Dr. Chapa Kiuno
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 443
- 18
Hii kali....Mkubwa safarini Greece n Jordan, huku wafanyakazi wa TRL mpaka ss hawajapata mishahara yao....
Mhh!!!!!!!!!!!.......
Mhh!!!!!!!!!!!.......
Ha ha ha............. Wawalipe basi jamaa wa watu kama za kusafiria zipo.Unashangaa nini? Ndivyo alivyo.