Kikwete ziarani Zanzibar: Ahadi, vijembe, na maagizo

Is this the time when Field Marshall John Okello should be remembered or ...?

The Nine Hour Revolution - visit <http://www.zanzibarhistory.org/zanzibar_revolution.htm>

Zanzibar is well known for it's "Shortest War in History". A 19th Century battle that lasted only about 45 minutes but served to demonstrate for all time the Iron fist beneath the pre-colonial European domination of East Africa.

What is less well known is the 20th Century record Zanzibar set for similar brevity in the Zanzibar Revolution of 1964. In this Revolution a government with over a century of continuity was toppled in less than a day. Essentially a Settler Society, with well defined Arabic, Indian, Swahili, Comoran and indigenous elements, and ruled by an Hereditary Sultan, the newly independent Nation of Zanzibar vanished in astounding suddenness.

That night was full of suspense and surprise, courage and despair. It began at 3 am on the day just before a large religious Holiday. The holiday prompted large numbers of people to congregate in and around Stone Town. They set up tents or just sleep under the palms while awaiting the opening of the festivities in the morning. Among the crowds were large numbers of young men, some of these men were followers of a minor politician named John Okello. Just how many men actually followed Okello into revolutionary battle is of some dispute.

It is clear that by the end of that fateful day thousands had joined the revolutionaries but this was after the results were known. It's also true that Field Marshal Okello talked of having had 4 "battalions" in the field against the government forces that night, but how men many were really there when it counted?

Okello reported that the revolution began when he marched in the dead of night on the Ziwani Police Barracks (and Armory) at the head of the 250 men of his "4th Battalion". At 3:00 am he ordered his men to cut the wire surrounding this fortified compound. That was the first real revolutionary act and it served to "separate the men from the boys". Okello said of his men at the time, "The enormity of our predicament was suddenly obvious to them: we, armed with pangas, spears and a few motor car springs were going to face the risk of close combat with men armed with automatic rifles... ".

All but 40 men deserted or refused to crawl through the wire.These 40 men seized the Island of Zanzibar and toppled a dynasty that had ruled the islands through 12 Sultans for over 133 years !!!

The revolutionaries crawled to within 25 meters of the Barracks building. Inside, asleep were scores of paramilitary police. However like most sensible people on Zanzibar they slept on the upper floors of the building, where cooling ocean breeze could ventilate the hot tropical nights. Only two men were awake and on guard duty below.

John Okello and his men rushed at these guards. Automatic fire rang out and three of the 4th battalion men went down. However one of sentries also fell, downed by an arrow shot by a revolutionary named Albert. By then Okello had closed on the remaining sentry. It was here that the deciding moment of the revolution occurred. The two crashed together, the Field Marshall tells us that "I got hold of the gun, we fought and I managed to hit him in the cheek with the gun butt". The firing stopped.

His men were now at the gates of the armory where hundreds of modern weapons and thousands of rounds of ammunition were locked up. The police above, who were unarmed, (in keeping with standard peacetime practice, all weapons were locked away "for safekeeping" when the officers were off duty), attempted to storm down the single exterior staircase and enter the fray. However the 4th Battalion men unleashed a rain of spears, arrows and stones on the stunned troops and they piled up upon themselves on the narrow staircase. Okello's liberated rifle, which had only three bullets left, decided the issue with a short burst of fire. The police retreated back upstairs to look for ropes to lower men out of the windows.

It was too late. The doors of the armory gave way and the 4th Battalion rushed in. Soon every man was armed with a modern automatic rifle. The "Freedom Fighters" who had tarted the night armed with sharpened automobile springs now were the best equipped force on the Island. They poured a fuselage of fire into the upstairs rooms and very shortly the surviving police surrendered.

The Sultan's forces made one serious attempt to counter attack the rebels. The "flying squad" arrived on the scene* about an hour after the defeat of the Ziwani garrison. These 75 or so men had only light duty firearms and were no match for the now heavily armed Battalion ensconced in the fortified Armory. The rebels allowed the Sultans' paramilitary police to approach and then poured an overwhelming storm of fire into them. The firing was so intense that the surrounding bush caught fire and the police retreated in despair.

With their new base secure, guns were distributed to the other three Battalions (who had encircled but not yet attacked other key sites). In short order the few other police posts and the communications centers were overrun and captured. The most serious resistance was offered by the Malindi Police Station, where firing could still be heard in the late hours of the morning. However by noon the Sultan had fled, the rest is history.

Summary - On the night of January 12, 1964 a band of some 300 people violently seized the Island of Unguja. They were led by a little known man named John Okello, who had lived on Pemba, having come to the Islands some years earlier from Uganda. In Zanzibar he developed a popular following among a core of young, tough men, many of whom were the Stevedores and Porters who worked the ships coming in and out of Zanzibar Harbor. His group met in secret. He promised changes to these men, fellows long used to working together, in sometimes dangerous settings, and ready to follow orders of any "captain" who could pay their fee.
 
SALAAMS,
Wazanzibari na Wa Tanganyika Wenzangu.

Mheshimiwa awagawa watu wa Zanzibar anatumia hila ya wagawe uwatawale.

TUMEIONA SILAHA YAO KUBWA WATANGANYIKA NI KUYASIFU MAPINDUZI ETI WATAYALINDA KWA GHARAMA YOYOTE. MARA ATAKAE YACHEZEA MAPINDUZI ATAKIONA , NA HUYU MSANII NAE KAJA NA MPYA YAKE WAPINZANI HAWATAWALI HAPA NA ITACHUKUWA MUDA MREFU KUINGIA MADARAKANI AU WASIINGIE KABISA.

SASA HAPA TUMTIZAME MLEVI WA TENDE NA MWENDAWAZIMU ,YUPI KATI YAO ANATUFAA KATIKA JAMII .KUWAITA WATU WALEVI NI KUWATUKANA WALE WALIOKUZUNGUKA KWENYE UTAWALA WAKO KUANZIA WEWE MWENYEWE NA TAKRIBAN MAWAZIRI WAKO WOTE NI WALEVI KUPINDUKIA. JEE UTAPINGA HILO?

MIMI NAHISI KIKWETE ALIKUSUDIA KUWALAGHAI WAZANZIBAR NA WANA CCM ILIWAJIONE TUNALINDWA NA KUTHAMINIWA NA SERIKALI YA TANGANYIKA ILIOVAA JOHO LA MUUNGANO KWA LENGO LA KUTAKA WALAINIKE NA WAKUBALI MAFUTA YA ZANZIBAR YAWE YA MUUNGANO ,HILI NDIO MATAKWA YAO.

LAKINI TUNASEMA KIKWETE AMECHELEWA SANA SANA , NJIA HII YA KUWAGAWA WAZANZIBARI KWA MISINGI YA WALIOPINDUA NA WALIOPINDULIWA IMEPITWA NA WAKATI . HATUKO TAYARI TENA KUPOKEA FITINA ZA KIJINGA NA KIPUMBAVU KAMA HIZI. WAKOWAPI WALIOPINDULIWA KWA MIAKA 45 ILIOPITA ?
KUNA WATOTO WA WANAMAPINDUZI AMBAO KWA SASA SIO RAHISI TENA KUWABAGUWA WENZAO WA KIZANZIBAR KWA MISINGI YA CHUKI,FITINA ,UWADUI,NA MAJUNGU YA KIPUUZI.

KAMA KIKWETE ANGELIKUWA MSTARABU WA LUGHA ASINGETHUBUTU KUWAGAWA RAIA WAKE KWA MATABAKA YA WALIOPINDULIWA NA WALIOPINDUWA. HUWEZI KUWAGAWA TENA WAZANZIBARI HAWA 1MLN KWA MAKABILA DINI NA SIASA. TUKO IMARA NA TUMESHIRIKIANA SOTE KWA LENGO LA KUILINDA ZANZIBAR NA WATU WAKE.

HUWEZI TENA NA HAMTAWEZA KUTUYUMBISHA TUTENGANE KWA KISINGIZIO CHA MAPINDUZI .MIMI UMRI WANGU NI MIAKA55,SASA NA SINA KUMBUKUMBU ZA DHATI KUYAKUMBUKA HAYO MAPINDIZI. HUYU RAISI WA ZANZIBAR ALIOPO MADARAKANI WAKATI HUO ALIKUWA NI KIJANA WA MIAKA 17 TU,KAMA YUKO SHULE NI PRIMARY SCHOOL ,HAKUPINDUWA WALA MIMI SIE NILIE PINDULIWA ,SASA MIMI NA AMANI UGOMVI WETU UKO WAPI ,HATA KIKWETE AJE KUTUTISHA ?

KUTUSIFIA ZAHANATI ZISIZO KUWA NA DAWA BARA BARA MOJA KUTOKA MKOANI MPAKA CHAKE CHAKE NI KUWASIMANGA WATU WA PEMBA NA UNGUJA.

WEWE KAMA RAIS ILIBIDIKULIJUWA ULISEMALO NA HUSTAHIKI KUZUNGUMZIA ULISIKIALO , ONA HALI YA MAISHA YETU HAPA VISIWANI, LINGANISHA HALI YA UCHUMI WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR KWELI INASTAHIKI KUWEKA KODI SAWA SAWA NA NYINYI HUKO BARA ?

VIPI MZANZIB AR MUMEMUWEKA KTK RAMANI YA MAISHA ?KAMA TUKISEMA MUMEKUSUDIA KUTUMALIZA KWA DHIKI YA MAISHA MABAYA ILITUKIMBIE MAKWETU NA KUHANGAIKA NA DUNIA SIO KWELI ?

NDUGU YANGU KIKWETE UMEKUBALI JUKUMU LA KUIONGOZA TANGANYIKA NA ZANZIBAR KWA JINA LA TANZANIA ,UJUWE KAMA UNAJUKUMU MBELE YA ALLAH,FANYA UFANYALO UWA KADIRI YA UTAKAO WAUWA NA TESA JUU YA UWEZO WAKO ,LAKINI IKO SIKU NA WEWE UTAHITAJIKA, UTAJIBU, NA UTAHUKUMIWA TU, HILO NILAZIMA KWETU SOTE NA NIWAJIBU WAKO KULIJUWA,PIA NI WAJIBU WETU KUKUMBUSHANA.

KARIBU ZANZIBAR 2010 NA WEWE TIMIZA ULIOYAKUSUDIA KUYAFANYA USILETE VITISHO KIBURI NA KUJIGAMBA TUPO NA M/MUNGU NI SHAHIDI WA ULILOLIKUSUDIA , karibu.
Lakini kuwagawa waZanzibari kuwa hawa wamepindua na hawa wamepinduliwa hapo utakuwa umekwenda mbali sana na Utawala bora aidha kama ulevi basi uliemwambia ni Karume maana ni nambari moja na bara bara sijui ulipita zipi na kama maji haijulikani ulikoga wapi. Endelea na usanii wako maana mitano ishamaliza haijulikani kama huko Tanganyika watakupisha uwasomee matukio ya kila mwisho wa mwezi yaani unatoa mishahara ya maneno ,walimu wamekushinda umewaajiri tokea Julai hadi leo unawabangaiza.
 
Punguza ghadhabu ndugu yangu. Umeshindwa kumeuelewa Kikwete na anachokieleza. Hivi wewe kama kweli unawaambia watu wa miaka 45 (ndani ya Mapinduzi)kuwa hawana maendeleo na eti maisha yao si mazuri kushinda wazee wao wakati ule wa Ukoloni na Usultani- Utakuwa unaeleza ya uadilifu au ya upunguani ambao unaweza kufananishwa na ulevi wa Tende (Ubugiaji -kinibu). Zanzibar haigawiwi na CCM, bali na CUF iliyoweka mstari wa mbele siasa za chuki za Upemba na UUnguja- na inayotaka kuwatenga Ndugu zetu wenye asili ya kibara, hata pale ambapo wameshaishi Zanzibar kwa zaidi ya miaka 50 (wamezaa na kujukuu) pengine na Dada zetu wenyewe.
 
