Kila akipika ananitengea

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
kATIKA HALI ISIYOKUA YA KAWAIDA JIRANI YANGU, bINTI NZURI HUWA ANANIPA CHAKULA ila hasemi chochote.Naogopa usikute ananipenda kimapenzi.

Nilikua nasomea upadri na naogopa asijenimiliki, angali bado sijafanya maamuzi

Naombeni ushauri
 
Kwani wewe pale unapopewa ukapokea ndani ya akili yako inakwambiaje? kua anakupa kwa roho safi au analake jambo? na unapewa kila siku au kwa week mara 3? na ingekua ni wewe unampa mtu kitu kama yeye anavyokupa wewe ungekua na nia gani? Mwanamme wewe jikaze kiume mambo yakupewa pewa hayo wacha sema na roho yako....
 
Inamaana kwa sasa umetoka kwenye mkondo wa upadri!any way huyo anakufanyia ukarimu wa kawaida tu wa kibinadamu bana.Lakini kama unataka kuanzisha mahusiano unaweza kujaribu ila usihusianishe na hizo sahani za wali huku ukijua kuna mawili

1.kupata mpenzi mpya
2.kukosa vyote,yaani mapenzi na ubwabwa.
 
Nimeipenda hoja ya pili.
 
kATIKA HALI ISIYOKUA YA KAWAIDA JIRANI YANGU, bINTI NZURI HUWA ANANIPA CHAKULA ila hasemi chochote.Naogopa usikute ananipenda kimapenzi.

Nilikua nasomea upadri na naogopa asijenimiliki, angali bado sijafanya maamuzi

Naombeni ushauri

kazi ya ukasisi siyo ya kwako katafute kazi nyingine.....................wateule halisi wa Muumba hawana kigugumizi kama hiki cha kwako.............tafuta mke ondoa ushambenga......
 
Siajabu anakupa tu kwa upendo,

basi hapo wewe ushaanza kumpendapenda,sijui upadri uataendelea au ndo kwishinei

usije tu ukaanguka kiroho.
 
upadri na macho juu juu wapi na wapi???
yaani binti kukukarimu msosi, na wewe unataka kumkarimu maniaje
acha kuishi kwa hisia wewe...
 
kATIKA HALI ISIYOKUA YA KAWAIDA JIRANI YANGU, bINTI NZURI HUWA ANANIPA CHAKULA ila hasemi chochote.Naogopa usikute ananipenda kimapenzi.

Nilikua nasomea upadri na naogopa asijenimiliki, angali bado sijafanya maamuzi

Naombeni ushauri

Kuna post humu ulishawahi kuchangia kuwa unayajua mambo ya 6 kwa 6. Au umesahau mkuu?
 
kATIKA HALI ISIYOKUA YA KAWAIDA JIRANI YANGU, bINTI NZURI HUWA ANANIPA CHAKULA ila hasemi chochote.Naogopa usikute ananipenda kimapenzi.

Nilikua nasomea upadri na naogopa asijenimiliki, angali bado sijafanya maamuzi

Naombeni ushauri

kazi ya ukasisi siyo ya kwako katafute kazi nyingine.....................wateule halisi wa Muumba hawana kigugumizi kama hiki cha kwako.............tafuta mke ondoa ushambenga......
 
mhhhhh, huenda akili yangu imeenda likizo. Huyo dada ni mama lishe , au we ndo umezoea kudowea kwa watu? sielewi elewi kabisa iweje awe anakulete misosi mkuu!
 
Back
Top Bottom