KIKWETE, wavuvi tunataka ufafanuzi mara moja, na wasanii wako watuombe radhi

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,843
1,841
Jana katika tamasha la clouds pale dodoma, wavuvi tumedhalilishwa sana mbele ya Rais kikwete, na kwa vile katika hotuba yake hakutoa maelezo ya kukanusha basi nahitaji ufafanuzi wake mara moja katika yafuatayo.

 1. je ni kweli Rais Kikwete hupendi wavuvi kama alivyosemwa na yule kijana wa BONGO fleva
 2. je kuna tatizo gani wavuvi kupendwa na Rais na itaathiri nini muziki au maigizo?
 3. Je ni lini Bongo fleva na Bongo muvie zilitamkwa hapa nchini kuwa zina umuhimu kuliko sekta kongwe ya uvuvi kiasi cha kupigiwa mfano kama sekta isiyopaswa kupendwa na Mh rais
 4. Je kwa nini hukukanusha au kutoa maelezo kuhusu kauli ya kijana yule ??
 5. je akitokea rais mpenda uvuvi na kutoa nyavu kwa wavuvi itakinzana vipi na kukua kwa maigizo au muziki??

Ndugu kikwete usipotoa maelezo katika hoja zetu sisi wavuvi, kwanza , tutamuamuru mwakilishi wetu katika bunge la katiba kujitoa, ili nafasi hiyo uwape wasanii wako waliotudharirisha

Pili tutagoma kuvua samaki katika mito, maziwa na bahari, kwa wiki mbili ili tuone kama inawezekana kujifungia ndani na kula ugali kwa bongo movies, au bongo fleva.

Tumesikitishwa sana na tunahitaji ufafanuzi.
 
Hawakumaanisha wavuvi Bali in wavivu jamii ya watu Kama wewe Kama unabisha tupia record
 
Duh, Hii Kali. Yeye pia msanii ndo maana, subiria rais mvuvi

Jana nilimsubiri apige ngoma huku akicheza na wasanii wenzie ila sikumuona sasa sijui unapigaga wakijaga maraisi wa nje kwenye mikutano tu??!!!
 
unataka kuombwa ladhi kwa kipi ulichofanyiwa bangi zenu msidhani kila mtu anavuta.
 
jaribu kusikiliza kwa makini usipende kutupia kitu ambacho hukijui wenzako wanasema wavivu wewe unasema wavuvi.
 
ndugu umekurupuka sana, usiwe ka bata.
aliyesema wavivu ni nani?? au unataka nikwambie what happened?? if thats the case then omba kwa utaratibu unaoeleweka
 
sisi hatukusikia tuambie alisemaje?

akitoa hatuba yake kijana wa bongo fleva aliyetambulishwa kama mwana falsafa alisema yafuatayo " tunashukuru mh rais unapenda wasanii, maana ungekuwa unapenda wavuvi, kila tungekuwa tunakuletea matatizo yetu, tungekuwa tunaambulia nyavu tuu"
 
Jana katika tamasha la clouds pale dodoma, wavuvi tumedhalilishwa sana mbele ya Rais kikwete, na kwa vile katika hotuba yake hakutoa maelezo ya kukanusha basi nahitaji ufafanuzi wake mara moja katika yafuatayo.

 1. je ni kweli Rais Kikwete hupendi wavuvi kama alivyosemwa na yule kijana wa BONGO fleva
 2. je kuna tatizo gani wavuvi kupendwa na Rais na itaathiri nini muziki au maigizo?
 3. Je ni lini Bongo fleva na Bongo muvie zilitamkwa hapa nchini kuwa zina umuhimu kuliko sekta kongwe ya uvuvi kiasi cha kupigiwa mfano kama sekta isiyopaswa kupendwa na Mh rais
 4. Je kwa nini hukukanusha au kutoa maelezo kuhusu kauli ya kijana yule ??
 5. je akitokea rais mpenda uvuvi na kutoa nyavu kwa wavuvi itakinzana vipi na kukua kwa maigizo au muziki??

Ndugu kikwete usipotoa maelezo katika hoja zetu sisi wavuvi, kwanza , tutamuamuru mwakilishi wetu katika bunge la katiba kujitoa, ili nafasi hiyo uwape wasanii wako waliotudharirisha

Pili tutagoma kuvua samaki katika mito, maziwa na bahari, kwa wiki mbili ili tuone kama inawezekana kujifungia ndani na kula ugali kwa bongo movies, au bongo fleva.

Tumesikitishwa sana na tunahitaji ufafanuzi.
tufanye rais anakupenda ww mvuvi lakini hakutekelezei mahitaji yako !!!!

Niji faida yake?

Ila mkuu hapo hapo ukubali umetereza

hivi maelezo atoe Rais au mtoa kauli??
 
Jana katika tamasha la clouds pale dodoma, wavuvi tumedhalilishwa sana mbele ya Rais kikwete, na kwa vile katika hotuba yake hakutoa maelezo ya kukanusha basi nahitaji ufafanuzi wake mara moja katika yafuatayo.

 1. je ni kweli Rais Kikwete hupendi wavuvi kama alivyosemwa na yule kijana wa BONGO fleva
 2. je kuna tatizo gani wavuvi kupendwa na Rais na itaathiri nini muziki au maigizo?
 3. Je ni lini Bongo fleva na Bongo muvie zilitamkwa hapa nchini kuwa zina umuhimu kuliko sekta kongwe ya uvuvi kiasi cha kupigiwa mfano kama sekta isiyopaswa kupendwa na Mh rais
 4. Je kwa nini hukukanusha au kutoa maelezo kuhusu kauli ya kijana yule ??
 5. je akitokea rais mpenda uvuvi na kutoa nyavu kwa wavuvi itakinzana vipi na kukua kwa maigizo au muziki??

Ndugu kikwete usipotoa maelezo katika hoja zetu sisi wavuvi, kwanza , tutamuamuru mwakilishi wetu katika bunge la katiba kujitoa, ili nafasi hiyo uwape wasanii wako waliotudharirisha

Pili tutagoma kuvua samaki katika mito, maziwa na bahari, kwa wiki mbili ili tuone kama inawezekana kujifungia ndani na kula ugali kwa bongo movies, au bongo fleva.

Tumesikitishwa sana na tunahitaji ufafanuzi.

Jk kaufanya urais kuwa ni udhaifu dhaifu tu yani kila mtu ana uwezo wa kuibuka na kuleta hoja dhaifu kumuhusu rais daah siku wAhi kusikia ujinga kama huu kipindi cha mheshimiwa BW Mkapa.
 
Nadhani ni heri zaidi kujielekeza kuchagua rais imara mwakani kuliko kumtaka wa sasa afanye vitu asivyoweza au penda.
 
Back
Top Bottom