Kikwete Rais aliyechaguliwa na watanzania milioni 5 kati ya milioni zaidi ya 45

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Jamani ebu tujadili kidogo, hivi kweli rais aliyechaguliwa na wananchi milioni 5 miongoni mwa wananchi milioni zaidi ya 45 anawezaje kutembea kifua mbele!!!! Kwa binadamu mwenye akili timamu kabisa hilo si jambo jema na kama ni muungwana angeweza hata kuomba uchaguzi urudiwe ili ajiridhishe kama kweli anaungwa mkono na asilimia kubwa ya wananchi anaowaongoza.
 
Labda siyo Kikwete ninayemfahamu. Ninayemfahamu alitaka kuendelea kuwa rais kwa namna yoyote ile, na tukilala usingizi atabdili katiba kusudi aongeze miaka mingine akiwa ikulu.
 
Back
Top Bottom