Kikwete: Watanzania punguzeni kasi ya kuzaliana!

Kila mtu ana riziki yake ameletwa na mungu duniani ameshamuandalia mazingira ya kuja kuishi amemuekea maji misitu gesi madini na wanyama ili aje kuwatumia kinachotakiwa ni kutokuharibu mazingira
 
Hivi unataka kusema nini?.

Usemi wako ni sawa na kusema kwa vile wazazi wangu hawakuenda shule basi na mimi nisiende ili niwe kama wao. It's absolutely farcical
Nigeria wapo milioni 250 mbona wako vizuri tuu mnataka muendelee kufaidi wenyewe rasilimali za hii nchi kwa ufisadi wenu
 
Watanzani tuko busy kuongeza idadi ya watu bila kujali kama tunaweza kumudu kusomesha watoto wetu wenyewe
 
Mpuuzi, dhaifu, mwizi wa raslimali za taifa, mhongwa suti, mchochea udini Tanzania, kiongozi nazi, mwuaji wa elimu yetu, mpumbavu na mwuwaji wa raia wasio na hatia, mtesaji wa Dr. Ulimboka, mwoga, na mvuraji wa amani iliyodumu Tanzania miaka yote isipokuwa chini ya utawala wake ana cha kusema? Unahesabu watu uwachekee na kuwaambia wasozaliane? Yeye ana wake na watoto wangapi? Sensa ni kwa ajili ya maendeleo. huyu kilaza hastahili kabisa kuiongoza nchi. Tanzania inadidimia chini ya utawala wake. vijana wamekata tamaa. Slimy, afya, safari, kila kitu kinatisha. tunalipa kodi mjinga akashangae mananasi, mihogo, na majumba ya majirani. demi la taifa linatisha. tumekaa tu tunaliangalia jinga hili likituchekea man's mtoto mdogo na kututolea kauli as kijinga kama hizi. je buy ndio uongozi? Huu ndiyo urais? Yaani mtu mzima hata cha kusema hakuna ila eti msizaliane?

Kama raisi angepita na kusoma haya kisha akakuita umseme uso kwa uso kwa hayo maneno ungeweza?
 
Tatizo la Tanzania ni kasi kubwa ya kuibiana, na sio kasi ya kuzaliana.

By the way, it is offensive to say that "tunazaliana". Sisi sio wanyama.
 
Suala la uzazi jk sio mtu mwafaka kuliongelea. Yeye ana watoto zaidi ya 8, na wengine wa nyumba ntobo wengi tu! Mkapa ana watoto 2 ndo ange ongea
 
If you can't do it teach it!

Nakubaliana na rais, kasi ya kuzaliana ni kubwa mno. Pengine tuweke sheria mwisho watoto wawili -kwa kila mwanamke. Ikiwa kwa kila familia ni ngumu maana kuna wenye wake wengi.

bado pia hilo halitasaidia manake mama atapanga uzazi huo je baba mwenye multiple wives? kama anao wa3 wakizaa 2 bado ni 6 kids.

jambo la msingi iwekwe sheria max number of kids mtu anaotakiwa kuwa nao like isemwe ni 2 sasa ambaye anamitala basi itabidi azalishe mtt 1 kila mwanamke
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hao wa mama Salma, vipi wale wa mama nanihii, na yule dada wa pale wapi paleee, mmmh, nimechoka kuwataja mama zao.

LOL!, mkuu nilisahau....kachokoza mooooto!, anywayz, he can say whatever he wants it's his last term N'wayz, he dont give a S...
 
Back
Top Bottom