Kikwete: Uamuzi wa Dodoma kuwa Makao Makuu na Ujenzi wa Ikulu haukuwa wa mtu mmoja!

Asante Mh.Rais Kikwete nilipata maisha zama zako.Mola akuhifadhi daima.
Mkuu tuko pamoja Mimi
Pia namuombea huyu Mzee miaka mingi yenye furaha na amani yeye ndiye aliyenipa maisha mwishoni kabisa ya awamu yake ya pili Leo hii nalea ukoo mzima kwa kipato nachokipata...course niliyosoma ajira ya mwisho serikalini ni kipindi cha huyu mzee
 
Veeeery true. Kikwete is the best among the worst. Katikati ya CCM yetu iliyooza Kikwete ndio ana afadhali kidogo.

Yeye alimnunua Dr. Slaa tu kwa kuwa alikuwa ni Asset. Hawa vilaza kina Meko wananunua mpaka kina Mbatia, Selasini, Juakali na madiwani..

Huku ni kuchezea kodi za wananchi.
Pia ndiye Rais anayejua kuongea na kupangilia maneno yake kuliko wote hadi kimuonekano wa urais Kikwete bado anampiga bao Meko
 
“Wakati Mzee Kikwete ananikabidhi Ikulu aliniambia Tausi hawa wanataga mayai vizuri ila hawayalalii yanaliwa na wanyama, kuna mfanyakazi hapa tena msukuma mwenzio kila nikimuambia atafute incubator atotoe mayai hafanyi, nilipoingia yule Msukuma nikamfukuza”-JPM
Kichwa Cha habari Ni uchochezi,,,usifikiri Russia Ni mbali tutakukamata
 
Veeeery true. Kikwete is the best among the worst. Katikati ya CCM yetu iliyooza Kikwete ndio ana afadhali kidogo.

Yeye alimnunua Dr. Slaa tu kwa kuwa alikuwa ni Asset. Hawa vilaza kina Meko wananunua mpaka kina Mbatia, Selasini, Juakali na madiwani..

Huku ni kuchezea kodi za wananchi.
Nafikiri hao kina meko wanaonunua ni wajanja zaidi, ila kule wanakonunua ni mapimbi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom