Kikweteaitangaza tume aukusanyaji maoni ya katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikweteaitangaza tume aukusanyaji maoni ya katiba mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mashy, Apr 6, 2012.

 1. M

  Mashy Senior Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Leo Rais Jakaya kikwete ametangaza rasmi majina ya tume ya kukusanya maoni ya mabadiliko ya katiba, itaongozwa na Jaji Warioba
   
 2. F

  Falconer JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Kazi imeanza rasmi. Sasa ni wakati wa katiba mpya ya Tanzania. Nafikiri ndio njia ya kutaka kuhalalisha muungano au kuvunja muungano. Walio teuliwa ni watu wenye akili timamu kwa pande zote mbili. Jaji Warioba ndie dereva wetu katika sakata hili. Haya waungwana "BRAIN STORM" imeanza.
   
 3. adil_abdallah

  adil_abdallah Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katiba yetu tutakae ichangia katika kuundwa,ndio chombo pekee chenye kuweza kutuinua au kutudidimiza sisi tulie changia kuiunda na vizazi vyetu vya baadae ambavyo vitakua havina hatia..kwaiyo watanzania tutafakari kwa kina kwa kila ambalo lita pendekezwa kuingizwa katika katiba yetu,na tukumbuke ni ya watanzania kwaiyo ni kwa faida ya watanzania pekee!!
   
Loading...