Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,856
- 399
Jamani ebu tujadili kidogo, hivi kweli rais aliyechaguliwa na wananchi milioni 5 miongoni mwa wananchi milioni zaidi ya 45 anawezaje kutembea kifua mbele!!!! Kwa binadamu mwenye akili timamu kabisa hilo si jambo jema na kama ni muungwana angeweza hata kuomba uchaguzi urudiwe ili ajiridhishe kama kweli anaungwa mkono na asilimia kubwa ya wananchi anaowaongoza.