Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka, Bodi ya Ligi imethibitisha.

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,439
2,000
kawageuza mashabiki wake wote kuwa ng'ombe, kila siku MOO, MOO, MOO, MOO
Asilan hawako tayari kutembeza bakuli kwaajili ya timu yao, ni moo, moo, moo. Na simba ninakumbuka mimi ndio walioingiza nchini huu utamaduni wa mpira kutegemea wahisani, ombaomba. Sisi tulivyokuwa watoto tulikuwa tunafanya kazi za ujenzi, kulima, kuosha magari na kufanya kazi/vibarua mbalimbali ili kupata pesa za kununulia mipira, jezi, filimbi, dawa za misuli na maumivu na filimbi kwa timu zetu. Baadae tukaanza kupata wachezaji wa simba wanaocheza uarabuni kutulitea mipira na jezi za bure kabisa. Hapo tukaanza polepole kuachana na vibarua tukaanza kutandika nguo njiani na kuwaandama wamanga na kachubhai ili watupe vya bure.
 
Kiraka

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
3,332
2,000
Unapoongelea mpira wa Nchi hii unaiongelea Yanga. Takwimu hizo bado tunasuasua hatujarudi kwenye ubora wetu. Tukirudi si itakuwa balaa?

Mafanikio ya hivi karibuni ya watani wetu laiti kama tungekuwa ndio sisi tungeshabeba taji la klabu bingwa Afrika!
Yule kocha wa TP Mazembe hakukosea, Yanga ndio timu kubwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Mabingwa wa kihistoria wa mchangani.... nyie mna watu...
 
redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,686
2,000
Hata African Sports ya Tanga iliwahi kuchukuwa ubingwa wa ligi kuu, unataka kusema african sports ilikuwa kubwa kuliko simba na yanga?
Ebu nikumbushe African sports alichukua ubingwa mwakagani?
 
Vyamavingi

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,309
2,000
Unapoongelea mpira wa Nchi hii unaiongelea Yanga. Takwimu hizo bado tunasuasua hatujarudi kwenye ubora wetu. Tukirudi si itakuwa balaa?

Mafanikio ya hivi karibuni ya watani wetu laiti kama tungekuwa ndio sisi tungeshabeba taji la klabu bingwa Afrika!
Yule kocha wa TP Mazembe hakukosea, Yanga ndio timu kubwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Simba ni miongoni mwa klabu kubwa Afrika kwenye kundi la Mazembe, Ahly, Zamalek, Esperasnce. Yanga haimo hata ndani ya 50 bora Afrika, hivyo vigezo mnavyotumia na Bodi ya Ligi havimo duniani kote.

Vv
 
King_Ngwaba

JF-Expert Member
Jan 11, 2015
1,410
2,000
Unapoongelea mpira wa Nchi hii unaiongelea Yanga. Takwimu hizo bado tunasuasua hatujarudi kwenye ubora wetu. Tukirudi si itakuwa balaa?

Mafanikio ya hivi karibuni ya watani wetu laiti kama tungekuwa ndio sisi tungeshabeba taji la klabu bingwa Afrika!
Yule kocha wa TP Mazembe hakukosea, Yanga ndio timu kubwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.

Hebu weka Pembeni hayo mapambio yako then weka backup Data kuprove huo ukubwa wenu.
 
Chura

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
415
1,000
Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka.

Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake.

Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za bodi ya ligi zimethibitisha ukweli ambao ulikuwa unafichwa kwa kutumia fedha.
Ukweli upi brashee au upo viroba
 
King_Ngwaba

JF-Expert Member
Jan 11, 2015
1,410
2,000
Uwanjani wananchi wana mataji 27anaye fuatia yuko nyuma sana.

Mkuu vipi zile points zenu mumeshapewa baada ya CAS kusikiliza kesi ya Morisson? Kwasababu nataka kujipanga namna ya kusherehekea Ubingwa weYanga baada ya Simba kupokonywa Kombe kwa Kumchezesha Morisson.
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,439
2,000
Tusubir sakho atawawek mwiko maeneo flan
Kitu ambacho wewe hukijui ni kwamba Sakho na Kanoute ni wachezaji wa kawaida sana usiwategemee sana. Afrika magharibi hasa Nigeria, Senegal, Ghana, Mali wachezaji wao wazuri wote huwa wanakwenda timu za bara la Ulaya na Afrika Kaskazini. Ukiona mchezaji wa kutoka ukanda huu yuko Tanzania usijiapize sana na mchezaji huyo. Kiwango cha Sakho kinafananafanana na akina Ambundo, Sure boy, Yusuph Muhilu, Lusajo tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom