Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

mwenye kujua anijuze mbona huu ukumbi umejaa alama za ccm hadi chemba ya mwenyekiti ina nembo ya ccm ni ukumbi wao?
Na kulikoni mdahalo huu unarushwa na both chanels, itv na eatv(chanel5)

si itv na eatv tu! Pia tbc,atn, channel ten,startv. I wonder
 
Anazungumzia wizi wa kula , ina maana anatufanya hatujui kuwa wapiga kura hewa huwa ni wanajeshi na polisi ambao hawaruhusiwi kupiga kura, sio kwamba kunakuwa na kura bandia ila huwa kuna wapiga kura wasioruhusiwa. Kama wana akili wanaweza mnyima vilevile. Hizi kazi anazoelezea hapa ni kazi ya Kiravu!!!!

mbaya zaidi karibu 90%ya wajeshi na askali wa tz ni 4m 4 felia, hivy siyo hatari sana wao kumchagua
Kikwete kwa kuwa ni rafiki wa uozo wao, rushwa n.k
 
Hivi hakuna mtu wa kumuuliza kwa nini Lowassa na kina Karamagi (Richmond) hawa kufikishwa mahakamani?
I can bet my five cents that hakuna atakayeuliza... wauliza maswali walishapangwa na wakapewa maswali ya kuuliza na majibu yalishaandaliwa. Angalia jinsi alivyohesabu hatua zilizochukuliwa kwenye kilimo, inaonekana kabisa n jibua l kuandaa
 
David Ramadhani-Chennel ten- Srikali imechukua hatua kuboresha elimu, unaahidi nini katika kuboresha sekta ya elimu miaka mitano ijayo? Kuna mapungufu gani uliyoyaona utakayoyashughulikia>
 
Kwa jinsi BIlal alivyokaa anaonekana kama anaswali huyu bwana asianguke tena hadharani


HAhahahhah aanguke kitini?? Halafu anavyotumia nguvu kuelezea zoezi la kuhesabu kura ni kama vile anatutengenezea mazingira ya kukubaliana na matokeo .... lol chichiemu

But ni mahojiano ya mgombea wa CCM na waandishi wa Habari. Sehemu ya come - pain
 
Du anadaftari na anaulizwa swali halafu anapekuwa kwenye daftari live, ningekuwa mimi ningejifanya ingalau naandika
 
Kuboresha, sekta ya elimu,
ANAJIBU KISIASA KWA kutumia takwimu, hajui kuwa watu wameongezeka
 
Jamaa ameulizwa kuhiusu elimu ikabidi apige chabo kwenye file lake ambalo mara kwa mara huliperuzi wakati anajibu maswali.
 
Hivi anayoyaeleza kuhusu wizi wa kura si ni ya siku zote na kura bado zimekuwa zikiibiwa?
 
jamaa anazungumzia idadi ya wanafunzi atiiii anajua quality ya elimu inayotoka. tunashukuruy amejua challenge zote.
Boared ya m,ikopo aseme sasa
 
Suala la elimu nafikiri numbers dont count tunahitaji quality ya wahitimu. Kusema tu kuwa wanahitimu watu 3000 haisaidii unless tujue quality yao katika kuongeza nguvu ya maendeleo ya nchi bwana mgombea
 
Sijawahi kuona ahsante rosemary =ITv angalau tulionja utamu wa Ana kwa Ana hiki ni kitu gani jamani
 
Back
Top Bottom