Kikwete ukimya huu kuteua mbadala wa vijisenti

Silas A.K

JF-Expert Member
Apr 23, 2008
807
157
nashindwa kufahamu nini kimemsibu JK mbona hatoi jina la mbadala wa Andrea Chenge'vijisenti',au anaandaa major reshuffle miezi miwili tu baada ya kufanya mabadiliko yale yaliwaondoa baadhi ya mafisadi kama Kingunge,Mungai na Ngasongwa.Kuna mwana JF yoyote mwenye kufahamu kulikoni jikoni huko kwa mzee JK?
 
Mkuu kama anapata kigugumizi kupata mbadala wa mzee wa vijisenti nipigie pande mimi naweza kuwakilisha timu ya JF bila ya matatizo angalau nikakamilishe ile ndoto ya pombe wa makufuri kusepa kwa corola Nanyumbu mpaka Kanyigo..Huenda vijisenti hakuwa na muda wa kufatilia hilo alikuwa anajikusanyia kwanza ka-potion kake!!!Kwi! kwi! kwi!
 
Hivi hamjamjua "Baba Ajizi" bado?

JK anaweza kuwa anaumwa na mbu akajishauri wiki nzima amfukuze au asimfukuze.

Huko Wizarani force imepunguka kwa kukosa Waziri for days going on weeks now.
 
Woga Unakuja Pale Lawyer Wa 50cent Aliposem Atalipua Mabom Sasa Mugwana Lazima Awe Makini Ku Vent Watu Wake Wa Mtandao,jama Hili Liwe Fundisho La Kuwekwa Na Watu Kwa Masilahi Yao. Yani Ra King Maker
 
nashindwa kufahamu nini kimemsibu JK mbona hatoi jina la mbadala wa Andrea Chenge'vijisenti',au anaandaa major reshuffle miezi miwili tu baada ya kufanya mabadiliko yale yaliwaondoa baadhi ya mafisadi kama Kingunge,Mungai na Ngasongwa.Kuna mwana JF yoyote mwenye kufahamu kulikoni jikoni huko kwa mzee JK?


Anapiga ramli ,ila akichagua kwa uswahiba linakua koroma chingine.
Kwani wakina Kingunge,Mungai JK aliposema wameomba wasiwepo tena alikuwa akidanganya au kulikuwa na namna!
 
Mungu Atujaie Watanzania Usishangae Akampa Uwaziri Kamili
Firauni Makongoro Na Kuteuya Naibu Waliogaiana Mademuwa Kiwa Secondary..huyu Fadhila Ndizo Zinamuua Sasahivi Aangali Nani Anafaa Anatoa Nani Alinisaidia Kazi Mnayo
 
Fadhila fadhila fadhila....sasa anabanwa sana na wafadhili inabidi awe makini sana sana...kweli aliemwambia ukiwa pale Ikulu.."inabidi uwe na subira sana"amempa maana tofauti yeye subira anaiona ni kuwa kimya na kuchelewesha kila jambo bila sababu ya msingi........kazi ipooo....
 
Subirini ngoma iko bagamoyo mlingotini inafanyiwa kazi it will be out very soon huenda amestuka anaogopa asilambe garasa tena!!!! Sijui muungwana kama shinikizo lake la damu bado liko normal.. i doubt!!!
 
Kuna watu wameombwa CV zao na watu wa Ikulu,sitaki kuwaharibia..ila habarindiyo hiyo.tusubiri tuone
 
Sasa Jk Ana fanya kazi!! huku akifikiri hatima ya utawala wake!!....Hakuna kibaya ...Yote yanakuja na kupita!! Usiamini hovyo!!

Muda ukufika ata mteua...
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom