Kikwete somo la kwanza, Panapofuka moshi, panaficha moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete somo la kwanza, Panapofuka moshi, panaficha moto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiwi, Nov 11, 2011.

 1. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Nimefuatilia kwa muda sasa na ninaona dhahiri jambo moja, Kikwete umeshindwa kazi, achia ngazi. Kwa maneno mengino ccm ushindi wenu wa kuchakachua umekuwa anguko lenu.

  Leo hii peke yake 11.11.2011, kuanzia asubuhi nimekuwa nikifuatilia matokeo manne tofauti.

  1. Mwanjelwa Mbeya, polisi wanapigana na wafanyabiashara wamachinga wanaotakiwa wahame kutoka eneo wanalofanyia biashara zao. Tatizo hawakupatiwa sehemu ingine.

  2. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mlimani, polisi wanapigana na wanafunzi wanaodai malipo ambayo ni haki yao.

  3. Babati, polisi wanapigana na wamasai walionyang'anywa ardhi yao wanayotumia kwa shughuli zao za ufufgaji ili ardhi hiyo apewe mwekezaji.

  4. Singida tangu jana ngumi zimekuwa zinarindima kati ya madiwani na maofisa wa Wilaya. Jana ilikuwa diwani wa Unyambwa na ofisa wa Ardhi na leo ni diwani wa Unyamikumbi na Kaimu Mkurugenzi.

  Hiyo ni mifano michache tu, iko mingi. Nchi haitawaliki tena jk. ccm imeshashindwa. Acheni unafiki wa kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa kitumwa. Jiuzulu wewe na baraza lako la mawaziri, vunja bunge tufanye uchaguzi upya. Tunaelekea pabaya. Kama unafikiri unaweza kutawala Tanzania kwa mabavu muulize Ghadafi!
   
 2. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kaka umenena tunasubili watekeleze tu manake hali c shwar
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mb wa mbarali kafungwa jela leo
   
 4. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Na bado mpaka kieleweke!!
   
Loading...