Kikwete's Stooge Foreign Policy?

Kubwajinga

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,194
297
For the first time in the history of Tanzania, our brothers in South Africa and Angola decided to boycot a gathering championed by Tanzania.

What does it tell us on our current foreign policy? Are we realy advocating for the region or we are driven by cheap fame and handouts?

Frankly, Kikwete and Membe are pushing our country into stooge foreign politics that are not compatible with our identity. It is unfortunate that even the charismatic MPs likes Zitto are supporting these ugly moves. We are in a pit, shouldn't we advise each other to stop digging instead of chearing the diggers?

Leaders boycott Sadc summit on Zimbabwe

Herald Reporters

A meeting of the Sadc Organ on Politics, Defence and Security in Swaziland to ratchet up pressure on Zimbabwe to call off tomorrow’s presidential election run-off flopped yesterday after Angola, the chair, and South Africa, the mediator, boycotted the summit.

A Government official, who is well-versed with the operations of Sadc, yesterday said Angolan President Jose Eduardo dos Santos and his South African counterpart Mr Thabo Mbeki — the Sadc-appointed mediator for Zimbabwe — did not attend the summit.

President Jakaya Kikwete of Tanzania and King Mswati of Swaziland attended the meeting.

"It was a bilateral meeting between two countries, it can never be a troika meeting. Troika means three and the deputy chair cannot call a meeting when the chair is there.

"Their resolution has no force in respect to Sadc, let alone Zimbabwe. The two countries (Tanzania and Swaziland) are only expressing an obligation to the Western world," said the official.

Tanzania and Swaziland called for the postponement of the presidential run-off.

Political analysts said Sadc needs to stand by President Mugabe since there were concerted efforts by Britain, America and their allies to divide the regional grouping and give space to their regime change agenda.

The analysts said Britain and the United States were clandestinely holding separate talks with Sadc member states in order to entice the regional bloc to change its stance and isolate Zimbabwe.

"Recently, Zambian President Levy Mwanawasa admitted that he was being pressurised by the British and Americans to isolate Zimbabwe.

"Sadc should also be cognisant of the fact that a weaker Sadc, without strongmen like President Mugabe, could easily give in to demands by the US such as the setting up of its military base, the Africom, which it is desperate to establish by September 2008. So Sadc needs to rally behind Zimbabwe now than ever before.

"It is clear that if Sadc stands firmly with Zimbabwe, the West will say it is not effective and democratic, but what is happening in Zimbabwe can happen to any other Sadc country. So the solution is for Sadc to remain focused on supporting President Mugabe,’’ said one analyst.

Last night, Local Government, Public Works and Urban Development Minister Cde Ignatius Chombo said MDC-T leader Morgan Tsvangirai was a political weakling who never takes any "struggle" to the bitter end.

"He lacks determination, stamina and endurance to see things to the bitter end," Cde Chombo said.

"He has tried to pre-empt his imminent defeat on Friday by pulling out."

After their attempts to get the United Nations Security Council to declare Tsvangirai president of Zimbabwe failed on Tuesday, the US and British governments have now resorted to shrill threats in their attempts to stop the presidential run-off set for tomorrow.

On Monday, London and Washington unsuccessfully tried to get the Security Council to declare Tsvangirai the ‘‘legitimate president’’ of Zimbabwe basing on the March 29 elections but other members — led by China, Russia and South Africa — indicated that it would be illegal to stop the run-off.

Legal experts across the political divide have since indicated that the run-off is a legal fait accompli.

Western media yesterday quoted British Prime Minister Gordon Brown, during his weekly question time, threatening to push the European Union for more sanctions against Zimbabwe as US Ambassador to Zimbabwe James D. McGee issued a veiled threat to the Government, saying ‘‘the US would take ‘expected’ steps’’.

The EU imposed economic sanctions on Zimbabwe following the expulsion of Pierre Schori, head of its observer mission to the 2002 presidential poll, for violating his visa conditions.

