britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Katika mazungumzo ya Kikwete na Mwanahabari maarufu alieleza jinsi alivyopata ushindi mwaka 2005, akaeleza mchango wa wasanii katika siasa za Tanzania.
Anaeleza kwamba kwa kiasi kikubwa alisaidiwa na kundi la Wanaume TMK kuteka hisia za vijana kwa kipindi hicho.
Nililipenda kundi lile lililoongozwa na Juma Kassim, ambaye watu wanamjua kama Juma Nature, kwa kifupi alifuatwa kutusaidia kwenye kampeni, uzuri hawakuwa na mlolongo sana ni kupangiwa ratiba wakakubaliana na sisi.
Nilisikitika sana mwaka 2006 Kusikia kundi lile limesambaratika.
Niliwaita Ikulu kwa ajili ya usuluhishi lakini Bwana Juma hakutokea, nilikutana na Wengine mfano Chege na Somebody Temba, walikuja mara kadhaa.
Kilichoharibu zaidi makampuni yakatumia ugomvi wao kutengeneza hela, nao wakirubunika kwamba matamasha yale yatawapa hela kwa muda mrefu, kumbe walihitajiana sana kusonga mbele,
Alisema Kikwete alipokuwa na mazungumzo na gazeti la The Citizen.
Pitia pia

UTAFITI: Juma Nature alikuwa maarufu wakati wake zaidi ya Diamond Alivyo maarufu kwa wakati wake
Utafiti huru ulofanyika Twitter kwa siku 5 mfululizo ambao uliuliza: Kati ya wasanii wafuatao, nani alikuwa maarufu zaidi au nani kawa maarufu zaidi kwa muda aliowika? Na matokeo yakawa high. Kura zimepigwa 3,000 kwa siku 5. Mr Nice 23% Juma Nature 33% Ali Kiba 15% Diamond 30% Pitia Pia...
www.jamiiforums.com