Kikwete rais anayetawala nchi akiwa angani;tunaomba apelekewe ndege ikulu tupunguze folen za airpo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Kama kuna rais wa mijuiza dunian basi ni rais jakaya mrisho kikwete..kana kwamba watu awamiini kilichotokea na kinachoendelea akutokea huyu ndie watanzania kadhaa wa mwaka 2005 walipodai ametoka kwa mungu na wengine
kufikia kumuita handsome kutoka kwa mola,,

rais huyu amekuwa akitawala nchi muda mwingi akiwa angani kama si nchi za watu na pengine kungekuwa na nafasi tuungemwita rais wa nje..huyubwana kwa kweli hata kama ni ushamba ama kusema sasa umefika wakati wa kula muda wangu umeisha anachoendelea ni kumtia aibi kwa kweli inasikitisha sana sana..mungu atusamehe kwa kumpata rais hatari kama huyu..pengine ningeomba vyombo husika badala ya kumsumbua huyu bwana na kufanya watanzania kugafilika na folen na safari zake za kila mara tungeomba apelekewe ndege pale ikulu kuondoa usumbufu wa folen mara kwa mara
 
duh kuongoza nchi akiwa angani - basi atakuwa na remote control yenye nguvu sana.
 
Ah waungwana,hatuna jinsi tunataka ndio yeye hatutaki ndio yeye.kwa ufupi alie pewa kapewa nasie tupange foleni Inshallah nafasi yetu itafika.
 
Back
Top Bottom