wake Aliye juu (watakatifu hapa linamaanisha wale wanaoishi kusudi la Mungu). Na katika kuwadhoofisha Watakatifu wake Aliye juu na kuwafanya mateka atabadili majira na sheria, ndo maana mambo na matukio mapya yanaibuka kila kukicha na sheria kibao zinatengenezwa au kubadilishwa sasa kuliko kipindi chochote kile. Haya mabadiliko ya sheria na nyakati yanalenga kuweka mitego au vikwazo kwa Watakatifu washindwe kuishi na kuenenda kufuatana na makusudi ya Mungu. Ukisoma Danieli 7 utaelewa ninachojaribu kudadavua hapa.​
 
Wasipokuja Washamba hapa na kukuita we ni msabato basi uko vizuri sana Chifu
 
Waganga wa kienyeji wamegawanyika katika makundi mawili.

1: Wanaotumia mitishamba kutibu bila kuhusisha mizimu au ramli au ushirikina. Hata nabii isaya aliwahi kutumia mitishamba kumtibu Mfalme Hezekiah. Hata Yesu aliwahi kutumia tope kumtibu kipofu macho.
Sizungumzii hawa...

2: Kundi kubwa LA waganga wanaotumia majini,ushirikina, ramli, kuongeaa na wazee. Hawa wapo dunia nzima sio afrika tu.

Ufahamu sasa
Kila aliyeenda kwa hawa, anamajini. Majini ni malaika wachafu waliofukuzwa mbinguni na mkuu wao ni Ibirisi. Kusema kuna majini wasafi pia ni hila za shetani kuteka watu. Majini hawa wamegawana vitengo vya kumsaidia.

KWA NINI ANAMAJINI?
Kwa Mujibu was Yesu Yohana 10:10 Mwivi haji ila aibe, na kuchinja na kuharibu.

KAZI TATU ZA SHETANI KWA WANAOMUENDEA NI

1: KUIBA
2: KUCHINJA
3: KUHARIBU

Na mwisho kukuua.

Nafuu unayopata kwa kuwaendea ni kukuzubaisha ili mwisho wa Sikua kuue. Shetani hana urafiki wala nia njema na MTU.

UFANYEJE WEWE ULIYEENDA AU NI MGANGA AU MGANGA WA KIROHO ULIYEJIFICHA UKRISTONI AU MISIKITINI?

1: Rudisha Mali zote za kiganga na uamue kumrudia Mungu. Acha kuhudumiwa na shetani. Unakuwa kama jogoo lililoandaliwa Siku yako uliwe.

2: Hakuna jina lingine lolote LA kukusaidia isipkuwa jina LA Yesu. Omba, futa maagano hayo uanze upya.

3: Usiwaonee wivu wachawi, wanaotumia dawa za kiganga. Maana maandiko yanasema ni ili waangamie. Ni kama kumuonea wivu MTU aliyeshiba mabomu tumboni.

Wengi hawatanielewa ila wanajua wanachopitia, wanavyopitia sirini.

Ubarikiwe.
Na nukuu .....kutoka kwenye movie ya
Merlin ...na
Shenala the chronicle.....

" EVERY MAGIC HAS SOME PRICE TO PAY"
 
We mlevi wa gongo acha kuwafananisha malaika na vitu visivyoeleweka, MALAIKA Ni viumbe vitakatifu, havimuhasi muumba wao, na Wala havijawai kumuasi Mungu,

Majini Ni viumbe Kama walivyo binadamu, Kuna majini walevi,Kuna wazinzi, wezi,washirikina (ambao rafiki zao binadamu wachawi),

Wapo pia majini ambao hawana tabia chafu, na kwa binadamu ndio hivyohivyo pia,
 
Umewahi kuishi na Jini safi?

Namba ushuhuda maisha yenu yalikuwaje.
 
Umewahi kuishi na Jini safi?

Namba ushuhuda maisha yenu yalikuwaje.
majini Ni viumbe tu Kama sisi, wapo ambao hawana mambo ya hovyo, na wapo waovu,

Ni Kama binadamu,wapo waovu, wapo wema,
Jini muovu rafiki yake binadamu muovu, wote kwa tabia zao mbaya wanaitwa mashetani, binadamu ukiwa na tabia utaitwa shetani, na jini akiwa na tabia mbaya pia ataitwa shetani
 
Waganga wa kienyeji wamegawanyika katika makundi mawili.

1: Wanaotumia mitishamba kutibu bila kuhusisha mizimu au ramli au ushirikina. Hata nabii isaya aliwahi kutumia mitishamba kumtibu Mfalme Hezekiah. Hata Yesu aliwahi kutumia tope kumtibu kipofu macho.
Sizungumzii hawa...

2: Kundi kubwa LA waganga wanaotumia majini,ushirikina, ramli, kuongeaa na wazee. Hawa wapo dunia nzima sio afrika tu.

Ufahamu sasa
Kila aliyeenda kwa hawa, anamajini. Majini ni malaika wachafu waliofukuzwa mbinguni na mkuu wao ni Ibirisi. Kusema kuna majini wasafi pia ni hila za shetani kuteka watu. Majini hawa wamegawana vitengo vya kumsaidia.

KWA NINI ANAMAJINI?
Kwa Mujibu was Yesu Yohana 10:10 Mwivi haji ila aibe, na kuchinja na kuharibu.

KAZI TATU ZA SHETANI KWA WANAOMUENDEA NI

1: KUIBA

2: KUCHINJA
3: KUHARIBU

Na mwisho kukuua.

Nafuu unayopata kwa kuwaendea ni kukuzubaisha ili mwisho wa Sikua kuue. Shetani hana urafiki wala nia njema na MTU.

UFANYEJE WEWE ULIYEENDA AU NI MGANGA AU MGANGA WA KIROHO ULIYEJIFICHA UKRISTONI AU MISIKITINI?

1: Rudisha Mali zote za kiganga na uamue kumrudia Mungu. Acha kuhudumiwa na shetani. Unakuwa kama jogoo lililoandaliwa Siku yako uliwe.

2: Hakuna jina lingine lolote LA kukusaidia isipkuwa jina LA Yesu. Omba, futa maagano hayo uanze upya.

3: Usiwaonee wivu wachawi, wanaotumia dawa za kiganga. Maana maandiko yanasema ni ili waangamie. Ni kama kumuonea wivu MTU aliyeshiba mabomu tumboni.

Wengi hawatanielewa ila wanajua wanachopitia, wanavyopitia sirini.

Ubarikiwe.
Uko sahihi sana,hiki ni kifungo ambacho wengi wanakiingia bila ya kujua madhara yake baadae...
 
Back
Top Bottom