Kikwete una moral authority na rekodi gani inayokupatia nguvu ya kuwafokea mawaziri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete una moral authority na rekodi gani inayokupatia nguvu ya kuwafokea mawaziri?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Dumelambegu, May 15, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wandugu,

  Ninaudhika sana ninapomwona kikwete anawafokea watu wazima kama mawaziri hadharani; mbele ya waandishi wa habari. Yeye ana rekodi gani anayojivunia inayompatia nguvu ya kuwanyoshea wenzie tena hadharani? Hivi huyu jamaa uswahili ataacha lini??? Ananiuuuuuudhiiiiii, yaaani basi tu!!
   
 2. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Je chui anaweza kuibadilisha ngozi yake? hivyo hivyo na mswahili hawezi kuacha uswahili wake. People need to be careful next time they go to vote. We have ourselves voted for a social and economical decline; ten (10 ) good wasted years!!
   
 3. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Anadhani akifanya hivyo itamjengea heshima kwa umma ambayo imepotea kwa speed ya mwanga
   
 4. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Yeye ni mkuu wa nchi na hao wanawajibika kwake na hivyo pengine matendo yao yameamsha hasira....vilevile wananchi muda mrefu mmemwomba mh rais akasirike na kuacha kuchekacheka...he's done just that!
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hana rekodi yoyote zaidi ya ile artificial aliyopewa na waandishi wa habari aliowanunua. Hence, hana moral authority ni usanii tu.
   
Loading...