Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kulikoni Ughaibuni, Sep 13, 2010.

 1. Kulikoni Ughaibuni

  Kulikoni Ughaibuni JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2010
  Joined: Dec 12, 2007
  Messages: 235
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Je wajua kuwa licha ya mgombea wa CCM Jakaya Kikwete kukacha mdahalo na wagombea wa vyama vingine anapatikana kirahisi mtandaoni ambapo "anauza" sera zake na "mafanikio" yake?Kama ulikuwa hufahamu basi nenda Twitter kisha tafuta @Kikwete2010 au nenda Facebook kisha tafuta Jakaya Kikwete.

  I know siasa za chama kimoja zimeacha kasumba ya kufurahia kugusana mabega na watawala.No wonder kuna wenzetu muda huu wanakenua meno yote thelathini na kitu kwa vile wamepokea ujumbe kama huu "Kikwete2010 is following you..." au "Salma Kikwete is Following you..."

  Si ajabu kuna wenzetu wamefotokopi meseji za aina hiyo wakiamini kuwa Kikwete na mkewe Salma wanawajali saaaana hadi wameamua kuwa-follow up huko Twitter au kuungana nao hapo Facebook.KALAGABAHO!Kwanini hujiulizi WHY NOW?Kikwete na mkewe walikuwa Ikulu tangu Desemba 2005 na HAWAKUKUTAFUTA.Hushangai kwanini leo wanataka urafiki nawe?Well,sio kosa kuwa rafiki na rais au mkewe lakini urafiki huu hauna tofauti na ule wa mtenda tendo la ndoa na kondomu.Zana hiyo (kondom) huwa na umuhimu wa kipekee (kwa wale wanaojali) kabla na wakati wa tendo la ndoa,lakini pindi shughuli ikimalizika kondom huwa ni uchafu usiovumilika.ANGALIA,usijetumika kama kondomu: Kikwete akuone muhimu sasa kwa vile anahitaji kura lakini akakusahau (kama alivyokusahau 2005-till now) baada ya kurejea Ikulu.

  Badala ya ku-retweet kila anachoandika,tumia haki yako kama Mtanzania kuhoji masuala mbalimbali yanayolikabili taifa.Twende mbali zaidi ya kupongeza na kuona sifa "kugusana mabega" na watawala.Sio kosa kushabikia lakini ushabiki wenye maana ni ule unaombatana na matumizi sahihi ya akili.

  Now you know-in case you didn't.Muulize Kikwete,je ile kauli aliyotoa mwaka 2006 kuwa anawafahamu wala rushwa kwa majina ila anawapa muda wa kujirekebisha imefikia wapi?Je wameshajirekebisha?Je anaweza kututajia majina ya waliojirekebisha na waliogoma kufuata ombi hilo la kichovu?

  Muulize pia kwamba kabla ya sakata la Richmond aliahidi kuwa tatizo la umeme lingebaki kuwa historia.A few months later,matapeli wa Richmond wakaingia kwenye picha.Today,tatizo la umeme ni as sugu as ufisadi.Mkalie kooni na kumhoji,kama huko nyuma alitoa ahadi ya kutupatia ufumbuzi wa umeme na hakutimiza,kwanini tumwamini sasa?

  Muulizie pia kama bado anaamini kuwa mimba za wanafunzi wa kike zinasababishwa na kimbelembele chao.Yah,muulize swali hilo kwa vile hadi sasa bado hajakanusha au kuwaomba msamaha Watanzania kwa kauli hiyo ya kizembe.

  Usikose kumuuliza pia kama hadi sasa hajui sababu zinazoifanya Tanzania kuwa masikini maana alinukuliwa akijiuliza swali hilo.Nenda mbali kidogo na kumhoji kama alikuwa hajua kwanini Tanzania ni masikini sasa anafanya nini hapo Ikulu?

  Sasa hivi amenzisha hash tag #Mafanikio huko Twitter.Hapo utapata nafasi nzuri ya kujionea waziwazi namna Awamu ya Nne ya Kikwete ilivyoshindwa kuikomboa Tanzania kutoka kwenye umasikini licha ya raslimali lukuki tulizonazo.Hapo Kikwete na wapambe wake wanataja mapato yaliyotokana na utalii na madini.Mkalie kooni na kumhoji kama mapato ndio hayo,kwanini sie bado masikini?Fedha hizo zimeenda wapi kama sio kwenye akaunti za mafisadi?Na kwenye utalii muulize pia kuhusu meno ya tembo yaliyokamatwa huko Hong Kong yakitokea Tanzania.

  Kumbuka,usikubali kutumika kwa maslahi ya mtu mwingine.Kumhoji mwanasiasa anayeomba kukuongoza ni haki yako.Usiichezee.Badala ya kujipendekeza kwa RT (Retweets za Kikwete2010) tumia fursa hiyo kumuuliza maswali ya msingi yanayohitaji majibu ya haraka

  PAMOJA,INAWEZEKANA

  KULIKONI UGHAIBUNI: Kikwete on Twitter na Facebook: Tumia Fursa Hizi Kumkalia Kooni
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Haaaaa haaa haaaa! Unadhani Kikwete ana muda wa kutweet or kuupdate status yake FB?
   
 3. Kulikoni Ughaibuni

  Kulikoni Ughaibuni JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2010
  Joined: Dec 12, 2007
  Messages: 235
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Why dont you just go there and see for yourself?Whether it's him or wapambe wake,challenging him/them is the right thing to do.So sick and tired of incomprehensible statistics.
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Bora umblock kama hutaki kusoma hizo incomprehensible statistics
   
 5. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Anaiga mbinu ya Obama! US na TZ katika ICTs advancement ni tofauti kabisa! Hivi watanzania walio nje ya nchi wanapiga kura?
   
 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  ^^ Ulikuwa na umuhimu gani wa kukoti mkeka wote mzima kwa sentensi tatu tu?
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kibunango aminia mkuu
  Nashukuru kwa hoja za mtoa hoja.
  nilimsearch kikwete kwenye FB na akakubali fasta kuwa pal wangu. pamoja na slaa. Ila ninachoona ni kwamba slaa yupo more active zaidi ya mkulu ambaye anasubiri kupostiwa na MAKAMBA au SALVA.
  Kwa taarifa ya jukwaa, hata iweje hana muda wa kutwitter wala FB mkulu huyu na sidhani kama anajua nani kasema nini kwenye wall yake ya fb.
  MWACHE AENDE
   
 8. Kulikoni Ughaibuni

  Kulikoni Ughaibuni JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2010
  Joined: Dec 12, 2007
  Messages: 235
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Inaweza kuwa sahihi kwa mtizamo wako.Binadamu tunatofautiana katika kutafuta ufumbuzi au kukabiliana na uzushi.

  Kwa taarifa yako,I do not follow him,he follows me (and I'm not proud of that).Kum-block kutaninyima fursa ya kusikiza uzushi wake,Kumbuka,ili uweze kujibu hoja mbovu ni lazima uvumilie kuzisikia au kuzisoma.Ukizikwepa utakuwa unampa free pass mtoa hoja mbovu.
   
 9. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yeye hana muda huo lakini chochote utakachotuma atapata kupitia makarani wake na msg atapata iwe mbaya au nzuri.
   
 10. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  JK hawezi kujibu maswali nitakayomuliza, kama anashindwa kujibu swali la kwanini Tz ni maskini? Tutegemee nini tena?
   
 11. MAWANI

  MAWANI Member

  #11
  Sep 13, 2010
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nimeona na mwenzangu ameisha ingiza swali na mba moja. Ameorodhesha mafanikio tu, swali ni kuwa yaliyomshinda katika miaka mitano ni yapi?
   
 12. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sawa ila filtering ni ya kipumbavu Haina Tija sorry
   
 13. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sio kweli. Labda atakujibu wewe mimi hataki kunijibu
   
 14. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  kwanini uwapangie watu maswali ya kumuuliza jk?! Ina maana wanaohudhuria humu wote ni mbumbumbu wasiojuwa matatizo ya wa-tz isipokuwa wewe?! Wewe baada ya kuuliza si ulishapewa majibu? Kwanini usi-copy na kuya-paste hapa kwa faida ya wale unaoona hawana uwezo wa kuuliza maswali yenye tija?
   
 15. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
 16. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  kwa nini anakimbia mdaharo.........anajua yeye dhaifu na amezoea kuwadanganya watu hasa watz..............na huko kwenye twiter na face book kwa taarifa yenu hajibu yeye anajibiwa na wapambe wake.........
   
 17. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  wapiga kura wangapi wanajua hata maana ya facebook ni nini? sisi tunataka yeye mwenyewe akae kitini na wagombea wenzake wapimane kwa hoja. tunataka Rais kwenye uwezo wa kuchanganua hoja na kutoa majibu juu ya umaskini wa taifa letu na si facebook. (kitabu cha Sura)
   
 18. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
 19. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,813
  Trophy Points: 280
  hoja nyingine bana amnazo Raisi wa nchi eti ana tweet or kuupdate status! kawadanganye wengine! unless uniambie kuna mtu anafanya mbadala wake
   
 20. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  asanteni nyote mliochangia hoja hii,nami naingia fb kumsaka, akishobokea atajuta. Nitawapasha kilichojiri. Nawaombeni wana jf waliopata kujibiwa hoja yoyote na huyu mkuku watujuze.
   
Loading...