Kikwete ziarani Zanzibar: Ahadi, vijembe, na maagizo

Ok ...Karibu Wete

attachment.php

...kwa haraka haraka nilidhani Mlandege mitumbani, 'kwa- Kidishi' :D, ila duh, uchakavu wa hayo maghorofa yatisha yakhe!
 
...kwa haraka haraka nilidhani Mlandege mitumbani, 'kwa- Kidishi' :D, ila duh, uchakavu wa hayo maghorofa yatisha yakhe!

Nasikia Wete ni mji Mkuu na hiyo barabara ni kigezo cha hizo barabara zilizosifiwa au alipost ni mpinzani hataki tufaidike na hizo barabara tulizosifiwa?
 
Back
Top Bottom