Kikwete:Wanaoua albinokuanza kutajwa kwa kura mwezi huu

Haya ndio ya mwanasiasa kudhani anajua kila kitu. anaweza kuingia kwenye chumba cha operation akaanza kumshauri surgeon afanye vipi upasuaji wa mgonjwa!
Hili swala la uvunjaji sheria lina wataalam wa kulifanyia uchunguzi, wamepelekwa vyuoni kujifunza jinsi ya kufanya uchunguzi wa makosa ya aina hii. Je, kuna haja ya mwanasiasa kuwaambia jinsi ya kuchunguza? Kama inadhihirika wameshindwa hiyo kazi basi ilipaswa kwanza wafutwe kazi halafu ndio wanasiasa waanze kuamua jinsi ya utekelezaji wa kazi utakavyokuwa.
Nadhani tuwape jukumu waandishi wa habari wamuulize Rais, matokea ya kura hizo yatatumika vipi kuzuia mauaji ya albino.Je, atakayepata kura nyingi ndio mwenye hatia? What about coseffectiveness? hili zoezi litagharimu kiasi gani cha pesa kuanzia hatua za awali za advocacy mpaka kwenye uhesabuji kura na utangazaji matokeo?
Halafu kuna swala kidogo la kumkumbusha Rais. Naona katika mgawanyo wa nchi Zanzibar haijatajwa, vipi mkuu ameisahau kuwa hiyo ni sehemu ya utawala wake pia?
 
Halafu kuna swala kidogo la kumkumbusha Rais. Naona katika mgawanyo wa nchi Zanzibar haijatajwa, vipi mkuu ameisahau kuwa hiyo ni sehemu ya utawala wake pia?
Hoho ho ,si unaijua ile nyimbo ya Faza xmass ,ametaja mikoa hakutaja Nchi ,sasa bora umuulizie lile wazo lake la kuirudisha Tanganyika lini litapigiwa kura ?
 
Back
Top Bottom