L Leornado JF-Expert Member Nov 12, 2010 1,529 196 Dec 18, 2010 #1 Hapa mkuu anajaribu kushow love kwa wananchi wake...zawadi ya ua si ndogo...
Cynic JF-Expert Member Jan 5, 2009 5,144 1,648 Dec 18, 2010 #4 Safari hii ampe angalau ukuu wa wilaya. Credentials zake ziko juu kuliko akina mkwassa na wengine wengi aliyowapa posts kama hizo.
Safari hii ampe angalau ukuu wa wilaya. Credentials zake ziko juu kuliko akina mkwassa na wengine wengi aliyowapa posts kama hizo.
L Leornado JF-Expert Member Nov 12, 2010 1,529 196 Dec 18, 2010 Thread starter #5 Cynic said: Safari hii ampe angalau ukuu wa wilaya. Credentials zake ziko juu kuliko akina mkwassa na wengine wengi aliyowapa posts kama hizo. Click to expand... Ni kweli kabisa, dada yupo safi.Anastahili zawadi kubwa kuliko hilo ua. Namkubali dada Bhanji.
Cynic said: Safari hii ampe angalau ukuu wa wilaya. Credentials zake ziko juu kuliko akina mkwassa na wengine wengi aliyowapa posts kama hizo. Click to expand... Ni kweli kabisa, dada yupo safi.Anastahili zawadi kubwa kuliko hilo ua. Namkubali dada Bhanji.
boma2000 JF-Expert Member Oct 18, 2009 3,280 310 Dec 19, 2010 #7 Ila JK anaoneka kashoka tangu uchaguzi uishe si kwenye hii picha ila kwenye TVs anapoonekana
Chimunguru JF-Expert Member May 3, 2009 10,678 4,348 Dec 19, 2010 #8 Leornado said: Hapa mkuu anajaribu kushow love kwa wananchi wake...zawadi ya ua si ndogo... Click to expand... Unaweza kuta jamaa alikuwa ANAOA hapo ohooo maana jama haachi kitu
Leornado said: Hapa mkuu anajaribu kushow love kwa wananchi wake...zawadi ya ua si ndogo... Click to expand... Unaweza kuta jamaa alikuwa ANAOA hapo ohooo maana jama haachi kitu
N Ndinani JF-Expert Member Aug 29, 2010 6,938 3,824 Dec 19, 2010 #10 Sintashangaa Kikwete akimteua SHY_ROSE kuwa mbunge kati ya vile viti vyake vilivyobakia!!