Kila akifa kiongozi mzito tunamuenzi kwa sikuyake ambapo ni mapumziko day | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila akifa kiongozi mzito tunamuenzi kwa sikuyake ambapo ni mapumziko day

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BUMIJA, Oct 28, 2011.

 1. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Binadamu lazima afe,na viongozi ni wengi, na ajali ni nyingi,na ili kumuenzi kiongozi siku inapewa jina lake na watu wanapumzika kazi kiofisi hasa serikalini,na kila mwaka viongozi wanakufa.je unadhani siku kwa badae zikiwa nyingi haitaadhiri utendaji wa kazi na maendeleo kama elimu kivile.
   
 2. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Duh! Never thought about it!
   
 3. m

  micro_almunia Senior Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  NI NANI NA NANI WAMEPEWA SIKU AMBAZO WATU WANAPUMZIKA??? Nafikiri ni waasisi wa taifa tu. I dont think ni kwa kila kiongozi 'mzito'
   
 4. k

  kazuramimba Senior Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nawewe kufa kifo kama cha Gaddaf alafu tutakuenzi,au kufa kifo kama cha saddamu ili tukuenzi.Kimba wewe fikiri kabla ya kuandika mavi. This is the home of great thinker.
   
 5. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Kazura akili yako ina mimba,toa hoja acha kuongea pointless
   
Loading...