Kila akifanya mapenzi, anasikia maumivu, nini tiba?

Farudume12

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
621
346
Abarizenu wana jukwaa, heri yamwaka mpya japo hatujaumaliza mwaka ila tunabakiza masaa machachetu.

Bila kuchelewa nimekja kuomba tujaribu kumsaidia huyu Rafiki yangu maana alisha angaika sana bila mafaanikio. Rafikiangu huyu tatizo lakekubwa hapati tendo landoa kutoka kwamke wake, nahali iyo haijaanza Leo nimda mrefusana. Kila wanapo Fanya tendo mkewake anaonekana kupatwa na maumivu makali, pia inasemekana mkewake kila anapo jisaidia hajandogo anaskia maumivi.

Walisha jaribu kwenda hospital tofauti tofauti bila mafaanikio. Kwa doctor Mwaka waliwenda, kandikiwa madawa ametumia bila mafaanikio. Sasa huyu jamaa kaishiwa pozi, hajui afanyeje, ushauri wenu wakuu.

NB: kwamujibu wahuu jamaa kanambia mkewake huwa anaonesha dalili zafangasi sehem zake zasiri na kutokwa na uchafu. Karibuni
 
subiri FaizaFoxy akukute.utajuta kumfahamu!kwa uandishi huu usubirie kuambiwa:"huko shule ulienda kusomea ujinga"?
 
Kwan hayo mapenzi lzm afanye.... C afanye vitu vingine hata kazi co lzm ufanye mapenzi....... Me siami i kama ametembea hospitalini wakakosa majibu kuna kitu waliambiwa mwambie akuweke wazi...... Na haiwezekani hospital washindwe kitu jf tuweze
 
Abarizenu wana jukwaa, heri yamwaka mpya japo hatujaumaliza mwaka ila tunabakiza masaa machachetu.

Bila kuchelewa nimekja kuomba tujaribu kumsaidia huyu Rafiki yangu maana alisha angaika sana bila mafaanikio. Rafikiangu huyu tatizo lakekubwa hapati tendo landoa kutoka kwamke wake, nahali iyo haijaanza Leo nimda mrefusana. Kila wanapo Fanya tendo mkewake anaonekana kupatwa na maumivu makali, pia inasemekana mkewake kila anapo jisaidia hajandogo anaskia maumivi.

Walisha jaribu kwenda hospital tofauti tofauti bila mafaanikio. Kwa doctor Mwaka waliwenda, kandikiwa madawa ametumia bila mafaanikio. Sasa huyu jamaa kaishiwa pozi, hajui afanyeje, ushauri wenu wakuu.

NB: kwamujibu wahuu jamaa kanambia mkewake huwa anaonesha dalili zafangasi sehem zake zasiri na kutokwa na uchafu. Karibuni
Mkuu mshauri ampeleke hospital kwa ajili ya uchunguz na matibabu anaweza akawa na PID, chronic UTI etc kwa hiyo uchunguzi+ vipimo ni muhimu .Aachane na habar za Dr Mwaka aende hospital
 
Kwan hayo mapenzi lzm afanye.... C afanye vitu vingine hata kazi co lzm ufanye mapenzi....... Me siami i kama ametembea hospitalini wakakosa majibu kuna kitu waliambiwa mwambie akuweke wazi...... Na haiwezekani hospital washindwe kitu jf tuweze
Asante sana kwamchango
 
Mkuu mshauri ampeleke hospital kwa ajili ya uchunguz na matibabu anaweza akawa na PID, chronic UTI etc kwa hiyo uchunguzi+ vipimo ni muhimu .Aachane na habar za Dr Mwaka aende hospital
Asante kwaushauri
 
Adnexitis,vipi kwa mara hizo zote ambazo amekua akitibiwa je mumewe pia alikua anapata matibabu?
 
Kwan hayo mapenzi lzm afanye.... C afanye vitu vingine hata kazi co lzm ufanye mapenzi....... Me siami i kama ametembea hospitalini wakakosa majibu kuna kitu waliambiwa mwambie akuweke wazi...... Na haiwezekani hospital washindwe kitu jf tuweze
aseee
 
Back
Top Bottom