This is the second time in as many months that McGee has threatened violence on the State following a letter he wrote to the media last month, saying the US was gathering ‘‘evidence of the atrocities being committed’’ so that the perpetrators can be brought to book.

McGee called on Sadc to impose sanctions on Zimbabwe, saying that would not be difficult since Zimbabwe was landlocked, though he expressed pessimism that Sadc would sell out Zimbabwe.

Brown’s threats came as the England and Wales Cricket Board backed his decision to ban Zimbabwe’s cricket team from the UK.

"We want to ensure that Zimbabwe does not tour England next year," Brown said. "And we will call on other countries to join us in banning Zimbabwe from the Twenty20 tournament," which is being held in Britain next year.

Zimbabwe was scheduled to play next June in the Twenty20 World Cup in England. The team was also due to play England in two Tests and three one-day matches.

Analysts said the desperation by Tsvangirai and his allies in London and Washington was clear proof that they knew their game was up in Zimbabwe.
 
mwaka huu ndio tutajuulikana kama tanzania kuna demokrasia au mbwebwe tu.

afrika inahitaji kuwa na msimamo mmoja juu ya hali ya zimbabwe japo kuwa napinga kupeleka vikosi vya jeshi letu huko au kutishia kufanya hivyo kama ilivyofanywa na rais wetu
 
lakini hawa walioandika hii si wazimbabwe wenyewe!

Miye jana niliandika hapa kuonyesha kwamba hata SADCC JK hana respect kama asivyokuwa nayo ndani ya Tanzania. Huyo jamaa ni kichekesho kitupu. Hii ni ishara nyingine kwamba huyu jamaa hastahili kupewa awamu nyingine.
 
Leaders boycott Sadc summit on Zimbabwe

"Sadc should also be cognisant of the fact that a weaker Sadc, without strongmen like President Mugabe, could easily give in to demands by the US such as the setting up of its military base, the Africom, which it is desperate to establish by September 2008. So Sadc needs to rally behind Zimbabwe now than ever before.

This is foolishness! Africa is not so scarce of strongmen that it can justify evils and deaths for the 84 year old weak Mugabe to fufill his selfish ambitions.
 
lakini hawa walioandika hii si wazimbabwe wenyewe!

Wanaandika kilichotokea. Hata WaZimbabwe wanashindwa kutulaumu maana bado wanashangazwa na msimamo wa Kikwete.

Kikwete anaiangusha Tanzania. Misimamo yetu siku zote ni imara hata wakati wa shida au tunapopumuliwa na wakubwa. Nafuu ya Mkapa ambaye aliwaambia wazi Waingereza kuwa, ingawa Blair ni rafiki yake, lakini hilo halitatufanya kufanya anayohubiri, maana Zimbabwe ni ndugu zetu na historia ya shida zao tunaijua vema.
 
This is foolishness! Africa is not so scarce of strongmen that it can justify evils and deaths for the 84 year old weak Mugabe to fufill his selfish ambitions.

At 84yrs, Mugabe have no self ambitions. He is clinging into power to safegurd his soul, dignity and offcourse to some extent the liberty of Zimbabweans.

If you are myopic, you will only see the recent violence, but if you are inteligent and inquisitive, you will look at Zimbabwe in a much broader way, with attention made to the questionable endless attention given to the Zimbabwean affairs by the British government, her allies and their media.
 
hali hii ni ngumu kuliko tunavyoichukulia.
kikwete akisema twende vitani ikilazimika, watanzania tunamkaa kooni na kusema kikwete anataka kwenda kutuulisha kwa kumtoa fisadi wa zimbabwe wakati hapa nchini kuna mafisadi anawaaacha.
akiona aungane na viongozi wenziwe wa afrika wamshinikize mugabe asiendeshe uchaguzi kesho, viongozi wa afrika wanamtenga ( labda kwa kuwa hawamthamini au hawathamini michango yake).
the guy is in a big dillema.
 
kikwete is in a lose-lose situation right now.

