muhosni
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 1,108
- 152
Tumeshuhudia dr Slaa, zitto, Mnyika, na wengine wachache wakijibu hoja kwenye blog na Facebook. Pia wanatoa taarifa mbali mbali kupitia mitandao hii
Rais Paul Kagame na waziri wake wa mambo ya nje walikuwa wanajibizana leo na mwandishi wa habari za kimataifa kutumia Twitter. Fuatilia hapa.
http://www.aviewfromthecave.com/2011/05/ian-birrell-vs-paul-kagame-on-twitter.html
JK anaweza hili? Anaweza kujibizana hoja serious na mwandishi wa habari? Anaiweza tekinolojia?