Kikwete yuko New York 12/21/2010? ... yeah Kweli hapendi Vupi la Dar

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
President Jakaya Mrisho Kikwete presents a Makonde carving to the newly appointed Tanzanian goodwill ambassador for tourism Mr.Doug Pitt during a special recognition ceremony held in New York last night. Photos by Freddy Maro
 
Huyu jamaa sijui vipi? yaani mara hii kabeba vinyago kavipeleka huko? atakaa lini apumzike awazie ya nchi yake? natamani barafu ingekuepo huko nako kindege chake kishindwe kupaaa ili apate sababu ya kutokurudi tena bongo, na sie tumchague rais wa ukweli
 
duuh sasa kaenda kufanya nini

Ila kama hii picha ya zamani
 
President Jakaya Mrisho Kikwete presents a Makonde carving to the newly appointed Tanzanian goodwill ambassador for tourism Mr.Doug Pitt during a special recognition ceremony held in New York last night. Photos by Freddy Maro

Really this guy is bad news,normally in this time of a year most prolific leaders don't leave their country coz it is festival season so they stay with family and friends and enjoy the holiday...huyu ni mfanyabiashara zaidi kuliko kiongozi!!
 
Tuanze kuhesabu safari ya kwanza hiyo!
 
Kwani unadhani alichakachua ili iweje, ale raha bwana! Wewe rais mkwere unadhani nini....mambo yaleeee ya pwani pwani. Kipindi hiki cha mwisho lazima muone starehere inavyopondwa....hata Mkapa alizidisha ufisadi awamu ya mwisho.....yetu macho, mkwere wewe ponda mali bwna.
 
Maandalizi ya siku kuu jamani. Mbona hata nyie mnakwenda kariakoo au kwingineko? Level yake ni Manhattan lol!
 
Huyu jamaa sijui vipi? yaani mara hii kabeba vinyago kavipeleka huko? atakaa lini apumzike awazie ya nchi yake? natamani barafu ingekuepo huko nako kindege chake kishindwe kupaaa ili apate sababu ya kutokurudi tena bongo, na sie tumchague rais wa ukweli

hatumtaki huyo unayemsema rais wa kweli ni mchaga na mchaga ni haramu kuongoza nchi hii katika ngazi ya ukuu wa nchi. haya ni maneno ya mwenyekiti ndugu mchonga!!!!!!!!!
kikwete ndio rais wa kweli aliyekuwa na ujasiri wa kukataa kusign cheki ya billion moja ya wakatoliki mpaka wakamchukia.
 
Jameni msishangae siku mkimuona kaenda kumtembelea lil wayne halafu taarifa itasema alikuwa anaongea nae ili aje nchini kushirikiana na wanamuziki wetu
 
Really this guy is bad news,normally in this time of a year most prolific leaders don't leave their country coz it is festival season so they stay with family and friends and enjoy the holiday...huyu ni mfanyabiashara zaidi kuliko kiongozi!!

But these festivals are paganic festival of which he don't believe in. Yupo kazini kutangaza nchi.
kawaulize wazungu Mlima K'njaro upo nchi gani? watakwambia - Kenya.
Mnakalia majungu tu tu wenzenu wanaangalia mbele!
 
President Jakaya Mrisho Kikwete presents a Makonde carving to the newly appointed Tanzanian goodwill ambassador for tourism Mr.Doug Pitt during a special recognition ceremony held in New York last night. Photos by Freddy Maro

Huyu jamaa sijui vipi? yaani mara hii kabeba vinyago kavipeleka huko? atakaa lini apumzike awazie ya nchi yake? natamani barafu ingekuepo huko nako kindege chake kishindwe kupaaa ili apate sababu ya kutokurudi tena bongo, na sie tumchague rais wa ukweli
sasa ulitaka uende wewe? kuna rais anayeweza kufanya kazi peke bila kutembelea wenzie au kushirikiana na wengine? gombea wewe urais mwaka 2015 tukuone. mmekosa adabu kukaa mnamsakama rais mambo ya ajabu.
 
Akirudi atakuta tumemtengenezea bembea ili asiwe anatoka tena . Afanye kazi ya kuzungukia matembele aone jinsi yasivyo mazuri kwakuishi kabisa . Angewapitia wasukuma wasijekuinyima ccm KULA. 2tousand &15.
 
hatumtaki huyo unayemsema rais wa kweli ni mchaga na mchaga ni haramu kuongoza nchi hii katika ngazi ya ukuu wa nchi. haya ni maneno ya mwenyekiti ndugu mchonga!!!!!!!!!
kikwete ndio rais wa kweli aliyekuwa na ujasiri wa kukataa kusign cheki ya billion moja ya wakatoliki mpaka wakamchukia.
Hayo maneno aliyasema wapi? na lini. Acha ukabila. You're just a num....l
 
Back
Top Bottom