Kila afae atazikwa peke yake, mwanangu naliona kaa la moto kwenye paji la uso usilitoe mpaka babako afufuke

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Mwenye kuskia na asikie kauli hii, anae subilia aambiwa usiende kwenye misongamano utakufa, kama anajua hasipoambiwa hafi, nenda mwana kwenda.

hatuitaji kuambiwa tujifungue ndani huu ni ujinga mkubwa sanaaa siitaji kuilamu serikali kisa haijanifungia nikifa sifi na serikali sizikwi na serikali sasa naisubili ili iweje shubamit na atokae nje afe tu.
 
5.CORONA IMELETA TAHARUKI SI KITOTO, AFU MWEZI MCHANGA BADO JAMANI? 🤔
 
Mwenye kuskia na asikie kauli hii, anae subilia aambiwa usiende kwenye misongamano utakufa, kama anajua hasipoambiwa hafi, nenda mwana kwenda.

hatuitaji kuambiwa tujifungue ndani huu ni ujinga mkubwa sanaaa siitaji kuilamu serikali kisa haijanifungia nikifa sifi na serikali sizikwi na serikali sasa naisubili ili iweje shubamit na atokae nje afe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Slow down.
Turn off the engine, then turn it on again.
 
Back
Top Bottom