KIKWETE vs CHADEMA ni kama vile kusubiri dk 90 za YANGA vs SIMBA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KIKWETE vs CHADEMA ni kama vile kusubiri dk 90 za YANGA vs SIMBA.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Nov 23, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa mashabaki wa soka wanajua vizuri adha wanayoipata katika mioyo yao wakati wa kusubiri dk 90 Za mpambano wa watani wa Jadi Yanga na Simba. Hali hiyo ipo sasa kwa mashabiki wa siasa hasa wale wa CCM na CDM. Hili ni kati ya mapambano adimu sana. Kila shabiki kiroho kinadunda kwa hamu ya kusubiri nani atapigwa bao. Ni vigumu kutabiri, acha tusubiri tuone.
   
Loading...