Kikwete: Serikali yangu inapinga Bw. Gbagbo kung'ang'ania madarakani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete: Serikali yangu inapinga Bw. Gbagbo kung'ang'ania madarakani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Jan 28, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Jk amerudia tena kauli ya membe kwamba serikali yake inapinga Bw. Gbagbo kuendelea kung'ang'ania madarakani wakati ushahidi upo wazi kuwa alishindwa uchaguzi. Ama kweli nyani haoni ku......
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Na yeye akae akijua kuwa tunapinga uchakachuaji wa kura aliofanya
   
 3. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Vituko vingine bwana! Nyani haoni kundule.
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,583
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Na sisi tunamwambia kuwa tunapinga yeye kung'ang'ania urais wa Tanzania ilhali raisi wa watanzania ni Dr. Slaa.
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,573
  Likes Received: 3,872
  Trophy Points: 280
  Slaa alipata kura ngapi na Kikwete alipata kura ngapi??
   
 6. C

  Campana JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Na why aende kuyasemea nje ya nchi?
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,583
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Swali hilo kamuulize Othman wa TISS na Makame wa NEC, wao ndiyo wana data za ukweli kabla ya uchakachuaji uliomtangaza JK kuwa Rais.
   
 8. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Unapokuwa kwa wahisani hasa ukiwa unataka kutembeza bakuli kama ombaomba Matonya ni lazima useme lolote lile hata kama huamini katika hilo,hivyo alivyofanya mkulu ni sawa tu kwake hata kama moyoni haamini alichokisema.

  Bila kujipendekeza kwa wahisani ataomba vipi wakati wao wamekwishasema hawamtambui Gbagbo?
   
 9. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Usiukalie huo ushahidi, ebu tupe na sie tujiridhishe!!
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,573
  Likes Received: 3,872
  Trophy Points: 280
  So you dont have the facts my dear?? kama unaamini wale ndio watangazaji wa matokeo kwa nini usiamini kuwa walikuwa sahihi? chadema walihesabu kura na matokea halali yalikuwa tofauti kama ya asilimia 1 tu! JK akiwa mshindi!

  Guys leteni hoja basi humu za kuunda katiba.............. jamani crying kuwa Kikwete alishinda kwa uchakachuaji huku yuko madarakani !!! inasaidia nini??
   
 11. k

  kagosha Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  Namimi nilitaka kuhoji hivyo hivyo, kama mwanaume kweli aje ayaseme hayo hapa nyumbani vinginevyo tunamwona ni wa kiume tu
   
 12. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 641
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  I don't belive Jk said like that. na mimi napinga kuwepo kwake madarakani. Jk was not our choice we Tanzanian. That is why he is facing resistances from every coner of this state. he was a choice from the poorest people of Tanzania and those who benefits from his poor leadership.
   
 13. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Anafahamu fika kuwa tunapinga uchakachuaji wake akishirikiana na wachakachuaji wenzie akina shimbo, kiravu na lewis makame.
  Nadhani na yeye ajipime kubaki madarakani.
   
 14. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #14
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si anabembeleza msaada huko....nchi imemkwamia mkononi hii ati!
   
 15. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Legally Kikwete is the President of this country, but legitimately he is not!! Hana legitimacy ndio maana wananchi walio wengi wanambeza.
   
 16. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  umeelewa title ya thread? Au unataka tujadili ya kwako ya katiba? Sijui udikteta utaisha lini michwani mwa watu!
   
 17. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kwani Gbagbo alishinda au alishindwa kwa asilimia ngapi?
   
 18. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mgao wa umeme unaisha lini..? matatizo lukuki anazungumzia ya Gbagbo..
   
 19. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wananchi walio wengi? ni vigumu sana kujustify hilo!!
   
 20. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Definitely anaona aibu.
   
Loading...