Kikwete on WEF Panel (Video)

Katoma

Senior Member
Mar 11, 2008
133
10
Mheshimiwa akiwakilisha nchi ndani ya World Economic Forum 2010, Davos.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=TyVQgs77Rxc[/ame]

Anaanza kwenye dakika 4:30
 
Pamoja na kusafiri kote anakofanya JK kuomba misaada lakini bado swali/debate ya challenges za Africa inamlazimu asome kujibu swali kama form 4 student??!!
 
Mkapa anaendelea dk 32:32..
Kwa kweli jamaa anaweza ku'direct point kiufasaha zaidi kuliko mzee wetu wa sasa.

Ila, hivi kwanini Tanzania ndio tunaalikwa kila mwaka katika mikutano hii? Inamaana Africa hamna marais wengine wanaoweza kwenda kuelezea michakato yao ya maendeleo huko?

Au sisi ndio wauza sura nambari wani!!!
 
Huyu Mkuu hasomi vitabu vya uchumi naona yuko shallow! na Lugha anakuwa na kigugumizi sana kuliko akiongea Kikwere ama kiswahili! Tutafika tu
 
Huyu Mkuu hasomi vitabu vya uchumi naona yuko shallow! na Lugha anakuwa na kigugumizi sana kuliko akiongea Kikwere ama kiswahili! Tutafika tu

Kazi kweli kweli. Hivi naomba nihijack hii thread kwa kuomba kuulizwa swali ili niweze kuboost elimu yangu ya uraia ambayo imelala kwa kipidi kirefu Swali: Hivi kipindi hiki ambacho rais na makamu wake hawako nchini ni nani mkuu wa serikali? Je ni PM au Rais wa Zanzibar au ni speaker? thanks
 
Nadhani ni PM kama wote hawapo anakuwa Speaker! sina uhakika ila raisi wa Zanzibar hana nafasi!

Back to JK, nimependa sana alivyoongea Dr Kaberuka! anaconfidence na anachokiongea na hata anavyojenga hoja! Raisi wangu looohh
 
People are funny in here. I doubt very much that if a handful of you can even spit in English proficiently. But when it comes to Monday morning quarterbacking (about someone's language skills) you are always there on the frontline.
 
I like this!
 
OPP,

Most people can probably afford not to spit this tongue as most people are not POTUR. Kikwete cannot afford not to spit, he is el presidente.

Umemuona Jaluo jana alivyochachafya Reds hapo Baltimore, on live TV no less? Hapo ndipo unaona he wasn't Harvard Law Review editor for nothing. Halafu nisikie tena upuuzi wa teleprompter.

Back to JK, lugha aside. Hata ukim "cut some slack" on grounds kwamba kajifunza ukubwani, tena choo kikuu cha Manzese, JK si mjenga hoja hata akiongea Kiswahili.

Kiingereza hata wazungu wa nchi nyingine wanachemsha, huyo mama anaintroduce hapo anasema "to put our foots together", horrible english, lakini ukimsikiliza unaona ana mtiririko unaotakiwa na unaweza kumsamehe lugha kwani ukisikia accent unaona si mother tongue.English is an illogical language anyway (not me, George Bernard Shaw said that, and I agree) so one's inability to master it may show logical thinking.Tatizo linakuja unaposhindwa kiingereza halafu ukakosa point vile vile.

I doubt ameshawahi kumsikia Ludwig von Mises ingawa anatakiwa kuwa economics major.You can never tell from his output. He might as well be a form four leaver.

Lightweight one at that.
 
People are funny in here. I doubt very much that if a handful of you can even spit in English proficiently. But when it comes to Monday morning quarterbacking (about someone's language skills) you are always there on the frontline.

It will always be a doubt.

Well, the issue here is not his English skills. He speaks English really well. It's the lack of eloquence in discussing serious matters that should be piece of cake to him that I am not pleased with. He is the President of the Republic for heaven's sake. I expect him to be all-rounded. Raisi wetu ni "Celebrity President".
 
But the guy is an Economist! Apart from that,Imagine jamaa amekua foreign minister for ten years....no wonder we are still waiving our shallow foreign policy,poor economic policy,unhealthy socio-economic prosperity but heroes and Gold medalists in poverty and corruption.it's so disappointing but let us not loose hope,let us keep on daring! Angalia motto wangu hapo chini...
 