Wewe kama CCM ndio wanaokufadhili basi endelea nayo,kwa visiwani rafikiyo Kikwete ameshawekwa pembeni na sidhani kama atakwenda kwa karibu au hatoenda kabisa,kama hayo aliyoyaita Kikwete ndio maendelea basi iwe anaropoka hivyohivyo kwani kama angefanya utafiti wa kinadharia basi asingefika kusema utumbo ule ambao waliokwenda kumsikiliza siyo matarajio yao kuwa Raisi mzima tena Mwenyekiti Afrika kusema kusifia barabara tena barabara zenyewe zile zinazoingia kwenye mitaa ya ufuska(Mahoteli yenye kutembewa na vichupi tu) sijui kama unayajua hayo huko ndiko bara bara zilikochongwa japo ulimi wa nyoka lakini zimetulia zikimaanisha eneo unaloliingia lina mambo.
Raisi wa Tanzania na Mwenyekiti Afrika Union kwenda kusifia hospitali ambazo hazina dawa waganga wauguzi wala wapuuzi ni aibu ,kwa yeye kusema au kuyasifia maendeleo asiyoyatembelea,..unajua ilikuwa ile akipita barabarani anaambiwa na mwenyeji wake ile pale ni kituo cha Afya .Maana kama angekuwa anateremka na kukagua basi huenda angetema mate.
Raisi na Mwenyekiti wa Afrika Union kwenda kusifia miradi yamaji ambayo imeletwa na wafadhili ni aibu nilitaraji angesema serikali ya Muungano imekamilisha mradi wa matanki ya maji japo maji hakuna,hivi wewe kama rafikiye nenda kamuulize Serikali ya Muungano imejenga mradi gani Zanzibar ?
Eti ubaguzi unaletwa na CUF nafikiri kijana una tatizo na akili yako si bure kama wale walionajisiwa kule Pemba wangekuwa dada zako au mamayako au alielawitiwa angekua kaka yako au baba yako au rafiki yako au mtu wa karibu yako ungekwenda na wewe wa kakufanyizia hivyohivyo kwa jinsi unavyoipenda CCM,maana huwezi ukaisifu na kuipenda CCM kama huyapendi mambo yao na hayo ndio wanayoyajua hivyo nenda wakakushughulikie lakini kwa wanaotoka Zanzibar hasa Pemba CCM yeyote ni adui nambari moja.
Kikwete asione amekwenda Pemba watu wakamchekea akaona wamependezwa hata hao aliokuwa akifuatana nao ambao ni wakutoka Pemba basi wanaichukia CCM na serikali zake ila CCM wanakaangwa kwa mafuta yao hivyo atakaekuja atapokewa na kufurahiwa usoni tu lakini ndani ya mioyo hakuna CCM ila alie mwanaharamu,upo.kila alie CCM Pemba basi ana walakin na hivyo ndivyo ilivyo na ndio ukaona wale WaPemba wote wameondolewa ndani ya CCM kuanzia juu hadi chini kwani inajulikana wazi Kwa waliofanyiwa WaPemba basi hakuna Mpemba wa kweli atakaefanya kazi na madhalimu.
Na kama huna habari kwa waliofanyiwa Wapemba mhusika mkuu anaengwa engwa siku akipatikana atakiona kilichomtoa kanga manyoya ,watu wanampeleka kwenye mahakama ya Kimataifa labda ukimwi alio nao umuue,Mkapa inajulikana wazi amepata ukimwi na ndio ukamuona anatutumuka au ananenepa kuliko kimo chake yote kwa sababu ya kutumia madawa ya ukimwi ambayo kazi yake ni kunenepesha mwili lakini siku zake zinahesabika,yeye anafikiri alipokwenda kubadilisha damu watu hawakujua alipowadanganya na kuwaambia alikuwa na matatizo ya mguu.
Basi Pemba peremba Kikwete alidhani atawadanganya watu na mashairi yake yasiokuwa na miguu wala kichwa lakini amechemsha tena amechemsha sana,kwanza watu wana hasira zao za kuambiwa Zanzibar si nchi halafu amekwenda kuwakejeli mbona huku Tanganyika anakuwa mkali na kukagua maendeleo na kuyahimiza na kuwafukuza watu au kuwabadilisha na hata kuwapa muda ili kama jambo fulani halijafanywa itabidi mhusika ajieleze ,hilo mbona halifuatilii wakati yeye ndio Kiranja mkuu wa Tanzania au ukiranja unakuja wakati watu wakisema Zanzibar ni nchi ? Kama alikuwa na haja ya kusifu kwanza angekagua lakini wapi amekurupuka tu na kusema yasio kuwepo,anafikiri watu ni vipofu ! Kwa ufupi ameshatolewa maana na hana upendo kama aliokuwa nao wakati akiikamata nchi hii,zaidi anaoeneka muongo asietimiza ahadi hivyo anaingia katika kundi la unafiki na kwa mtu wa aina hii waislamu wanamwita ni Mnafiki kwani moja kati ya sifa za mnafiki ni kusema uongo na Kikwete amesema uongo na katika sehemu nyingi inaonekana si mtekelezaji wa yale anayoyasema,hivyo anatoa ahadi za uongo.
Je Raisi muongo anafaa kuongoza nchi ? Kwa nini wabunge hawamfikishi katika kiti moto na wanayo fursa hiyo au katiba ibadilishwe ili kuwabana Maraisi wanaosema na kutoa ahadi za uongo.
Hapa niliwahi kuandika kuwa Sasa ni zamu ya Kikwete kwenda kuua WaZanzibari ,Heading ambayo iliondolewa kwa kuwa tu ilionekana haina ukweli lakini mmesahau kuwa mazoea ya CCM hayatobadilika mpaka watu watakapoamua kiuhakika hapo ndipo kila kiongozi atakuwa na heshima na adabu na ajue kuwa amechaguliwa na Wananchi na haongozi mbuzi au ng'ombe. Lakini kwa hapa tulipo hawa wanaiba hawa wanawalinda bado Mtanzania atakuwa na kazi ndefu.Huyo hapo Zitoo alikuwa mstari wa mbele ameingizwa kwenye kamati na CCM leo hii humsikii ila utamuona mara yupo kamati hii mara ile akila fedha ya walala hoi,hakuna wakumhoji ,ule ukali na makeke yake yote yamezikwa na kulazwa nae anabakia kubabaisha watu tu akionekana kasema maneno mawili matatu mchezo kwisha.
Ila Zanzibar Kikwete atadunda nafikiri habari za vikao vya ndani kuhusu mafuta amezisikia na maneno ya WaZanzibari ambao wengine ni hao hao CCM wenzake walipokuwa wameketi na wenzao wa bara kujadili.Hivyo mwache aweweseke na ndoto na kuwadanganya watu lakini Zanzibar hivi sasa imezidi kujizatiti na watu karibia wote wapo kitu kimoja na wanapeana tahadhari na hizi ngonjera za mlinda mapinduzi mpya.
 
Basi Pemba peremba Kikwete alidhani atawadanganya watu na mashairi yake yasiokuwa na miguu wala kichwa lakini amechemsha tena amechemsha sana,.
Sana mkuu... watu wasio na haya na sio tatizo kwao kujisaidia haja kubwa kwenye visima vya maji, tena vya kwao wenyewe!

Bora walivyosimamishiwa matenki ya maji, kwani itakuwa ni binde kupanda juu ya tenki na kwenda kufanya uchafu wao. Huu ni msaada mkubwa sana mliopewa na ni vema mkauheshimu.
 
Kikwete aambiwa maendeleo si barabara
Salim Said

BAADA ya Rais Jakaya Kikwete kusema kuwa, wanaobeza maendeleo yaliyoletwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), ni walevi wa pombe ya kienyeji aina ya tende, Chama cha Wananchi (CUF), kimesema amekikejeli kwa wananchi na kumtaka asipime maendeleo kwa kuangalia barabara, bali maisha ya watu.

Wakizungumza na Mwananchi jijini Dar es Salaam jana, viongozi wa ngazi za juu wa CUF walisema, Rais Kikwete hajui maana ya maendeleo kwa kuwa anayapima kwa kutumia barabara badala ya kuangalia maisha ya watu.

Walisema inaonekana Rais Kikwete amefanya ziara hiyo kwenda kuwakejeli kwamba ni walevi wa pombe aina ya tende.

Juzi rais Kikwete alinukuliwa na vyombo vya habari akisema kuwa wanaobeza maendeleo yaliyoletwa na SMZ na Serikali ya Muungano kuwa ni walevi wa pombe ya kienyeji aina ya tende.

Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Zanzibar), Juma Duni Haji, alihoji kama maendeleo yanapimwa kwa kuangalia barabara na kuvalishwa kofia ya kiua (maua) na wananchi wa Nungwi basi wanampongeza rais.

"Kama maendeleo yanapimwa kwa kuangalia barabara za kwenda uchochoroni na kuvalishwa kofia ya kiua na wananchi wa Nungwi, basi tunampongeza rais wetu," alibeza na kuongeza.

"Barabara zote zilizopo Zanzibar ambazo rais anasema kuwa ni maendeleo, kwa ubora hazikaribii hata barabara moja tu ya kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma."

Alikumbusha kuwa, ahadi ya hayati Mzee Abeid Amani Karume kwa Wazanzibari kuhusu kupata elimu, maji na afya bila ya malipo ilikufa pamoja naye, kwani mpaka sasa hakuna hata kimoja kati ya hivyo kinachotolewa bila ya malipo.

"Karume alienda Pemba miaka ya 60 wakati kuna njaa kali na watu wanakula machochoni, akawakejeli kwa kusema: ‘Angalia watu mambo yao, wanang’ara hadi nyuso zao’. Wananchi wakakasirika na yeye (Kikwete) leo anakuja kutukejeli!" alisema Duni.

Aliishutumu kauli za Kikwete kuwa ni za kilaghai na kwamba, zinalenga kujipendekeza kwa SMZ na Rais Amani Karume ili petroli ambayo ipo Zanzibar iweze kunyonywa na upande mmoja wa Muungano.

"Lakini sisi tumeshazishtukia kauli hizi ni za kilaghai, zinalenga na kujipendekeza kwa SMZ na Rais Amani ili wanyonye petroli yetu, hatukubali," alidai Duni.

Aliponda kwamba, serikali ya Muungano na ile ya Zanzibar haijafanya chochote kwa fedha zao na kwamba hata barabara zinazosemwa zimejengwa kwa fedha za wahisani.

Duni alisema Januari 30, mwaka huu watafanya mkutano mkubwa katika viwanja vya Kibanda Maiti, Zanzibar ambako wanakusudia kumwelewesha Rais Kikwete maana ya maendeleo.

Hata hivyo, alidokeza kuwa maendeleo ni ajira, elimu nzuri, miundombinu ya kutosha, afya zuri na maji safi ya kunywa, lakini leo ni miaka 49 ya Mapinduzi, wananchi wa Pemba wanatumia umeme wa jenereta, umeme wa Kivunge asubuhi upo jioni haupo," aliponda na kuongeza:

"Huko Nungwi alikopewa kofia ya kiua juzi kaulizwa swali mbele ya wananchi kwamba, kuna hoteli nyingi za kitalii, lakini mbona wafanyakazi wote wanatoka Kenya na Uganda kwa sababu ya elimu? Lakini hakujibu. Je, haya ndio maendeleo?

Naye Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad alisema, malengo ya ziara ya Kikwete visiwani humo mwaka huu ni kuwakejeli wananchi na si vinginevyo.

"Yeye ni rais wa wote, kwa hiyo anapaswa kusikiliza kero za wananchi na kuzifanyia kazi na si kutoa kauli za kejeli kama hizi, au hajui maana ya tende? Sasa ukiona kiongozi anasema kuna maendeleo na walengwa wanasema hakuna, ujue kuna tatizo hapo," alisisitiza Maalimu Seif.

Alisema rais kapotoka na anapaswa kujirekebisha kwa kuwa yeye kama kiongozi wa Watanzania wote, hapaswi kutoa kauli za kejeli na kinafiki kama hizo.

Alidai kuwa, mara ya kwanza Rais Kikwete alifika Zanzibar mwaka 1977 kwa hiyo haijui Zanzibar, vinginevyo kama angefika miaka ya 1960 kabla ya Mapinduzi angekuwa anaijua vizuri na asingethubutu kutoa kauli za kejeli kama anazotoa sasa.

"Kabla ya Mapinduzi Zanzibar kulikuwa na maendeleo, lakini yote wameyafuja na sasa wanaanza alfa kwa ujiti (mwanzo), halafu wanatumia ushabiki wa kisiasa na kutumia vibaya majukwaa kujisifu. Wajisifu kwa lipi kubwa walilofanya zaidi ya kuharibu?" alihoji Maalim.

"Wito wangu, namwomba rais wangu Kikwete akija Zanzibar, aje kwa nia ya kujua kero za wananchi na kuzifanyia kazi na huo ushabiki wake wa CCM auache huko huko Dar es Salaam," alisema Seif.

Katika ziara yake ya wiki mbili Unguja na Pemba, Rais Kikwete amejikuta akipandisha hasira na chuki za wananchi wa visiwa hivyo kutokana na kauli zake, ambazo zimetafsiriwa kuwa ni za kuwakejeli wananchi na kuongeza mpasuko wa kisiasa visiwani humo.

CUF naona wameanza kumjibu JK!!!!
 
Punguza ghadhabu ndugu yangu. Umeshindwa kumeuelewa Kikwete na anachokieleza. Hivi wewe kama kweli unawaambia watu wa miaka 45 (ndani ya Mapinduzi)kuwa hawana maendeleo na eti maisha yao si mazuri kushinda wazee wao wakati ule wa Ukoloni na Usultani- Utakuwa unaeleza ya uadilifu au ya upunguani ambao unaweza kufananishwa na ulevi wa Tende (Ubugiaji -kinibu). Zanzibar haigawiwi na CCM, bali na CUF iliyoweka mstari wa mbele siasa za chuki za Upemba na UUnguja- na inayotaka kuwatenga Ndugu zetu wenye asili ya kibara, hata pale ambapo wameshaishi Zanzibar kwa zaidi ya miaka 50 (wamezaa na kujukuu) pengine na Dada zetu wenyewe.

Ndugu yangu nadhani Mwiba ni muhusika katika hili kwani ni hisia zangu kuwa huyu Bwana anatoka huko. Wewe wala Mhe Kikwete hamjaonja joto ya kuwa Mpemba katika historia ya Zanzibar toka Mapinduzi ya 1964. Kama Mpemba hakuwahi kufa kwa njaa kabla ya Mapinduzi basi ameshafanya hivyo baada ya Mapinduzi, Kama Mpemba akipata umeme hata kama sehemu chache sasa hata hizo chache si za uhakika, Kama Mpemba hakudharauliwa na kuonekana mtu wa daraja ndogo asiefaa hata kujiongoza wakati wa ukoloni sasa Mpemba anaonekana hivyo katika jamii ya Zanzibar. Kama elimu ndio inayoamuwa nafasi za kitaalamu na uongozi kigezo hicho si kwa Mpemba. Haya na mengine chungu nzima yanafanywa kwa kisingizio cha Mapinduzi.

Sasa Bwana Pakacha na wengine pamoja na Mhe. Kiwete mnategemea Mpemba aseme nini iwapo ni CCM na kabla ASP ndiyo iyafanyayo hayo. Nafikiri kejeli kwa Wapemba si kadiri yao bali ni kutafutiwa mabadiliko yatayowafanya waone tofauti iliyo BORA kati ya wakati wa ukoloni na sasa. Tofauti ipo lakini si ya ubora bali ya ubaya na ndio maana wanasema ni bora wakati wa ukoloni awkishiba na wakionekana kama watu.
 
Tuangalie Maendeleo yaliokuwepo Zanzibar natumai hata Tanganyika yalikuwepo maana nakumbuka lile bulga la saa nne kwa waliosoma Tanga wanaujua uji huo.

Tuangalie maendeleo yalikuwapo leo yako wapi??????

1. Tulikuwa na viwanda mbali mbali kama vile cha sukari, viatu, maziwa, sigara na viwanda vidogo vidogo lakini leo vyote leo haviko;

2. Tulikuwa na meli za kifahari kama vile MV. Mapinduzi, MV. Uhuru, MV. Ukombozi leo zimekuwa mzigo kwa Serikali na hutamani hata kupanda kwa girisi iliyojaa na wakati mwingi huwa hazifanyi kazi;

3. Skuli tulipokuwa tunasoma tulikuwa tunapewa vitabu mbali mbali vya kufanya marejeo nyumbani kama Modern Biology, Physics, Chemistry, Geography ...nk. Pia tulikuwa tunakaa kwenye desk kila Mwanafunzi lake lakini leo wengi wanakaa chini;

4. Skuli tulikuwa tunatumia vifaa vya maabara vipya kutoka Uingereza kama vile Bursen burner, test tube, beakers, measuring flasks ...nk lakini leo skuli nyingi hazina vifaa hivyo;

5. Hospitali ukipelekwa kwanza unapewa cheti lakini leo unaambiwa ukanunue buku nje utafikiri unakwenda kusoma. Pia baada kwisha kuonana na Daktari unakwenda kuchukua dawa ambazo zote huwepo bila matatizo lakini leo inabidi ukanunue nje kwa Utapoa;

6. Nyumba tuliokuwa tunakaa ilikuwa ukifungua maji basi lazima ukamate kikombe kwa uangalifu au kikombe hicho kinaweza kukutoka kwa pressure ya maji lakini leo tokea mwaka 1994 hadi leo hakuna maji yaliyotoka;

7. Rais wa Zanzibar alikuwa pia Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini leo hata cheo chake hatukijui ni kipi maana tumeambiwa kuwa si nchi. Sasa utakuwa Rais usiokuwa na nchi?

8. Wa-Zanzibari ilikuwa ni aibu kupita njiani kuomba lakini leo limekuwa jambo la kawaida kutokana na dhiki za maisha kutokana na dudu la TRA kutukaba rohoni.

Sasa nawauliza pamoja na huyu mmachinga wa Chalinze Mkwere Kikwete apime au ayaone hayo yaliopo hapo na kama anahitaji ushahidi awaulize CCM wenziwe waliopo Zanzibar kama hayo ni ya kweli au ni propaganda ? Je hayo ni maendeleo au si maendeleo ? Hayo ndio yanayohitajika ili Serikali na yeye Kikwete kama Kiongozi wa au Raisi wa Tanzania na Mwenyekiti wa AU basi ndio maendeleo ya kujisifia linganisha barabara na hayo hapo yepi ni muhimu ? Na hasa ilivyokuwa ya juu yote yamefanywa na serikali kama matunda ya mapinduzi ni hayo yaliopo juu na si haya maendeleo anayoyasifu mlinda mapinduzi mpya Mh.Kikwete ,ni lazima akae afikiri sana sio anakwenda Pemba na Unguja na kupandwa na jazba. WaZanzibari wanajua lipi bichi na lipi limeiva ,maendeleo ya Zanzibar chini ya awamu zote tatu za uongozi Tanzania ni sifuri,hivi Kikwete na kwenda kwake kote katika safari zake za utalii kutembea hajaona maendeleo ya Nchi nyingine au anakenua tu na kupiga miruzi anapoona vya watu vinang'ara.
Kikwete amewakosea adabu watu wa Zanzibar kwa kuwambia ni walevi wa tende kwani na kusema hakutapatikana uongozi unaotokana na ridhaa za wananchi huko ni kutokuheshimiana ,maana unaposema uongozi wa kuiongoza Zanzibar kwa upinzani itawachukua muda mrefu au usipatikane kabisa huko ni kuvuka mipaka ya utawala bora ukichanganya na demokrasia yake,ingawa huo uongozi bora haupo lakini inabidi ichomekewe hivyo hivyo. Kwenda kuwasifia watu tangi la maji wakati maji yenyewe hakuna huko ni kuwadharau na kuwafanya kama ni kuwadanganya watoto wadogo unaotaka kuwakimbia.
Zanzibar will prevail even under mkoloni mweusi.
Wacha tumshughulikie mla watu Mkapa kama huko mnamuogopa kumpandisha kizimbani basi asubiri kuitwa wanakoitwa mavampire ,wale viongozi husika watoa roho za watu ,huko ndio atakakokwenda kusema kama alikuwa hayupo ,vilevile kuna hatari ya kwenda kufukuliwa kaburi la Dr Omar Ali Juma ili kwanza ijulikane kama ndie aliezikwa pale,na halafu kama ndie uchunguzi wa juu ufanywe kuonyesha je alikufa au aliuliwa kwa kukimbizwa ushadi wa mauaji ya 2001, na Kikwete muacheni na ukali wake asifikiri atatawala hapo maisha kama hana habari ng'we ndio imefika nusu haijulikani kama hafu ya mwisho atawekwa tena uwanjani au basi ,hivyo hizo anza anza zake za kampeni kwa kuyalinda mapinduzi imulikeni anataka kununua kura za Zanzibar ili zimpitishe katika Chama chao kugombea tena.
 
Tuangalie Maendeleo yaliokuwepo Zanzibar natumai hata Tanganyika yalikuwepo maana nakumbuka lile bulga la saa nne kwa waliosoma Tanga wanaujua uji huo.

Tuangalie maendeleo yalikuwapo leo yako wapi??????

1. Tulikuwa na viwanda mbali mbali kama vile cha sukari, viatu, maziwa, sigara na viwanda vidogo vidogo lakini leo vyote leo haviko;

2. Tulikuwa na meli za kifahari kama vile MV. Mapinduzi, MV. Uhuru, MV. Ukombozi leo zimekuwa mzigo kwa Serikali na hutamani hata kupanda kwa girisi iliyojaa na wakati mwingi huwa hazifanyi kazi;

3. Skuli tulipokuwa tunasoma tulikuwa tunapewa vitabu mbali mbali vya kufanya marejeo nyumbani kama Modern Biology, Physics, Chemistry, Geography ...nk. Pia tulikuwa tunakaa kwenye desk kila Mwanafunzi lake lakini leo wengi wanakaa chini;

4. Skuli tulikuwa tunatumia vifaa vya maabara vipya kutoka Uingereza kama vile Bursen burner, test tube, beakers, measuring flasks ...nk lakini leo skuli nyingi hazina vifaa hivyo;

5. Hospitali ukipelekwa kwanza unapewa cheti lakini leo unaambiwa ukanunue buku nje utafikiri unakwenda kusoma. Pia baada kwisha kuonana na Daktari unakwenda kuchukua dawa ambazo zote huwepo bila matatizo lakini leo inabidi ukanunue nje kwa Utapoa;

6. Nyumba tuliokuwa tunakaa ilikuwa ukifungua maji basi lazima ukamate kikombe kwa uangalifu au kikombe hicho kinaweza kukutoka kwa pressure ya maji lakini leo tokea mwaka 1994 hadi leo hakuna maji yaliyotoka;

7. Rais wa Zanzibar alikuwa pia Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini leo hata cheo chake hatukijui ni kipi maana tumeambiwa kuwa si nchi. Sasa utakuwa Rais usiokuwa na nchi?

8. Wa-Zanzibari ilikuwa ni aibu kupita njiani kuomba lakini leo limekuwa jambo la kawaida kutokana na dhiki za maisha kutokana na dudu la TRA kutukaba rohoni.

Sasa nawauliza pamoja na huyu mmachinga wa Chalinze Mkwere Kikwete apime au ayaone hayo yaliopo hapo na kama anahitaji ushahidi awaulize CCM wenziwe waliopo Zanzibar kama hayo ni ya kweli au ni propaganda ? Je hayo ni maendeleo au si maendeleo ? Hayo ndio yanayohitajika ili Serikali na yeye Kikwete kama Kiongozi wa au Raisi wa Tanzania na Mwenyekiti wa AU basi ndio maendeleo ya kujisifia linganisha barabara na hayo hapo yepi ni muhimu ? Na hasa ilivyokuwa ya juu yote yamefanywa na serikali kama matunda ya mapinduzi ni hayo yaliopo juu na si haya maendeleo anayoyasifu mlinda mapinduzi mpya Mh.Kikwete ,ni lazima akae afikiri sana sio anakwenda Pemba na Unguja na kupandwa na jazba. WaZanzibari wanajua lipi bichi na lipi limeiva ,maendeleo ya Zanzibar chini ya awamu zote tatu za uongozi Tanzania ni sifuri,hivi Kikwete na kwenda kwake kote katika safari zake za utalii kutembea hajaona maendeleo ya Nchi nyingine au anakenua tu na kupiga miruzi anapoona vya watu vinang'ara.
Kikwete amewakosea adabu watu wa Zanzibar kwa kuwambia ni walevi wa tende kwani na kusema hakutapatikana uongozi unaotokana na ridhaa za wananchi huko ni kutokuheshimiana ,maana unaposema uongozi wa kuiongoza Zanzibar kwa upinzani itawachukua muda mrefu au usipatikane kabisa huko ni kuvuka mipaka ya utawala bora ukichanganya na demokrasia yake,ingawa huo uongozi bora haupo lakini inabidi ichomekewe hivyo hivyo. Kwenda kuwasifia watu tangi la maji wakati maji yenyewe hakuna huko ni kuwadharau na kuwafanya kama ni kuwadanganya watoto wadogo unaotaka kuwakimbia.
Zanzibar will prevail even under mkoloni mweusi.
Wacha tumshughulikie mla watu Mkapa kama huko mnamuogopa kumpandisha kizimbani basi asubiri kuitwa wanakoitwa mavampire ,wale viongozi husika watoa roho za watu ,huko ndio atakakokwenda kusema kama alikuwa hayupo ,vilevile kuna hatari ya kwenda kufukuliwa kaburi la Dr Omar Ali Juma ili kwanza ijulikane kama ndie aliezikwa pale,na halafu kama ndie uchunguzi wa juu ufanywe kuonyesha je alikufa au aliuliwa kwa kukimbizwa ushadi wa mauaji ya 2001, na Kikwete muacheni na ukali wake asifikiri atatawala hapo maisha kama hana habari ng'we ndio imefika nusu haijulikani kama hafu ya mwisho atawekwa tena uwanjani au basi ,hivyo hizo anza anza zake za kampeni kwa kuyalinda mapinduzi imulikeni anataka kununua kura za Zanzibar

Kumradhi Mheshimiwa Mwiba lakini lazima nikiri -stori zako hazina tofauti na zile ninazozisikia siku zote vilabuni kutoka midomoni mwa wachapa tende hasa baada ya kupewa vi-ofa vya kinibu. Mheshimiwa Mwiba unapotetea Zanzibar ndani ya Muungano mimi siku zote nakuunga mkono kwa hekima zako. lakini hili la kubeza Mapinduzi -abadan.
 
Ndugu yangu nadhani Mwiba ni muhusika katika hili kwani ni hisia zangu kuwa huyu Bwana anatoka huko. Wewe wala Mhe Kikwete hamjaonja joto ya kuwa Mpemba katika historia ya Zanzibar toka Mapinduzi ya 1964. Kama Mpemba hakuwahi kufa kwa njaa kabla ya Mapinduzi basi ameshafanya hivyo baada ya Mapinduzi, Kama Mpemba akipata umeme hata kama sehemu chache sasa hata hizo chache si za uhakika, Kama Mpemba hakudharauliwa na kuonekana mtu wa daraja ndogo asiefaa hata kujiongoza wakati wa ukoloni sasa Mpemba anaonekana hivyo katika jamii ya Zanzibar. Kama elimu ndio inayoamuwa nafasi za kitaalamu na uongozi kigezo hicho si kwa Mpemba. Haya na mengine chungu nzima yanafanywa kwa kisingizio cha Mapinduzi.

Sasa Bwana Pakacha na wengine pamoja na Mhe. Kiwete mnategemea Mpemba aseme nini iwapo ni CCM na kabla ASP ndiyo iyafanyayo hayo. Nafikiri kejeli kwa Wapemba si kadiri yao bali ni kutafutiwa mabadiliko yatayowafanya waone tofauti iliyo BORA kati ya wakati wa ukoloni na sasa. Tofauti ipo lakini si ya ubora bali ya ubaya na ndio maana wanasema ni bora wakati wa ukoloni awkishiba na wakionekana kama watu.
Hivi hawa Wapemba huwa wanangalia hali za wenzao pia? (huko Sengerema , Kibondo, Kizimkazi, Mtende au Potoa) Inaonekana kama wako so selfish. Hilo ndio tatizo lao -wana kale kagonjwa cha inferiority complex- Inahitaji Wapemba wajiamini tu kuwa wao ni Watanzani na wana nafasi na fursa sawa na wale wa Kibondo au Kizimkazi .
 
Kuna msemo husemwa mtu anapopata kipigo au kibano hulia kwa kupiga makelele...mmamangu ee..hakuna cha mamaetu ,sasa hao wa kibosho na wapi sijui unataka nao wachanganyishwe na mfano wa waliyoyavuna WaPemba na Waunguja siku ambazo zimeandikwa kihistoria ? ! nadhani mmenifahamu ,na yote aliyosema Kikwete yamejadiliwa kwa upande wa Unguja na upande wa Pemba na Jumamosi atasomewa au atapewa maneno yake rasmi kama ataamua kunyoa au kusuka na nyinyi ambae mpo palepale ambao baba enu ni CCM sikilizeni kwa makini.
 
Hivi hawa Wapemba huwa wanangalia hali za wenzao pia? (huko Sengerema , Kibondo, Kizimkazi, Mtende au Potoa) Inaonekana kama wako so selfish. Hilo ndio tatizo lao -wana kale kagonjwa cha inferiority complex- Inahitaji Wapemba wajiamini tu kuwa wao ni Watanzani na wana nafasi na fursa sawa na wale wa Kibondo au Kizimkazi .
Kamanda tupo pamoja hapa....!
 
Napingana nawewe kuwa hao jamaa wana tabia hiyo unayowapakazia lakini pengine aggressiveness yao ya kuchuma mali inakufanya uwaone hivyo. Hata hivyo Tunachoongelea hapa ni kuhusu Pemba na sio wapemba wachache walioko nje ya Pemba . Hao unaowaongelea wewe sio wenye kukosa umeme na kufa na njaa kule Pemba. Hapo mwanzo nilidhani unaelewa real stuation ya Pemba inayooongelewa kumbe umefunikwa na hisia binafsi juu ya Wapemba uliokutana nao. Mhe Kiwete alikuwepo Pemba na akizungumzia maisha ya Pemba sio Wapemba.
 
Nafikiri sasa unanielewa vizuri Ndugu yangu. Ninachotaka kueleza ni kuwa hivi hao Wapemba wakilia huwa wanafikiria hali za wenzao pia za huko Kibondo, Koani au Kidoti. Mbona Wapemba wana hali nzuri tu -wana maji, vituo vya afya, shule na kadhalika? Hao watu na waache kasumba sasa. wajione kuwa Watanzania tu. Na ninaowasemea ni wapemba wale - wapemba fyoko- sio hao ninaowakuta huku nje- wakitanua.
 
Wewe kama CCM ndio wanaokufadhili basi endelea nayo,.
nilitaraji angesema serikali ya Muungano imekamilisha mradi wa matanki ya maji japo maji hakuna,hivi wewe kama rafikiye nenda kamuulize Serikali ya Muungano imejenga mradi gani Zanzibar ?
Mwiba unachukia CCM. Sawa. Hata na sisi hatuipendi CUF. Lakini masuala yako mengine ni mazuri. kama hili la kutafakari miradi gani Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetekeleza kule Pemba? Kwani Pemba ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama ilivyo Kibondo ( Pemba Siyo Nchi- Mwiba).
 
Nafikiri sasa unanielewa vizuri Ndugu yangu. Ninachotaka kueleza ni kuwa hivi hao Wapemba wakilia huwa wanafikiria hali za wenzao pia za huko Kibondo, Koani au Kidoti. Mbona Wapemba wana hali nzuri tu -wana maji, vituo vya afya, shule na kadhalika? Hao watu na waache kasumba sasa. wajione kuwa Watanzania tu. Na ninaowasemea ni wapemba wale - wapemba fyoko- sio hao ninaowakuta huku nje- wakitanua.

Mwenzangu si kweli kuwa wapemba walioko Pemba wana hali nzuri kama ulivyorodhesha wewe. Hali ya Pemba inasikitisha kwani hizo huduma unazozisema haziko na pengine ndio maana wakasema kuwa bora wakati wa ukoloni.
Utakuwa huwatendei haki ikiwa unaamini yale yasemwayo na viongozi na huku kukataa wanayosema wananchi.

Kuhusu Wapemba kulia kwa matatizo eti wawafikirie wenzao wa Kibondo au kwengine Bara hii haingii maanani kwani Wapemba wanalalamika hali tofauti kati ya Unguja na Pemba na SMZ ndio wahusika. Mhe. Kiwete alikwenda Pemba kama mualikwa wa kufunguwa miradi ya SMZ na sio ya SMT kwani huo ni utaratibu tuliojiwekea katika Muungano wetu, kuwa Rais wa Tanzania ashughulikie Tanganyika na Zanzibar (Unguja na Pemba) kivyao. SASA mwenzangu huko kufananisha tofauti ya Kibondo na Pemba kunakuja vipi? Tangu lini mawaziri wa Tanzania wakapeleka Bajeti ya Pemba Bungeni au Rais Kikwete katika hutuba zake tangu lini akazungumzia maendeleo ya Pemba? Bado naamini Wapemba wana haki ya kulalamika na ipo haja ya SMZ kuwasikiliza na kwa upande wa SMT kama kweli inaamini kuwa Zanzibar ni sehemu ya Muungano basi iweke uwiano wa kuhudumia maendeleo kati ya Zanzibar na Tanganyika.
 
Mwiba unachukia CCM. Sawa. Hata na sisi hatuipendi CUF. Lakini masuala yako mengine ni mazuri. kama hili la kutafakari miradi gani Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetekeleza kule Pemba? Kwani Pemba ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama ilivyo Kibondo ( Pemba Siyo Nchi- Mwiba).

Nani kakwambia kama mimi nachukia CCM ? Mimi sichukii hata Chama kimoja cha siasa ila nachukia mambo yanayofanywa na viongozi wao ,na zaidi wale walioko madarakani,hivyo hata CUF au chama kingine kikiyakwaa madaraka basi mimi nitakuwa mpinzani wao katika uongozi wao ,kwani akili yangu ipo free kuchagua nimuonae ataniletea maendeleo,inawezekana kabisa kuwa ninamiliki kadi ya CCM lakini simtilii kura kiongozi ambae naona hana muelekeo au amepoteza sifa za uongozi na hatendi haki na hapo ndipo demokrasi inapokuwa imemfikia mwananchi na yeye mwananchi kuielewa na kufahamu ubora wa kuwepo vyama vingi vya siasa, vyama vya siasa ni kama kampuni za mabasi za usafirishaji kutoka sehemu moja kwenda nyingine ,mbona sioni wananchi kuchagua basi la mtu fulani tu iwe ndio hilohilo na kama halipo hasafiri wala haendi sehemu nyingine zaidi atachagua lile ambalo lina huduma nzuri na ndio hivyo hivyo ukaona kuna ushindani katika mashirika ya ndege za abiria ,na mwananchi huwa anachagua lile ambalo litamridhisha kihuduma sasa kwa upande wangu huwa nachagua wapi kwa kuipeleka kura yangu kwa tamaa ya huduma bora ,hivyo huduma za CCM haziniridhishi na ndio hivyohivyo kwa upande wa Zanzibar na Pemba ndio kabisa zinawachafua watu roho,ndipo waliposema CCM kupata kura za Pemba ni ndoto kwani imeshaboronga ,sasa sielewi kwa WaTanganyika kama wanapenda Chama au huduma zitolewazo na Chama au wanachagua mtu,aidha pengine CCM imewaridhisha na wanaona huduma zake ni nzuri ,kinachohitajika Zanzibar ni mabadiliko ya uongozi wa Chama na ndio ukaona mara zote CCM inagaragizwa na wao kutumia vyombo vya dola kujilazimisha kubaki madarakani.

Hivyo ndugu kama wewe ni mpenzi wa Chama endelea hivyo hivyo kubaki,lakini walio wengi kwa Upande wa Zanzibar wanatazama maslahi yanayoletwa na Chama kilichopo madarakani na wameshaona kwa miaka 47 ya utawala wa CCM hali zao zimerudi nyuma toka walikuwa na meli sasa hivi hawana chochote na hawana hata mabasi ya usafirishaji ambayo yalikuwepo na yakimsaidia mlala hoi mkulima ambae hategemei mshahara wa serikali bali akitegemea huduma za serikali,hivyo kuwepo vipando vya serikali kulikuwa na uhujambo wa unafuu kwa nauli,sasa kusafiri kutoka Dar hadi unguja ni 22000/=
Pemba Unguja ni 20000/= ,hivyo ni matajiri na wenye uwezo ambao wataweza kupanda vipando hivyo vya binafsi.

Hapo Dar kulikuwa na UDA na KAMATA lakini leo serikali imejitoa na si kwamba haina fedha bali ni ukiritimba tu,wameachiwa watu binafsi ambao hutesa kwa nauli na kupanga wazitakavyo,jambo ambalo limeigharimu serikali kuunda vyombo mbalimbali eti kupanga nauli kama yale akina UDA na KAMATA yangekuwepo unafikiri nauli zingefika hapo zilipo.

Sasa ndugu ikitokea Chama fulani kusema kitahakikisha sera zile za mabasi au usafiri wa serikali utarudishwa basi mimi nitawaunga mkono kwani najua Mtanzania Masikini ataweza kupata unafuu fulani na halafu ukichunguza utaona serikali itaweza kupata fedha za uhakika kabisa ikiwa tu itakuwa na usimamizi mzuri unaofuatiliwa.Naona AirTz inataka kurudishwa ni imani yangu kuwa hata UDA na KAMATA nazo zitarudishwa na sehemu nyengine za miji mikuu kuanzisha vyombo vya usafiri vya serikali bara angani na majini.
 
tafadhali soma thread yote na baadae rejea nakili yako alafu jiulize nani anaepayuka.
Ok ...Karibu Wete

attachment.php

Attachments

  • n639250383_4910208_3651.jpg
    n639250383_4910208_3651.jpg
    30.5 KB · Views: 82
Back
Top Bottom