Kikwete: Sipendi Kusutwa, Niiteni Bwana Maendeleo!

Status
Not open for further replies.
kama wewe ni mkweli tuwekee deni aliloliachia taifa mzee mchonga na baadaye mzee ruhsa. do not be blind.
tabu tulizonazo watanzania hajaanzisha kikwete, jamaa anajitahidi sana kubampana nazo mpaka kufikia kwenda kujidhalilisha kuomba halafu leo mnaleta nyoko zenu hapa. kwani JK angeamua tu akakaa kwani angekosa nini, sidhani kama jamaa ananjaa na dhiki kama walivyowaTZ lakini mnaishia kumtukana tu, hebu kuweni waungwana kidogo basi.
nyerere pamoja na kukaa miaka mingi ikulu ametuachia deni kubwa na huku tukivaa matairi ya magari miguuni mbona hammsemi?

Huez kua unaishi tandale wewe ndio mana huna haya.
 
Maendeleo tuliyoyapata katika kipindi cha Kikwete hatujawahi kuyaona kwa Marais wote waliomtangulia hata uwachanganye na kuwajumlisha pamoja, bado.

Kikwete uko juu.
 
Leo akihutubia wananchi wa mkoa wa kigoma Jk kasema anataka aondoke madarakani akikumbukwa kama mtu aliyefanya mambo muhimu sana katika kuliendeleza taifa hili. Kasema anapenda aondoke madrkani akiitwa Bwana Maendeleo!
Jamani kuanzia leo majina mnayomwita JK kuwa mara ni FastJet, Vasco DaGama na mengineyo muachane nayo...muanze kumuita Bwana Maendeleo!
Nawasilisha!
nitamkumbuka kama Rais aliyeongeza deni la taifa kutoka Trilioni 6 wakati anachukua nchi mpaka trilioni 20 so far sijui akitoka litakuwa perhaps trilioni 30
 
Hiyo ya kujiita Bwana Maendeleo si mara ya kwanza kusikia ZZK alimsifia rafiki yake JK kwa kufanya maendeleo Kigoma.
 
Hiyo ya kujiita Bwana Maendeleo si mara ya kwanza kusikia ZZK alimsifia rafiki yake JK kwa kufanya maendeleo Kigoma.
ZZK bana!!!! ndomana bado yuko kigoma badala yakuwepo bungeni!! yaan anataman ajiunge nao kwenye sherehe yao sema aibu tu. si ajabu kesho tutasikia walikuwa pamoja leo usiku.
Nahisi hata kura yake alimpatia sidhani kama alimpigia Dr.Slaa huyu! Chezea njaa weyeeee... Alianza kwa mbwembwe saiv kushney washamweka kapuni. Halafu nahisi na udini pia ukawa chanzo.
 
Maendeleo tuliyoyapata katika
kipindi cha Kikwete hatujawahi kuyaona kwa Marais wote waliomtangulia
hata uwachanganye na kuwajumlisha pamoja, bado.

Kikwete uko juu.

Kweli mkuu... maendeleo ya kugawa rasilimali zetu kwa wachina ili kumnusuru mwanae asinyongwe kwa kukamatwa na madawa ya kulevya kule china... kwa hakika hatutaweza kumsahau....
 
naunagana kwa 100% kuwa
jamaa amefanya maendeleo. we all know that "JK hata angefanya zuri gani
sikwamba tu hampendi kulisikia bali hampendi hata kutokea kwa hilo
jambo"

Atakumbukwa na mwanae riz1 kwa kumfanya kuwa billionea ndani ya muda mfupi... lakini sio sisi wananchi wa kawaida tunaonunua unga 1kg kwa 1700, bili za maji na umeme juu, umeme unaokatwa bila mpangilio, huduma duni za afya, ukosefu wa mitaji ya kujiajiri, wanafunzi kukosa mikopo, foleni zisizopata ufumbuzi... etc,
endeleeni kujifariji pale lumumba...
 
Huez kua unaishi tandale wewe ndio mana huna haya.

mkuu hujakosea. sisi tunaishi uswahilini na tunaona jamaa hata hizi barabara za kwetu kwa mara ya kwanza katika historia ya tanzania zinajengwa tena kwa lami.

nyie mafisadi mliolifilisi taifa hili hamtaki kuona na sisi tunasonga mbele. kinawauma hata uwepo wa shule za kata kwa sababu mnajua akia yahe tutasoma. tena msivyo na aibu badala ya kushauri jinsi ya kuziboresha nyinyi hamzitaki kabisa. mngekuwa waungwana kwanza mngekubaliana na suala la shule then tuungane kwa pamoja kupigia kelele ziboreshwe, lakini wenzetu mko tofauti sana.

Anyway hata nyinyi hakuwasahau si hata zile barabara zenu kama za kule rombo na zinazofanana na hizo mmejengewa kwa lami. mbona mlikuwa mnapata tabu siku nyingi? mbona watangulizi wa kikwete hawajawajengea. Ni mtu mwenye upogo wa akili tu ambaye anaweza sema KIKWETE hakufanya kitu. TO ME KIKWETE IS THE BEST PRESIDENT THAN ANY BEFORE. Labda tusubiri utendaji wa rais ajaye kama anaweza mpita.
 
Ni kweli yeye ana majina mawili makubwa: 1.Bwana Maendeleo 2.Mcheka na Mafisadi. Kivumbi ni kwa yule katibu wake,mara kesho kutwa nae tutamsikie eti mniite...Bwana Pembe za Ndovu!
 
Atakumbukwa na mwanae riz1 kwa kumfanya kuwa billionea ndani ya muda mfupi... lakini sio sisi wananchi wa kawaida tunaonunua unga 1kg kwa 1700, bili za maji na umeme juu, umeme unaokatwa bila mpangilio, huduma duni za afya, ukosefu wa mitaji ya kujiajiri, wanafunzi kukosa mikopo, foleni zisizopata ufumbuzi... etc,
endeleeni kujifariji pale lumumba...

mkuu kuhusu Riz1, Kikwete anatoka miaka miwili tu ijayo, tutakuwa huru kuhoji hizo mali uzisemazo kama kweli anazo na avarify amezipataje. kama kuna kona kona sheria ichukue mkondo wake. yaelekea kwa mawazo yako shida tulizonazo waTz ni kwa ajili ya Riz1. sishangai mtu kama wewe kuwa na mawazo kama hayo, kwani kila kitu riz1. hii ni aibu kwa kweli.
pili kwahiyo unaamini kabla ya kikwete huduma kama maji, umeme, mitaji ilikuwa bomba kabisa? ila kwenye uongozi wa kikwete akakata maji kwa hiyo wana kimara, ukonga nk tunashida ya maji kipindi hiki cha JK tu? au sijakuelewa unachotaka kuniambia?

sisi tunaishi uswahilini na tunaona jamaa hata hizi barabara za kwetu kwa mara ya kwanza katika historia ya tanzania zinajengwa tena kwa lami.
nyie mafisadi mliolifilisi taifa hili hamtaki kuona na sisi tunasonga mbele. kinawauma hata uwepo wa shule za kata kwa sababu mnajua akia yahe tutasoma. tena msivyo na aibu badala ya kushauri jinsi ya kuziboresha nyinyi hamzitaki kabisa. mngekuwa waungwana kwanza mngekubaliana na suala la shule then tuungane kwa pamoja kupigia kelele ziboreshwe, lakini wenzetu mko tofauti sana.
Anyway hata nyinyi hakuwasahau si hata zile barabara zenu kama za kule rombo na zinazofanana na hizo mmejengewa kwa lami. mbona mlikuwa mnapata tabu siku nyingi? mbona watangulizi wa kikwete hawajawajengea. Ni mtu mwenye upogo wa akili tu ambaye anaweza sema KIKWETE hakufanya kitu. TO ME KIKWETE IS THE BEST PRESIDENT THAN ANY BEFORE. Labda tusubiri utendaji wa rais ajaye kama anaweza mpita.
 
Labda ana hoja. Lakini akubali kukitokea jambo baya nyumbani wa kwanza kuulizwa ni baba.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom