Kikwete Rais bora Tanzania kuzidi waliomtangulia

MUGUNDA

Member
Aug 11, 2011
69
62
wanajamvi nawasalimu:

Nimewaza mda mrefu nikaona niweke slide hii maana nimeona ipo sawa kuifikiria sisi kama great thinkers:

Kikwete ni Raisi bora kuliko wote waliomtangulia hapa tanzania kwa sababu zifuatazo ( upo free kuongeza )

1. Amepanua democrasia kwa kiasi kikubwa hadi sasa hadi kijijini wanaujua ubaya na udhaifu wa serikari yetu.
2. kila chombo cha habari chaweza kuandika tuhuma hata kama ya jinai inayoihusu serikari pasipo kuchukuliwa hatua
3. amewafanya watu kuipenda sana CDM kuliko CCM hata waliomo CCM wanapenda kuwa katika chama Makini CDM lakin ndo hivo matumbo yao bado yana njaa.
4. asilimia 80 ya Raia wa Tanzania wanachukizwa na utawala wake ila wengine hawana jinsi wanaogopa kutema Vibarua

Kwa kuwa Kikwete alikuta System ikiwa vile lakin wananchi hawaelewi hivo akaona hawez nyamaza wakati wananchi wanaumia kwa mda wote, niyafanye haya yote, nioneshe kuwa mie ni dhaifu sana ili watu waanze kugundua na kujua nini kilichokuwa kinafanyika Ikulu ya Tanzania miaka ya nyuma.
Kwa Point hizo nahis Kikwete ni Raisi Bora Kuwazidi akina Mkapa, Mwinyi na Nyerere.
 
Du, ukisoma kwa pupa unaweza ukaishia kusema "SILLY SEASONl" lakini sivyo!
Kwa maana yako Jk ni rais bora.
 
mkuu hii ni gia ya reverse lakin itatupeleka tu. tukianza na sera ya uwazi na ukweli hii alianzisha mhe Ben na aliweza kuisimamia vizuri sana na ndio maana nzi zake kulikuwa na limitations za uwazi na kadhalika ingawa pia waandish wa habari hawakunyimwa habari.

Kikwete ni muhanga wa uovu aliourithi toka enzi za nyerere hadi leo ila pia mimi ningepewa nafasi ya kumshauri ningesema haya:
1) kikwete umekuwa mlegevu sana hasa katika usimamizi wa taifa hili kiasi kwamba kila mtu anakuja na lake na wewe unalisikiliza na kutaka kuliimpliment bila kulifikiria kiundani sana. Mfano mzuri hapa ningempa juu ya ya huu mradi wa magari yaendayo mwendokasi. binafsi sioni tija yake kama nia ni kupunguza que kwend amjini kwani pia magari hayo hayata punguza msongomano wa kutatua tatizo la msongamano wa magari. hainiingii akilini serikali inagharamia mabilion ya sh kujenga barabra tok jangwania hadi kimara tu kitu ambacho bado jangwani watu hawajafika mjini. mfano posta. ama kimara bado hujatoka nje ya dar. ingekuwa mimi ningesema hapana hebu tu improve bara bara za pembezoni ili tuwwe na matoleo mengi kwenda na kutokea mjini kuliko kung'ang'ania hii moja ambayo inapitisha magari mengi na katibu yote yaendao mikoa ya tz kasoro visiwani na lindi na mtwara.

2) CDM haijatumia udhaifu wa CCM ili kujipatia maarufu la wametumia sera, na mfumo uliokubalika toka chini hadi juu so hata kama ccm ingekuwa imara ila kwa kazi CDM iliyofanya ili kujitangaza imatosha kuipatia umaarufu mkubwa sana na si tu ndani bali hata nje ya nchi.

3) ubadhirifu tunaouona kwa serikali si kwamba kikwete ameufanya utokee bali ni kwamba sekta nzima ya record keeping na secrecy katika taifa hili ilivyozorota. huwez ukawa ni mtu wa records usijue confidential recods zinakaa wapi na mafail ya kawaida yanakaa wapi. hii inatokana na kuajiriwa kwa watu ambao hawana maadili ya kazi hainiinii akilini kwamba kapuku kama mimi naweza kwenda wizarani na nikapewa nyaraka muhimu za serikali hii pasi hata mtu kuona vibaya..pia usiri kati ya wale wanaokaa naye nao unahusika sana tu. unamkuta mtu hana usiri ni mnafiki, mpenda rushwa na vyakula kiasi kwamba hana kifua cha kuhifadhi vitu. ulaya ili upate siri ni kazi sana unless umamuekea vifaa vya kumnasa akiongea.
naona kwamba hapa nitasema sana. naomba niwasilishe.
 
