Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,879
Hakika rais mstaafu awamu ya 4 Jakata Kikwete atabaki katika historia ya tanzania kama baba wa demokrasia aliyethubutu kuwapatia watanzania katiba mpya licha ya ndoto yake kutokutimia kutokana na mahafidhina ndani ya chama chake waliotaka ashindwe ili waendelee kutumikia nafasi zao.
Pamoja na Jakaya kikwete kuwaanzishia mchakato bado utawala wa awamu ya 5 ulishindwa na bado umeishindwa kuwapatia watanzania katiba mpya. Tunakumbushana rais samia katiba mpya ni muhimu kwa uchumi wa Watanzania.