Kikwete Ziarani... TRL hakuna mishahara...

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
443
18
Hii kali....Mkubwa safarini Greece n Jordan, huku wafanyakazi wa TRL mpaka ss hawajapata mishahara yao....

Mhh!!!!!!!!!!!.......
 
kaenda kutafuta hela ya kuwalipa; kaenda ktafuta wawekezaji,kukagua gwaride na mambo mengine kama hayo
 
tuacheni sisi ccm tutese na lazima mtuchague tena october 2010.wivu tu unawasumbua wacha tule nchi yetu,kwani hamjui kuwa nchi hii ina wenyewe? na wenyewe ndo sisi ccm kama unabisha subiri uone ntakavo shinda kwa kishindo
 
sa ivi upo kikampeni zaidi, msubirini akirudi tu siku hiyo hiyo wanalipwa, mtajuaje anafanya kazi bila kuwa na matatizo kama haya?
 
Back
Top Bottom