Umemuona Jaluo jana alivyochachafya Reds hapo Baltimore, on live TV no less? Hapo ndipo unaona he wasn't Harvard Law Review editor for nothing. Halafu nisikie tena upuuzi wa teleprompter.

Don't get me started now...did you see him cut them off at times? When someone cuts you off that means he's upset. He kinda lost his cool during some of those exchanges. At one time he didn't even answer the question from Tom Price (of GA, of course).

Now, I'm not saying he's that bad. All I'm saying is he's not a great of a speaker as he's cracked up to be. He's not as he's advertised. He's not persuasive coz if he was then the healthcare bill would have been passed long ago when they had their super majority.

Halafu juzijuzi tu hapa alienda kuongea mbele ya vitoto vya elementary sijui kindergarten vile na akatumia teleprompter. POTUS please!

I don't feel like goin' in on him but if I need to I can...
 
But the guy is an Economist! Apart from that,Imagine jamaa amekua foreign minister for ten years....no wonder we are still waiving our shallow foreign policy,poor economic policy,unhealthy socio-economic prosperity but heroes and Gold medalists in poverty and corruption.it's so disappointing but let us not loose hope,let us keep on daring! Angalia motto wangu hapo chini...

Matatizo yetu hayatokani na yeye kutokuwa mzungumzaji mzuri. Tumeshawahi kuwa na maraisi ambao walikuwa ni wazungumzaji wazuri, Nyerere na Mkapa, lakini matatizo mengi tuliyonayo sasa hata enzi zao tulikuwa nayo. Matatizo yetu ni beyond uwezo wa viongozi wetu kuwa wazungumzaji wazuri.

Heck give me a bad public speaker who can deliver the goods and I won't have a problem with it.
 
Alichozungumza Mnigeria ndo ukweli,Africa haitaweza kuyafikia maendeleo kama ya wenzetu wa west kama haitapitia Industrial Revolution,ambayo ndiyo hiyo sasa inapigiwa kelele kuwa inapelekea unfavorable climate changes due to emissions/polution,Africa hapa therefore ni kama mtoto anayeambiwa akimbie kabla hata hajatambaa,yani Africa sasa nayo iende green,yani tunakula kichapo tu....Sasa Africa iende green kwa emissions zipi hizo?Labda utunzaji wa mazingira kama deforestration etc.
Swali hapa linakuja,given the fact that ili tuendelee tunahitaji industrial revolution,na wakati huu kuinvest kwenye industry ni lazima uendane na wakati kwa ku invest kwenye green energy,je Africa tumejiandaa vipi?
Kama viongozi wa Africa wangekuwa makini basi wangekiri kuwa kazi tuliyonayo sasa ni mara mbili ya ile ya awali.
Mataifa mengine kama India na China wameshajipanga vizuri kukabiliana na changes za "Going green"
JK yeye amemung'unya mung'unya na kuelezea tu madhara ya carbon emissions lakini hakuzungumzia kuwa ni kivipi mabadiliko hayo yataathiri uchumi na maendeleo ya Africa.
 
Kama viongozi wa Africa wangekuwa makini basi wangekiri kuwa kazi tuliyonayo sasa ni mara mbili ya ile ya awali.

Umakini wasitwishwe viongozi wa kisiasa tu. Umakini unatakiwa uwe jukumu letu sote. Jamii zilizo makini zinachagua viongozi walio makini pia (at least mara nyingi huwa hivyo).
 
Umakini wasitwishwe viongozi wa kisiasa tu. Umakini unatakiwa uwe jukumu letu sote. Jamii zilizo makini zinachagua viongozi walio makini pia (at least mara nyingi huwa hivyo).

Wananchi ni LAZIMA wawe na viongozi makini ili waendelee,Kiongozi wa China amesema kuwa Africa ikipata maendeleo ya kiuchumi basi kila kitu kama vile elimu,afya nk vita jiseti.

Lakini reality on the ground ambapo ni viongozi vs wananchi towards accomplishing hayo maendeleo ya kiuchumi ndo kitendawili.....Ni wazi kuna anayemtumia mwenzake vibaya kati ya wananchi na viongozi,certainly kwa upande wangu naona kuwa ni viongozi wanaowatumia wananchi vibaya kwasababu hawataki mambo ya elimu,afya nk yajiseti through maendeleo ya kweli ya kiuchumi,kwasababu yaki jiseti wanaweza wasiendelee kuwa madarakani kwani tabia ya mwanadamu ni kutaka more and more.

Na kwahivyo basi viongozi hao wanakuwa mafisadi na kukatisha hatua muhimu tunazotakiwa tuzichukue ili kuyafikia malengo ya maendeleo ya kiuchumi.

Haya mabadiliko ya social political and economic enviroments ni kama style mpya za kucheza,kama huwezi kucheza utabakia msindikizaji tu,kuna style nyingine unahitaji miguu yote iwe kwenye movement simultaneously,na mikono na mwili wako vyote vikiwa kwenye unique movements all at the same time,sasa kama huna rythm,unabakia kuwa kituko tu.

Same with us,ili tupate maendeleo ni lazima yaje hand to hand with education kwasababu la sivyo kutatokea conflict,kwenye dunia ya uchumi wa soko huria,wachina,wakenya nk hawatasubiri watanzania wasome kwanza kabla hawajaingia na kutake opportunity ya maendeleo hayo ya kuchumi,na kwahiyo bottom line in whatever situation tunahitaji viongozi makini kuguide interests za wananchi ili maendeleo hayo ya kiuchumi yaende bega kwa bega na maendeleo ya afya,elimu nk.

Hao wananchi wengi wao hawawezi kufuatilia conversation kama hizi na hawana uelewa wa issues za macro economics ama hata international business,viongozi wana missuse level ya uelewa wa wananchi wao na kama nilivyowahi kusema huko nyuma,mbali na usomi,pia inahitaji huruma na kujitolea ili kuwa kiongozi wa KWELI wa Africa.
 
Matatizo yetu hayatokani na yeye kutokuwa mzungumzaji mzuri. Tumeshawahi kuwa na maraisi ambao walikuwa ni wazungumzaji wazuri, Nyerere na Mkapa, lakini matatizo mengi tuliyonayo sasa hata enzi zao tulikuwa nayo. Matatizo yetu ni beyond uwezo wa viongozi wetu kuwa wazungumzaji wazuri.

Heck give me a bad public speaker who can deliver the goods and I won't have a problem with it.

asante mkuu,

So unaona sasa Jk anaendeleza yale yale?kwa kweli bado tuna kazi ya ziada
 
Umakini wasitwishwe viongozi wa kisiasa tu. Umakini unatakiwa uwe jukumu letu sote. Jamii zilizo makini zinachagua viongozi walio makini pia (at least mara nyingi huwa hivyo).

That other Bam bizz warrants its own thread (in fact there is one), lets not derail this.

I gotta second you on the above. Kikwete is the manifestation of how shule zetu za msingi zilivyo mbovu, shule zetu za sekondari zilivyo mbovu, chuo kikuu chetu kilivyo kibovu, uongozi wa chama ngazi za mikoa ulivyo mbovu, bunge letu lilivyo bovu, baraza la mawaziri letu lilivyo bovu, jeshi letu lilivyo bovu, uongozi wa CCM wa taifa ulivyo mbovu, na urais wetu ulivyo mbovu.

Amepitia institutions zote hizi lakini bado mtupu, na ameweza kuwa rais.

This is bigger than Kikwete, this is a reflection of something intrinsic lacking in the fabric of the Tanzanian people's collective psyche and intellect.
 
But the guy is an Economist! Apart from that,Imagine jamaa amekua foreign minister for ten years....no wonder we are still waiving our shallow foreign policy,poor economic policy,unhealthy socio-economic prosperity but heroes and Gold medalists in poverty and corruption.it's so disappointing but let us not loose hope,let us keep on daring! Angalia motto wangu hapo chini...
Ben, No! Wait a bit, the moto wako hapa chini is what is lacking in him right in Tanzania, kushughulikia mafisadi first. Ndiyo maana jana swali la kwanza aliloulizwa likawa linahusu "corruption". read the thermometer carefully to know the current temperature.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom