Kikwete siyo Makini: Prof. Anna Tibaijuka hakupaswa kuwa Waziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete siyo Makini: Prof. Anna Tibaijuka hakupaswa kuwa Waziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Mar 12, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Akiwa katibu mkuu wa UN-Habitat alishindwa kuishauri serikali madhara ya maghala ya silaha kuwekwa kwenye makazi ya raia (kama aliishauri chochote au ninamsingizia aweke ushahidi jamvini). Hata licha ya tukio la Mbagala kutupa fundisho, lakini Professor hakuwa tayari kuona kuwa kuna haja ya kusema japo neno tu.

  Tunapozungumzia waziri wa ulinzi kujiuzulu, mimi nasema hata Prof na yeye anapashwa kujiuzulu.

  Kwa hiyo ndo kusema JK alikurupuka tu kumteua huyu mama kuwa waziri. JK alipashwa kumuacha tu huyu mama apumzike nyumbani.

  mchunga ng'ombe nawasilisha hoja.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Duh.....................kwani position ya un habitat ni kushauri serikali zote
  za dunia kuhusu maghala ya silaha????????????


  Wewe mbona unakurupuka??????????

  Tibaijuka anafaa sio tu kuwa waziri,lakini she is way better hata kuwa rais wa nchi....
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  home sweet home. hata kama si serikali zote, lakini alipashwa kuona hatari hii huku nyumbani kwao.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sielewi hata hayo mamlaka ya kujua yalipo maghala ya silaha
  yanamhusu vipi anna tibaijuka......
   
 5. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,798
  Likes Received: 6,308
  Trophy Points: 280
  Ok. Prof. Anna Tibaijuka hakufaa kuwa Waziri.

  How about Sophia Simba? Hawa Ghasia? Celina Kombani? Mtoto wa Mwinyi (ambaye ndio muhusika nambari one wa hayo maghala ya silaha za maangamizi) and the list goes on....

  Kikwete sio Makini. PERIOD.
   
 6. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hayo maghala yalikuwepo toka enzi ya Nyerere miaka ya sabini.Je mwaka 1978 Prof.Tibaijuka alikuwa mkuu wa UN Habitat.?

  Pili je ni makambi ya jeshi yalijengwa karibu na makazi ya watu au watu walijenga karibu na makambi ya jeshi?
  Naomba majibu halafu utajua validity ya thread yako
  Je umoja wa mataifa unaruhusiwa kuingilia shughuli za kila siku za serikali za nchi?
   
 7. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Pamoja na hoja yako kutokuwa na maana kwasababu nafasi ya Un-habitat siyo ya kuishauri serikali. Hata hivyo serikali yetu inashaurika? Mbona mara nyingi wabunge wengi bungeni huwa wanatamka 'tunaishauri serikali' lakini serikali yao hutenda tofauti
   
 8. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kwani kasomea lini hizi mambo.? Mbona hajaendelea kuvunja? ni mpupu kama kawa. Opportunist at best
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  that means you don't know the job description of UN-Habitat personnel.

  aibu.
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Umoja wa mataifa upo kuakikisha haki za binadamu zinalindwa na kudumishwa. haki za binadamu ni pamoja na kuishi maeneo/mazingira salama.

  kwa hiyo, prof alipashwa kuliona hili na kupenyeza maono yake na sitarajii kama angelaumiwa na UN
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  hii ndio hoja ya nguvu na sio nguvu ya hoja....:lol::lol::lol:
   
 12. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Duuu mzee, kwa hili tutakuwa tunamwonea mama wa watu.
   
 13. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hizi nazo pumba nyingine
   
 14. Niko

  Niko Member

  #14
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tibaijuka aliwahi kufanya ufisadi Umoja wa Wanawake.

  Wengi hawakuelewa undani wa sakata lile walimwona Tibaijuka kama heroin kwa sababu alipojaribu kupotosha mada alisema serikali inapinga kuanzishwa kwa umoja mpya wa wanawake ulio huru kutoka CCM.

  Tibaijuka alifuja hela zilizotolewa na wa Sweden kuanzisha umoja wa wanawake. Wakati huo mmewe ni balozi wa Sweden. Tibaijuka unalijua hili ndani ya dhamira yako na una bahati hukufunguliwa mashtaka.
   
 15. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Tatizo la mabomu ni UDINI NDANI YA JESHI,watu wanapandishwa vyeo kwa kuwa ni wa dini sawa na waziri usiKa na rais wake.Swali kambi hile iliyolipuka wanaishi vikosi vya Jeshi mbona hakufa ata mwanajeshi mmoja? PALE KUNA HUJUMA NDANI YA JESHI LILO kWA SASA TANZANIA SI SALAMA.Moto unakuja.
   
 16. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #16
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  crap crap crap
   
 17. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Wewe naona umekurupuka kwa hili pengine upeo wako una walakini. Mungu akusamehe hujui usemacho
   
 18. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Huo ni uongo wako tunajua na tunakumbuka sana suala la kuanzisha BARAZA LA WANAWAKE baada ya kuanzisha vyama vingi iliwanawake kuachana na umoja wa wanawake tanzania ambao ulikuwa ndani ya ccm, ambapo serikali ya fisadi ali hassani mwinyi wakati huo ikamtia misukosuko mingi na kuzuia lisiwepo baraza la wanawake tanzania.
  Pumba unazotuambia ni bora ukawaambie watoto wa primary schools, maana ukienda kwa wa secondary schools wanaweza kukushtukia ukaaibika pia
   
 19. OPTIMISTIC

  OPTIMISTIC Senior Member

  #19
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hi! Hapana elewa kwanza majukumu ya mashirika haya ya UN ndiyo sasa utoe wazo lako, na pia anaweza kushauri fine ila hawezi kupublish list ya yote aliyoshauri dunia nzima na mind you sio mtekelezaji
   
 20. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  UN kwa kiswahili si umoja wa mataifa?! kwani Tz siyo taifa? kwani Tz siyo home kwa Prof? mbona alikuwa anakwenda Kibera? kwanini hakuwa akienda Mbagala na Goms? Au alikuwa anahudumia makazi ya Masaki tu?
   
Loading...