Kikwete: Nilimsihi MwanaFA na Wanamuziki wengine kufanya shughuli nyingine badala ya muziki

Kuna siku nilimsihi MwanaFA na wanamuziki wengine kufanya shughuli nyingine badala ya muziki pekee.

Nimefarijika leo kunitembelea na kutambulisha bidhaa yake mpya 'body spray'. Hii ni hatua kubwa na nzuri kwa vijana watu. Tuwaungishe!

Ameandika Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika ukurasa wake wa Twitter.View attachment 972296View attachment 972297
Mzee wewe ulikuwa unanyota ya pesa nakumbuka nilikuwa napata pesa sana
 
Kijana tukikuita hapa ofisini kwetu unaweza thibitisha madai yako?

Itabidi wale wote walioshtakiwa na kuachiwa kwa hilo kosa waitwe kama mashahidi na kwa kiapo waseme kwa amri ya nani waliwapakia wale wanyama kwenye lile dege la waarabu!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom