Kikwete sawa na rubani wa ndege, hivi rubani akianguka anaendesha itakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete sawa na rubani wa ndege, hivi rubani akianguka anaendesha itakuwaje?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by chilamjanye, Sep 5, 2010.

 1. c

  chilamjanye Senior Member

  #1
  Sep 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo nimesoma makala ya Privatus Karugendo nikaipenda sana na anachokizungumzia kina ni cha msingi sana. Kikwete Tunajua amekuwa akianguka mara kwa mara ambapo tunapata mashaka na afya yake. Huyu ndiye Rubani wetu wa ndege ya Tanzania hivi ikatokea Rubani anaendesha Angani ghafla ameanguka ndege itakuwaje. Abiria watafika kweli au ndo kifo cha kutisha. Karibu maoni wana JF
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  In Tanzania, Hakuna matata, shwari, no sweat, poa, powa: teknologia siku hizi tunatumia autopilot
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Atachukua usukani pilot makamba
   
 4. c

  chilamjanye Senior Member

  #4
  Sep 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha utani ebu fikiria dreva anapandwa maruani muko sekenke ndo yuko speed kali na gari atatoka mtu ebu kuweni makini tusimpigie kura mgonjwa
   
Loading...