Kasema Tanzania tuko tayari kwenda vitani, anapata backlash.

Angejiuma uma na kutosema hivyo angepata backlash kwamba aseme hivyo.

Hapo ndipo utamkumbuka Nyerere na "Ikulu haikimbiliwi".Inabidi mtu afanye maamuzi bila kujali popularity na kwa kutumia tact ya hali ya juu.
 
hilo gazeti ni la zimbabwe na ni type ya uhuru au daily news.mbeki is a coward, na aondoke tu aingie xuma, few strong barve men will stand for democracy, mi namsapoti kikwete on this, sjui mbeki kwanini anamuogopa mugabe namna hii, shame!!

mbeki mtu mbaya sana, he is a coward and hypocrite, anajua wazimbabwe in thousands wanakimbilia SA lakini yeye anaona shwari tu, hata babu mandela jana kampaka mugabe huko london

ceteris peribus, kitendo tu cha kubadilisha katiba ili uendelee kuongoza, inakuonesha we ni mtu wa aina gani, selfish, greed, and a dictator.shame on him! I stand by our president on this, hata kama wame-boycot, wamefanya hivyo out of hypocracy
 
Moshe,

Mbeki ni mtu mmoja rigid sijawahi kuona.Yeye anaangalia kila kitu with the lens of the liberation struggle, kwamba Mugabe ni comrade wetu aliyetusaidia wakati wa uhuru na hapendi mambo ya Afrika yaingiliwe na wazungu kwa hiyo anaona bora Mugabe kuliko Morgan.
 
ndo maana namuona kituko, nobody can deny mchago wa mugabe kuipatia uhuru zimbabwe, na nobody is trying kupotosha hilo, ila ukweli unabaki palepale, kwanza kabisa siyo leader, ni ruler.Halafu ameendelea kutuaibisha kama vionozi waliopita wa africa waliokua wanafia madarakani.

angalia alichofanya mobutu, kina banda, nk.wanaziharibu nchi for decades to come.zimbabwe ilikua among few countries with a stable economy in africa, angalia alipoiweka!! poor economic policies, hyper inflation, nk

Huwezi kumlaumu m-west kwa zimbabwe kua pale, ni mugabe ameiweka paleits gonna take decades zimbabwe kurudi ilipokua.
 
Moshe,

Mbeki ni mtu mmoja rigid sijawahi kuona.Yeye anaangalia kila kitu with the lens of the liberation struggle, kwamba Mugabe ni comrade wetu aliyetusaidia wakati wa uhuru na hapendi mambo ya Afrika yaingiliwe na wazungu kwa hiyo anaona bora Mugabe kuliko Morgan.

Pundit,
Huko ni kujidanganya. Mbeki anaielewa hali halisi ya Zimbabwe sana na sio kweli anamlinda Mugabe kutokana na historia za ukombozi tu. Kama ni joto la yanayotokea Zimbabwe, yeye ndie analisikia zaidi kuliko hata Kikwete.

Zimbabwe suala sio uchaguzi au demokrasia, maana kama ingekuwa ni hivyo, karibu Afrika yote na mashariki ya kati wangetakiwa kubanwa maana wana hali mbaya zaidi za kidemokrasia kuliko Zimbabwe. Lakini hawasumbuliwi kwa vile hawana anachotaka Muingereza. Waingereza wanataka kichwa cha Mugabe ili kuwaonyesha viongozi wengine wasije wakajaribu kufanya alichofanya Mugabe, kurudisha mali za mkoloni kwa wazawa. Ndio maana, licha ya makosa ya Mugabe yaliyopo wazi, Mbeki na hata Mkapa, walioona mbali, walishatambua matokeo ya waingereza wakifanikiwa wanachotaka kiwe hapo Zimbabwe.
 
Mugabe ni fisadi... kiongozi yeyote ambaye anasababisha mamilioni ya watu wake kukimbia nchi na kufa kwa njaa na mateso ya hali ya juu kama wananchi wa Zimbabwe hafai kuiongoza nchi yoyote ya Afrika.
 
hilo gazeti ni la zimbabwe na ni type ya uhuru au daily news.mbeki is a coward, na aondoke tu aingie xuma, few strong barve men will stand for democracy, mi namsapoti kikwete on this, sjui mbeki kwanini anamuogopa mugabe namna hii, shame!!

mbeki mtu mbaya sana, he is a coward and hypocrite, anajua wazimbabwe in thousands wanakimbilia SA lakini yeye anaona shwari tu, hata babu mandela jana kampaka mugabe huko london

ceteris peribus, kitendo tu cha kubadilisha katiba ili uendelee kuongoza, inakuonesha we ni mtu wa aina gani, selfish, greed, and a dictator.shame on him! I stand by our president on this, hata kama wame-boycot, wamefanya hivyo out of hypocracy

Moshe,
Propaganda za vyombo vya magharibi vimekuingia sana kiasi cha kutoelewa ni nini kilitokea na kipi kinaendelea huko Zimbabwe.

Zimbabwe huu ni uchaguzi wa tatu kama sijakosea tokea vyama vingi viruhusiwe ambapo miwili ya kwanza, Mugabe alishinda lakini bado waingereza hawakuikubali. Jumuiya nyingi za kimataifa ziliikubali kasoro tu waingereza maana kwao uchaguzi halali ni pale Mugabe atakaposhindwa na hapo hiyo ndio inakuwa demokrasia.

Zimbabwe katiba yao ni kama ya Uingereza ambapo hakuna term limit. Hata hivyo, Mugabe anang'ang'ania madarakani kwa vile tu waingereza wanataka aking'atuliwa wampeleke jela, kama ni wewe utayaachia madaraka hasa ukiwa na miaka 84 karibu na kusalimu amri ya udongo?

Ingawa Mugabe anaweza kubebeshwa baadhi ya lawama kwa kuwepo kwa uchumi mbovu, lakini kilichoangusha uchumi wa Zimbabwe kilianzia na masharti ya IMF na baadaye vikwazo vya UK na US. Kabla ya hapo Mugabe alishaibadilisha Zimbabwe ikawa na uchumi bora kabisa Africa na elimu bora kwa kila raia ndio queen akaamua kumpa uKnighthoo. Ila hivi sasa Waingereza hawatakuambia ni kwa nini Mugabe alipewa hiyo Knighthood.
 
Human Rights abuses na killings za Midlands na Matabeleland tu mwaka 1982, achilia mbali hizi mpya, zilitosha kumpeleka Mugabe The Hague a long time ago.
 
Human Rights abuse za Matabeleland tu, achilia mbali hizi mpya, zilitosha kumpeleka Mugabe The Hague a long time ago.

Ili ujue unafiki wa Waingereza na wenzi wao, walipokuwa wanamsifia na hatimaye kumpa uKnighthood, hayo ya Matebeleland yalishatokea na hawakusema lolote. Alipochukua ardhi na kuigawa, mbingu zikafunguka na sifa zake zikayeyuka.

Hawa watu watakupenda kama hutawazuia kutumbua vitu wanavyovitaka.
 
hii si sababu ya kumfanya Mugabe afanye anayowafanyia wananchi wake leo hii. Kutetea mtu ambaye anafanya watu wachukue manoti kibao just to buy a bread ni jambo ambalo kwangu halitoshi maelezo wala jina.

Mugabe ni fisadi, na pia amezeeka kuiongoza Zimbabwe, bila kujali kinachosemwa na waingereza au wamarekani, Mugabe aondoke madarakani ili kunusuru maisha ya wazimbabwe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom