Kikwete: Sitarajii Urais kutenganishwa na Uenyekiti wa Chama

Ni wakati muafaka wa kutenganisha kiongozi wa chama cha siasa na rais wa nchi.
Huu ni utaratibu ambao haujaandikwa sehemu yeyote, na hii ndio tatizo la kuacha gaps kwenye Katiba ya chama au nchi. Leo anaweza kutokea mtu akagombea hiyo nafasi hakuna wa kumpinga unless ashindwe kwenye kura za ndani.
 
Rias Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amesema hatarajii kuona utaratibu tofauti katika CCM tofauti na ule uliozoeleka

Kawaida ndani ya CCM, Rais ndio huwa Mwenyekiti wa CCM ambapo Rais Kikwete amesema wanafanya hivyo kuepusha migongano inayoweza kutokea kwa mwenyekiti kutofautiana na Rais

Amesema hayo zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuwa na Mkutano Maalumu wa CCM

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. John Magufuli amefariki Machi 17 kwa ugonjwa wa moyo
Ameyaongea haya katika mazingira gani? Yaani alikuwa anamwambia nani?
 
Na hata Samia atachaguliwa kwa kura zote kuwa mwenyekiti lakini haitaondoa kuwepo kwa mawazo kinzani
Kinzani kinzani! Kinzani kitu gani?! unaruka ruka tu, umesema wenye wazo moja la
Mwisho ni Ufipa peke yao, jamaa akakumbia mbona, hamkutaka mawazo mbadala mkampa kura zote mwendazake awe mwenyekiti wa chama?! Sasa unabisha nini?!
 
Anataka aonekane ana kaushawishi. JPM kaacha viongozi wengi wenye moyo wa uthubutu na ujasiri wa kutisha. Wakuu wa Mikoa na Wilaya wamesubiri jobo CCM ipite kwanza hiyo tarehe 30.

Namba ya wafungwa walio samehewa 5001 ina maana gani katika ulimwengu wa Kiroho kwa upande wa Nuru au giza.?
 
Asante hayati rais Magufuli kwa kutuachia wosia wa kuacha hofu na kumtegemea Mungu kwa kila jambo.

Kimbunga Jobo na Corona wamekiona cha mtema kuni Tanzania.
Hello Kinuju, amka kumekucha acha kuota. Magu is no more.
 
Ushauri wangu kwa CCM tenganisheni Urais na uenyekiti wa Chama.

Pili mpeni mwenyekiti Rais au waziri Mkuu mstaafu, hi itapunguza mgongano na struggle for power. Lakini itaweka uwajihikjai
 
Rias Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amesema hatarajii kuona utaratibu tofauti katika CCM tofauti na ule uliozoeleka

Kawaida ndani ya CCM, Rais ndio huwa Mwenyekiti wa CCM ambapo Rais Kikwete amesema wanafanya hivyo kuepusha migongano inayoweza kutokea kwa mwenyekiti kutofautiana na Rais

Amesema hayo zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuwa na Mkutano Maalumu wa CCM

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. John Magufuli amefariki Machi 17 kwa ugonjwa wa moyo
Chama kinakosa uwezo wa kuihoji Serikali kwani. Ukitenganisha Chama na Serikali Chama kitakuwa na nguvu ya juu ya Serikali. Lakini hili linahitaji Serikali kama ya China ambayo hakuna vyama vingi.
 
Ushauri wangu kwa CCM tenganisheni Urais na uenyekiti wa Chama.

Pili mpeni mwenyekiti Rais au waziri Mkuu mstaafu, hi itapunguza mgongano na struggle for power. Lakini itaweka uwajihikjai
Uko sahihi
Kama kuna jambo zuri kabisa kwa Tanzania kutokea ni hili la kutenganisha kofia za rais na mwenyeketi wa chama. Tena hili linafaa kuwa kwenye sheria za vyama vya siasa ili i apply kwa vyama vyote hata huko mbeleni vikija kushika nchi.
Kabisa kutenganisha vyeo kutasaidia uwajibikaji kwani chama kilichomuweka Raidi madarakani kitakuwa kinaweza kumuhoji pia kumtoa pale anapokiuka maelekezo ya Chama au Katiba ya Nchi kama alivyofanya Mwendazake.
 
Back
Top Bottom