KIKWETE: Za kuambiwa, changanya na Zako

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,458
99,095
Nmeangalia hii picha kwa makini.

Nikaukumbuka Ule msemo wake maarufu Raisi wetu mstaafu J.M.KIKWETE

"Za kuambiwa, changanya na Zako"
IMG_20210220_122306.jpg
 
Suti ya Jaji Mkuu imepigwa pasi ikanyooka ile hataree.

Ikipanda, ni balaa
Ikishuka ndiyo hatari
Inaweza waletea wengine mibalaaaa
 
Back
Top Bottom