alafu kwakuongezea hicho kipengele cha kwanza kwani haya magari yaliyopo yameshindwa kwenda kasi? Tatizo si barabara.
Mtazamo wangu ni mradi wa watu wachache walioiteka serikali ili kujinufaisha wenyewe
 
tatizo kikwete kaingia wakati ambako kuna strong social media...zamani wakati wa mkapa na mwinyi ilikua ukitaka kupata habari ni mpaka magazetini na magazeti yalikua yanabanwa sana...kikwete ameingia enzi ambazo kuna facebook,twitter,blogs,jamiiforums na nyingine nyingi so hata ukinyamazisha magazeti habari bado tunazipata. mfano kuna skendo kibao ziko hapa JF lakini magazeti hayawezi kuandika...so kikwete na marais wengine wa sasa wana challenge kubwa sana kwa sababu social media is so powerful these days, fikiria habari imetokea singida vijijin within 10mins iko hapa JF si mchezo
 
Wanaosema ndio waseme ndiyo; na wanaosema sio waseme siyo. Mmh! waliosema ....IYOOOOOOOOO! wameshinda
 
Ushahidi uliopo unatosha. Serikali ya CCM inaanguka chini ya utawala wake. Chama chake kimesambaratika chini ya uongozi wake. Muungano unasuasua chini ya utawala wake. Hitimisho: Kikwete is the best thing to ever happen to Tanzania.
 
Labda kweli! What i know JK ni RAIS mstaarabu kuliko wengine wote...This opportunity tunaitumia vibaya kwa kumuona JK kinyume kabisa..Ebu mlinganishe JK na MKAPA then ndo utaona JK ni level nyingine...Ata hii DEMECRACY tulionayo leo am sure JK sio dhaifu kiasi hicho ,leo tunajua mengi kwasababu ameruhusu habari kupatikana Kipindi cha MKAPA tusingeweza kuona haya na ikumbukwe viongozi wa upinzani walivyopigwa mpaka kuvunjwa mikono na kufungwa juu lakini leo hii tunaweza kuhudhuria mikutano ya upinzani na kujulishwa mengi HAJASHINDWA kua km watangulizi wake...Watu km wakina MWIGULU na baadhi ndani ya system wanadhani CCM itatawala milele that is not democracy even JK knows that! JK ktk ajira to be honesty amejitahidi kuajiri na kuondoa ukiritimba wa ajira ulliokuepo wa kuitukikia serikali kwanza ndo baadae upate ajira ,WALIMU wanajua hilo! Jamani sometimes tuwe tunafikiria mara mbili kabla ya kumdharirisha JK kwani huenda tukamkumbuka..Ebu fatilia siasa za US leo hii OBAMA anaitwa Rais mbaya kuliko ata BUSH tatizo nini ajira...
 
Ndugu wana jukwaa leo nimekuja kwenu kuwakumbusha ubora wa Mh. Rais wetu ndugu Jakaya Mrisho Kikwete. Kiukweli pamoja na sifa mbaya ambazo zimekuwa zikitolewa mara kwa mara na watu mbalimbali ninaomba kwa haya watanzania tumpongeze.

Nakumbuka ktk tawala zilizopita hakuna mtanzania aliyekuwa anathubutu kuisema serikali waziwazi tena hasa ngazi za mawaziri na rais. Waliokuwa wakiisema serikali aidha waliwekwa vizuizini au kufa vifo vya ghafla. Rais wetu mpendwa ndugu Kikwete amewaachia watanzania uhuru wa kuongea na kuikosoa serikali bila kujali na wengine hata kutoa matusi ya waziwazi dhidi ya rais wetu bila kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu. Pia ni utawala wake ndo umewaamsha watanzania wengi kutoka usingizini japokuwa si wote.

Kwa hayo sio siri nampongeza sana Mh. Rais Dr. J.M. Kikwete.
 
Teh teh,...
 
Jamani acheni huyu mheshimiwa amalize kipindi chake apumzike, aliyotufanyia Mungu ndiye anajua.
 
Kweli jamaa ni kiboko basi tu mabeki ndiyo wanamwangusha kama hii ya jana kufungwa mbili kwa moja na ubelgiji.
 
GT unajustify ubora kwa kuangalia aspect moja tu ya politic tu,came up na package nzima ili tu dig deep,kiuchumi nk.
 
Back
Top Bottom