Kikwete Usiogope Step Up Kenya issue

Kamundu

JF-Expert Member
Nov 22, 2006
4,428
2,000
Kikwete you need to take leadership and send Salim, Malecella or Mongela to represent you in Kenya Talks. This issue is affecting Us big deal in tourism and some people can not differetiate and assume all region is ustable. Show them that triabalism is not the way out and they can be like us.
 
DAR si LAMU

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
2,933
1,500
Kikwete you need to take leadership and send Salim, Malecella or Mongela to represent you in Kenya Talks. This issue is affecting Us big deal in tourism and some people can not differetiate and assume all region is ustable. Show them that triabalism is not the way out and they can be like us.

..kibaki na watu wake jeuri,aanzie wapi?kama john kufour hakusikilizwa kitu gani kinakufanya uamini hao wakina salim & co. watasikilizwa?

..kuhusu utalii,inabidi tujifunze kuwa aggressive katika kutafuta maslahi ya nchi yetu,na si kutegemea "spill over effect" ya watalii toka kenya!

..issue ya kenya iache iendelee ili itufunze vizuri,maana huwa sisi tu wagumu kupata somo. sasa acha tulipate fresh!the hard way!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom