escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,472
- 2,867
mtoa pesa kahamishia ofisi sebuleni kwake.Simba pale msimbazi hata hapaeleweki
mtoa pesa kahamishia ofisi sebuleni kwake.Simba pale msimbazi hata hapaeleweki
Asilan hawako tayari kutembeza bakuli kwaajili ya timu yao, ni moo, moo, moo. Na simba ninakumbuka mimi ndio walioingiza nchini huu utamaduni wa mpira kutegemea wahisani, ombaomba. Sisi tulivyokuwa watoto tulikuwa tunafanya kazi za ujenzi, kulima, kuosha magari na kufanya kazi/vibarua mbalimbali ili kupata pesa za kununulia mipira, jezi, filimbi, dawa za misuli na maumivu na filimbi kwa timu zetu. Baadae tukaanza kupata wachezaji wa simba wanaocheza uarabuni kutulitea mipira na jezi za bure kabisa. Hapo tukaanza polepole kuachana na vibarua tukaanza kutandika nguo njiani na kuwaandama wamanga na kachubhai ili watupe vya bure.kawageuza mashabiki wake wote kuwa ng'ombe, kila siku MOO, MOO, MOO, MOO
Tadeo lwanga anakupapasa wew sio bureUnachekesha, mlifungwa na timu ile ya akina Sarpong sembuse hii ya akina Makambo na Mayele
Tusubir sakho atawawek mwiko maeneo flanBila Simba kuchomekwa kimoja na Zawadi mauya Manara ingekuwa Simba mpaka sasa.
Mabingwa wa kihistoria wa mchangani.... nyie mna watu...Unapoongelea mpira wa Nchi hii unaiongelea Yanga. Takwimu hizo bado tunasuasua hatujarudi kwenye ubora wetu. Tukirudi si itakuwa balaa?
Mafanikio ya hivi karibuni ya watani wetu laiti kama tungekuwa ndio sisi tungeshabeba taji la klabu bingwa Afrika!
Yule kocha wa TP Mazembe hakukosea, Yanga ndio timu kubwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Ebu nikumbushe African sports alichukua ubingwa mwakagani?Hata African Sports ya Tanga iliwahi kuchukuwa ubingwa wa ligi kuu, unataka kusema african sports ilikuwa kubwa kuliko simba na yanga?
Simba ni miongoni mwa klabu kubwa Afrika kwenye kundi la Mazembe, Ahly, Zamalek, Esperasnce. Yanga haimo hata ndani ya 50 bora Afrika, hivyo vigezo mnavyotumia na Bodi ya Ligi havimo duniani kote.Unapoongelea mpira wa Nchi hii unaiongelea Yanga. Takwimu hizo bado tunasuasua hatujarudi kwenye ubora wetu. Tukirudi si itakuwa balaa?
Mafanikio ya hivi karibuni ya watani wetu laiti kama tungekuwa ndio sisi tungeshabeba taji la klabu bingwa Afrika!
Yule kocha wa TP Mazembe hakukosea, Yanga ndio timu kubwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Unapoongelea mpira wa Nchi hii unaiongelea Yanga. Takwimu hizo bado tunasuasua hatujarudi kwenye ubora wetu. Tukirudi si itakuwa balaa?
Mafanikio ya hivi karibuni ya watani wetu laiti kama tungekuwa ndio sisi tungeshabeba taji la klabu bingwa Afrika!
Yule kocha wa TP Mazembe hakukosea, Yanga ndio timu kubwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Ukweli upi brashee au upo virobaKama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka.
Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake.
Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za bodi ya ligi zimethibitisha ukweli ambao ulikuwa unafichwa kwa kutumia fedha.
Uwanjani wananchi wana mataji 27anaye fuatia yuko nyuma sana.
Kitu ambacho wewe hukijui ni kwamba Sakho na Kanoute ni wachezaji wa kawaida sana usiwategemee sana. Afrika magharibi hasa Nigeria, Senegal, Ghana, Mali wachezaji wao wazuri wote huwa wanakwenda timu za bara la Ulaya na Afrika Kaskazini. Ukiona mchezaji wa kutoka ukanda huu yuko Tanzania usijiapize sana na mchezaji huyo. Kiwango cha Sakho kinafananafanana na akina Ambundo, Sure boy, Yusuph Muhilu, Lusajo tu.Tusubir sakho atawawek mwiko maeneo flan