Kikwete: Vijana wakiongoza nchi pekee yao itawaka moto

Shukurani

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
253
Points
0

Shukurani

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
253 0
Hii ilinigusa sana wakati wa hotuba ya JK wakati akitangaza baraza la mawaziri pale Dodoma. Moja kati ya statement aliyotoa ni kwamba nchi hii ikiongozwa na vijana itawaka moto.

Nikajiuliza,ina maana vijana hatuna uwezo na uzoefu wa kuongoza nchi? Tutaendelea mpaka lini kukumbatia hawa wazee wenye mawazo yale yale ambayo hayatusaidii?

Ina maana wakati ule akina Mungai,Kawawa na Mzindakaya wanakabidhiwa madaraka ya uwaziri na uwaziri mkuu wakiwa na miaka 29 na 31 walikuwa na uzoefu wowote?

Sipati majibu,nisaidieni kwa hili
 

Forum statistics

Threads 1,367,475
Members 521,746
Posts 33,399,389
Top