Kikwete: Serikali yangu inapinga Bw. Gbagbo kung'ang'ania madarakani!

Jk amerudia tena kauli ya membe kwamba serikali yake inapinga Bw. Gbagbo kuendelea kung'ang'ania madarakani wakati ushahidi upo wazi kuwa alishindwa uchaguzi. Ama kweli nyani haoni ku......

Mbona hata yeye kuna wanaodai kwamba hakushinda uchaguzi kwa nini asituthibitishie kwamba yeye ni legitimate leader wa Tanzania kwa kuruhusu uchunguzi wa ushindi wake upingwe mahakamani...kwa kuruhusu tume huru ya uchaguzi.. kwa kuruhusu tume huru ya uchunguzi wa uchaguzi na kama akibainika kwamba alichakachua apelekwe mahakamani...

kama kweli ni mwamume wa mbegu/Dume la mbegu hebu akubali (kama haogopi kivuli chake) tumchunguze.. he has noting to loose (Except his presidency) kwa sababu hata akiwa na hatia bado atapata pension yake ya uraisi ambayo bado ni generous tu ukilinganisha na gharama za maisha Tanzania kwa ujumla...
 
Kuna mchangiaji mzuri kwenye thread hii ametumia lugha nzuri sana. Anasema jk hana 'moral authority' ya kumnyoshea kiongozi yeyote wa africa. Suala hili linanikumbusha wakati fulani rais mugabe alipowaambia viongozi wenzake wa afrika walipokuwa ethiopia. Aliwaambia bila kumung'unya maneno kuwa kabla hawajamnyoshea kidole, wajiangalie wao kwanza. It was the end, no body contiued to point his finger.
 
baadhi yetu tunakuza mambo. Hata Slaa mwenyewe alilalamika kupunguziwa asilimia ya kura, sio kwamba alishinda. JK ndo raisi, tukubali reality! Let's focus other important topics, lest slow down our economy
 
Back
Top Bottom