Kikwete yupo Saudi Arabia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete yupo Saudi Arabia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AljuniorTz, Apr 15, 2009.

 1. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  The Custodian of the Two Holy Mosques King Abdullah bin Abdulaziz Al Saud and visiting Tanzanian President Jakaya Mrisho Kikwete held a meeting at the monarch's palace in Riyadh tonight.

  At the outset of the meeting, the Custodian of the Two Holy Mosques decorated the President of Tanzania with King Abdulaziz necklace, a sign of honor traditionally awarded to senior leaders of friendly countries of the world.

  For his part, the President expressed thanks to and appreciation of the Custodian of the Two Holy Mosques for granting him this honor.

  During the meeting, the King expressed welcome of his guest, wishing him and his accompanying delegation a good stay in the Kingdom of Saudi Arabia.

  For his part, President Jakaya Mrisho Kikwete expressed thanks to the King for the warm welcome and generous hospitality accorded to him and the accompanying delegation.

  Then aspects of cooperation between the Kingdom and Tanzania and ways of enhancing them in all fields were discussed in a way that serves the two parties interests.
  The talks also covered the overall developments at the regional and international arenas and the two countries' positions towards them.

  On the Saudi side, the meeting was attended by Prince Naif bin Abdulaziz, Second Deputy Premier and Interior Minister; Prince Saud Al-Faisal, Minister of Foreign Affairs; Prince Sattam bin Abdulaziz, Acting Governor of Riyadh Region; Prince Miqren bin Abdulaziz, Chief of General Intelligence; and senior protocol officials.

  On the Tanzanian side, it was attended by the President's official accompanying delegation
  (M. Mkullo, L.masha, na maofisa wengine kutoka wizara ya fedha, utalii, mambo ya nje[nyongeza yangu])

  Ziara hiyo ni ya siku 4, leo anatarajiwa kukutana na wafanyabishara wa Tanzania waliopo huko Saudia.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Source: Saudi Press Agency
   
 2. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2009
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,509
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Labda pesa za kampeni 2010 zisha anza kutafutwa. Hizi safari za kimyakimya zina mabo yake si bure!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mheshimiwa aliveshwa shada la dhahabu tupu!!!!

  [​IMG]

  Hapo akimeremeta!!!!

  [​IMG]

  Karibu sana Mheshimiwa!!!

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 4. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Je, ziara hii italeta mafanikio yoyote ktk matatizo yanayotukabili Watanzania, hasa ktk nyanja za kupambana na umaskini uliopindukia mipaka (Kilimo bora na cha kisasa, uvuvi wa kisasa na endelevu), Elimu bora yenye kuendana na ukuaji wa kasi wa Teknolojia na Huduma bora za Afya??? Miundo mbinu nayo kama barabara za uhakika vijijini japo kiwango cha kokoto (lami tunaambiwa inagharama kubwa!!!), huduma za mawasiliano vijijini n.k.

  Zisiwe ni ziara za kwenda kula dhifa za usiku na kucheka cheka kuvishwa mashada n.k; ziara ya Obama kwa huyu mheshimiwa wa Saudia zishaanza kuleta matunda maana kuna uelekeo wa kupunguziwa bei ya mafuta. Tunahitaji out put za ziara hizi ktk maisha ya kila siku ya mtanzania hasa wa kule vijijini.

  Ni mtazamo tu huo
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ndege nayo iona kwenye picha ndo ile mtumba au??
   
 6. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  ameenda kuchukua utnguri huko.
   
 7. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wakuu wa itifaki kukunja mikono kama alivofanya JK na mwenyeji wake maana yake nn?
   
 8. Manta

  Manta Member

  #8
  Apr 15, 2009
  Joined: Jun 4, 2008
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Caption ya picha ya kwanza inasema

  Swali, mkutano wa JK na custodian of the 2 holy mosques unahusu nini?


  link ÇáÃÎÈÜÜÜÜÇÑ ÇáãÕÜæÑÉ
   
 9. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nilisikia wanataka kujenga bandari kuuubwa Bagamoyo, basi huko uarabuni alikoenda tunataka alete jibu sahihi hapa. yasije kuwa maneno tu. halafu, hao waarabu tukiwa marafiki nao sana tuwe makini kwasababu watakuwa kikwazo kwetu kutafuta na kupata mafuta, because hiyo itakuwa inapunguza soko la mafuta yao. kama wanakubaliana nasi na watatusaidia na sisi tupate mafuta, au kama wakijenga hiyo bandari kubwa na ya kutisha wanayosema itakuwa bagamoyo, basi wafanya haraka, la sivyo walale mbele.
   
 10. H

  Hauxtable JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 386
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kaamua kusimama kikakamavu tu......si unajua tena mkulu ni Kanali mstaafu wa JWTZ!
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Usije kuta hiyo ni DHAHABU YETU, Damn!!
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  SASA TATIZO LIKO WAPI?

  MBONA ALIENDA vatican NA MWENGUO WA ttb WAKATENGEZA kalenda NA HAKUNA ALIYETIA NENO?
   
 13. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  give a guy a break! Can't he do state visits anymore!
   
 14. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hakuna mbaya, Vasco dagama a.k.a. matonya wetu tulisha mzoea, walau afadhali hapa kakaribishwa na kuvalishwa ka dhahabu kuliko kule kwa kichaka alipo zidisha trip akaanza karibishwa kupitia mlango wa uani mwe!
   
 15. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pres. Obama nae alifuta nini? au nae alifuata tunguri??? Alipokuwa ziarani Vatican nako alifuata nini?
   
 16. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,607
  Likes Received: 2,001
  Trophy Points: 280
  Obama alikutana na King kwenye G20 Summitt.
  Sikonge kweli swali muhimu,inashangaza kuona zawadi ya dhahabu tunapewa sisi. Kitaratibu watu hutoa zawadi amabazo zinaonyesha culture,vivutio ama utamaduni,rasimali na kujitangaza..Huwa nasikia kuna gold za uarabuni...Hivi waarabu wanachimba madini ya dhahabu kama sisi?
  Labda ni kijizawadi personal kwa JK,lakini na kina Chifu mangungo nao si waliletewa bidhaa zilizotokana na rasilimali zao na kuzidi kuuza uhuru zaidi?
  Hii tripu nadhani ni ya kisiasa zaidi na inaweza ikawa imepangwa na hao wafanyabiashara wananaojiita wa Tanzania wenye kuishi huko Saudi,naona Lowassa naye kajibu kwa diary ya mama huko Jerusalem.
  2010 inakuja...Kaazi.
   
 17. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
   
 18. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  weshaanza tena hao, sku zote wanataka aende ulaya tu.....
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,878
  Likes Received: 83,359
  Trophy Points: 280
  Safari za kutafuta michuzi ya uchaguzi wa 2010 maana ule mpango wa kununua mitambo ya Dowans umedoda na vitambulisho vya Taifa pia viko hati hati.
   
 20. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Labda amekwenda Umra, Si mnajua alimisi hijja kutokana na ndege kuwa mbovu???
   
Loading...