Wakuu,ni ukweli usiofichika kuwa Rais Kikwete anastahili kupewa credit kwa kuleta mahusiano mazuri na nchi za nje.ikiwemo Marekani. Rais Kikwete aliweza kuconvice jumuia ya Leon Sullivan Foundation kufanyia mkutano Arusha. Sullivan Summits are a bridge between America and Afica and the world serving as a forum for economic and cultural cooperation. Kikwete was able bring Mr Bush to Tanzania na kusaini mkataba wa misaada kupitia Millenium Challenge. . Haya mambo si rahisi. Kwa hiyo kwenda kukutana na Obama ni achievement ktk kuleta mahusiano mazuri na Marekani. Baadhi ya wachangiaji nadhani mnayo chuki na Rais Kikwete. Hata afanye zuri lipi hamlikubali.
sawa mzee lakini amezidi mno na ketembea ili hali hapa mambo yanakwama? mbona bandarini kashindwa na sioni kama patatengamaa namambo mengine chungu mzima!!